Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

..ili ubaguzi uwe systemic inabidi kwanza ulelewe kidogo kidogo kama inavyotokea sasa hivi.

..udini na ukabila tunavyoulea sasa hivi huko mbele ya safari utakuja kuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu
Mkuu hili ni tatizo , matokeo yake yameanza kuonekana sasa. Huu umoja wa ''CCM'' uta ambukiza nchi nzima

Wakati wa Nyerere na waliotangulia ilikuwa ni vigumu kuona ukabila kama mfumo

Mkuu Mkandara aelewe kuwa ili ukabila uwe 'systemic' lazima ujengewe mazingira, upaliliwe na ukue.

Hapa ndipo Mwendazake alipolitia Taifa katika tatizo. Amejenga mazingira ya ukabila na sasa yanashamiri

Kiongozi wa nchi anaposimama na kusema '' watu wa eneo fulani watusubiri' tayari anajenga ukabila mioyoni mwa wasioelewa. Halafu anaporudi ofisini na kuteua kwa mfano ule ule anashadidia ukabila.
 
Bw. Gambino ukiachili mbali wewe mwenyewe umekuja na hoja ya mfano wa takwimu kwa kupinga tuhuma dhidi MZANDIKI marehem MAGUFULI bila ya kutewekea takwimu halisi ili kuvunja hoja ya tuhuma hizo hivyo nadhani unazidi kuukoleza moto wa tuhuma hizo

KIMARA: Walivunjiwa Nyumba zao kwa sababu walijenga kiholela na hakuna fidia kwa sababu tunasimamia sheria.

MWANZA: Walinusurika kuvunjiwa kwa sababu MAGUFULI alizuia kwa madai kuwa wale ni wapiga kura wake.

Naomba kukuuliza swali, MAGUFULI aliwezaje kuwatofautisha watu wa KIMARA na watu wa MWANZA kwa kura walizompigia???

MAGUFULI hakuwa tu MKABILA bali pia alikua MBAGUZI wa KIJAMII maana KIMARA sio eneo la kabila fulani kwa kifupi yule mzee MUNGU kamchukua mapema ili kuinusuru nchi, kwa sababu alikua anapanda sumu mbaya sana miongoni mwa jamii ya watanzania

Alikua anajenga misingi ya CHUKI, UHASAMA, VISASI, NONGWA, UBAGUZI, UPENDELEO, UBINAFSI, UDINI, DHARAU, UBADHIRIFU, UONEVU NA UMUNGU MTU
 
Umemaliza!
 
Tatizo ni waliofaidika na ukabila walikuwa busy looking away madudu ya Magufuli.
 

Hata pale aliposema watu wa Mwanza wasibomolewe nyumba zao kwani hao ni wapiga kura wake?
 
Kwanza watu wengi hawajui au wajitia kutokujua, Magufuli ni msubi na sio Msukuma, kuteua wasukuma ilikuwa ni jambo la wazi kwani ni wengi , hivyo ukitumia hesabu za probability , ni kwamba nafasi za kuchagua "msukuma" ni kubwa, kama vile JK, alikuwa na watu wa Kabila hiyo, mama hataacha kuwaweka " wasukuma"
 
Wachaga na chama lao chadema hawafai wale, nashangaa misukuma mingine iko kule eti inajenga chama 🤣🤣🤣 wasukuma acheni ushamba tokeni huko chadema bora mkajenge chama cha Hashim Rungwe acheni chadema ipigiwe kura na wachaga tu tuone mwisho wake *****
 
Kila siku yamekomaa kanda ya ziwa kanda ya ziwa.Kanda ya ziwa tu ikisimama na kusimamisha mgombea urais hata awe kinyago kama kila mwana kanda ya ziwa atampigia kura huyo kinyago basi kwa mara ya kwanza kinyago kitakuwa Rais, acheni upumbavu hii dhana ya ukabila acha isambae hadi vijijini muone mafala nyie
 
Mi mwenyewe mkerewe nitawatetea Sana Wasukuma, huko mbeleni Wasukuma watatawala sana utukane mtandaoni hadi unye haitasaidia
 
Intarahamwe style!
 
The presence of Suguma gang in the state machineries justifies all allegations. Give us in % the % of dev projects in the lake regions vs other areas. Substantiate the justifications of the numerous ethnic statements of the diseased ama sivyo kaa na mavi yako nyumbani.
 
Kanda ya ziwa. Tunasubiri 2025 CHADEMA mje kanda ya ziwa tuwanyooshe
 
Wazinza siyo wenyeji wa Chato acha kudanganya. Wazinza wanapatikana Sengerema na Geita. Wenyeji wa asili wa Chato ni wasubi lakini kuanzia miaka ya hamsini katikati wasukuma walianza kuhamia maeneo hayo kwa wingi kwa ajili kilimo cha pamba, baadaye wasubi kuanza kuondoka maeneo hayo na kuwaacha wasukuma wakitamalaki maeneo hayo. Hata hiyo Biharamulo unayoitaja sasa hivi wasukuma ndio kabila kuu na wasubi wamebaki wachache sana. Hivyo Chato kwwa sasa ni usukumani tu.
 
Kama wasukuma ni wajinga wewe ndio mjinga zaidi
 
Mnahangaika na CHADEMA ambayo ilishajifia, nani awape uongozi wa nchi hii mijitu mibaguzi na minywa benge ? Mtasubiri sana na Ikulu mtaisikia tu. Huo ndio ukweli mchungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…