Kwanini CHADEMA TV Haikurusha Live mkutano wa Tundu Lissu wakati ilialikwa?

Kwanini CHADEMA TV Haikurusha Live mkutano wa Tundu Lissu wakati ilialikwa?

Rozela

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
845
Reaction score
2,235
Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea?

Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
 
Uchawi huu! Si mlianza na kwa ninj sio ufipa au mikocheni? Hujaridhika na majibu yake?
 
Back
Top Bottom