Yaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...Lakini kutokuwa na ushawishi Kwa wanasheria siô dalili nzuri Kwa sababu Moja ya Kada nyeti naya lazima kwèñye siasa NI Sheria.
Kukosa uungwaji mkono na wanasheria haina maana nzuri kisiasa
Mnaushawishi na masikini na wachawi majimbo ya watu wenye akili kama kawe au ubungo hamuwezi shindaCCM tuna ushawishi kwa wapiga kura wote.
Mzee umeng'ang'a tu. 😀 😀 😀 Hebu tuambie wewe ni mwalimu wa lugha ya wazungu?Wewe ndo unatuondoa kwenye mada kwa kuandika kiingereza cha hovyo.
Oh!! Kumbe Mo Dewj (Mwanachama wa CCM) siku hizi ni Maskini 😀 😀 😀 CHADEMA hamjui mnataka nini.Mnaushawishi na masikini na wachawi majimbo ya watu wenye akili kama kawe au ubungo hamuwezi shinda
Kama Mbowe anaakili basi, sihitaji hiyo akili 😀 😀 😀Chadema Ina ushawishi kwa watu wenye akili pia watu wa middle income
Jimbo la kawe ilipo serekali chadema hushinda kilaini
wananufaika na mafisad ya ccmuKwamba vyama vingine vipo usingizini?
unapinda sn , ccmu si salama tena , wanufaika ndo wanafungamana na ccmuMoja ya sababu ni mawakili wengi mashuhuri miaka ya 1992 walijiungana siasa za upinzani mfano marehemu Dr. Lamwai, wakina Marando Srn. na wengineo.
Kwakuwa chadema ilikuja kuwa mbadala wa NCCR Mageuzi basi ikaenda na kizazi cha kina Lisu hadi sasa kumekuwa na mvuto kwa mawakili wengi hasa vijana kuzigeukia siasa za upinzani.
Ni kautamaduni tu kakutaka tuonekane
Lakini Hawa vilaza wanawaa outsmart watu wa hesabu na phyicis ona sasa wamechagua mtu wanayemtakaYaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...
Yaani H kunani walikuwa ndo vilaza wakati tunasoma o level na advance
Mimi ni mwalimu mzuri wa lugha anayoelewa mama yako tu. Muulize atakuambiaMzee umeng'ang'a tu. 😀 😀 😀 Hebu tuambie wewe ni mwalimu wa lugha ya wazungu?
Yaani Hawa walioshindwa science na kwenda arts Leo mnawaita elites...
Yaani H kunani walikuwa ndo vilaza wakati tunasoma o level na advance
Chadema Ina ushawishi kwa watu wenye akili pia watu wa middle income
Jimbo la kawe ilipo serekali chadema hushinda kilaini
Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.
Huna hoja ya kunifanya niendelee kukuquote, ni kupoteza muda kushindana na jeshi la wajinga wenye msimamo wa kung'ang'ania ujinga wao.Mbaya zaidi unaowaita vilaza ndio wanaokuongoza. 😀 😀 😀.
Dig Deep down kumbe wewe ndiye kilaza 😀 😀
Yah. Kweli wale wanaowasaidia kwenye kura ni majinga. Yaani mapoliccm, manec, makurugenzi etc.CHADEMA kimejitambulisha kuwa ni chama cha wasomi. Na huwa mnasema CCM imejaa wajinga wengi. Sasa hao mnaodhani ni wajinga ndo huwa wanawaumiza kwenye sanduku la kura. CHADEMA mkiacha kuwatukana wapiga kura mtafika mbali.
Ni vya wasomi ndio lakini wanyenyekevu kupita kiasi.Lakini Chama cha waalimu, Madaktari, mainjinia navyo ni vyawasomi
Ni vya wasomi ndio lakini wanyenyekevu kupita kiasi.
Kwani chadema bado ipo mkuu. Si meigwa anaikaanga vibaya mno na soon inafutika.Sabato Njema!
Kama swali linavyoeleza Hapo juu.
Kûna MTU anaweza kuniambia nini kinapelelea CHADEMA kuwa na ushawishi ndani ya Chama kikubwa cha TLS chenye Taaluma muhimu ndàni ya nchi?
Nakabidhi Maiki kwèñu wataalamu.