Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Dec 13, 2024 #1 Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
Je wamekumbwa na tatizo gani? Habari ya mwisho ni ile ya mkutano wa Freeman Mbowe. Je, waliishiwa bando, walisahau au nini kimetokea? Erythrocyte unaweza kuwa na majibu au na wewe ni kama Yericko Nyerere ?
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Dec 13, 2024 #2 Uchawi huu! Si mlianza na kwa ninj sio ufipa au mikocheni? Hujaridhika na majibu yake?
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Dec 13, 2024 #3 CHADEMA ni zaidi ya TV.
Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Dec 13, 2024 Thread starter #4 Maseke ya Meme said: Uchawi huu! Si mlianza na kwa ninj sio ufipa au mikocheni? Hujaridhika na majibu yake? Click to expand... Umeelewa swali au nawewe ni nyumbu?
Maseke ya Meme said: Uchawi huu! Si mlianza na kwa ninj sio ufipa au mikocheni? Hujaridhika na majibu yake? Click to expand... Umeelewa swali au nawewe ni nyumbu?
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Dec 13, 2024 #5 Rozela said: Umeelewa swali au nawewe ni nyumbu? Click to expand... Hahaha yani uvccm umeona umeuliza swali la maana?! Bora ungelala uwape mbu faida tu
Rozela said: Umeelewa swali au nawewe ni nyumbu? Click to expand... Hahaha yani uvccm umeona umeuliza swali la maana?! Bora ungelala uwape mbu faida tu
Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Dec 13, 2024 Thread starter #6 Maseke ya Meme said: Hahaha yani uvccm umeona umeuliza swali la maana?! Bora ungelala uwape mbu faida tu Click to expand... CHADEMA na CCM wote ni MATAPELI na wanawaingiza mkenge vijana WAPUMBAVU.
Maseke ya Meme said: Hahaha yani uvccm umeona umeuliza swali la maana?! Bora ungelala uwape mbu faida tu Click to expand... CHADEMA na CCM wote ni MATAPELI na wanawaingiza mkenge vijana WAPUMBAVU.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Dec 13, 2024 #7 imhotep said: CHADEMA ni zaidi ya TV. Click to expand... Chadema ipo mioyoni mwa watanzania na sio kwenye Tv au sio 😂
imhotep said: CHADEMA ni zaidi ya TV. Click to expand... Chadema ipo mioyoni mwa watanzania na sio kwenye Tv au sio 😂
Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Dec 13, 2024 #8 Rozela said: CHADEMA na CCM wote ni MATAPELI na wanawaingiza mkenge vijana WAPUMBAVU. Click to expand... Sawa na bado upo busy kufuatilia Tv zao kijana? Nani mpumbavu sasa kati yako na wao? Jipime tu usitoe jibu
Rozela said: CHADEMA na CCM wote ni MATAPELI na wanawaingiza mkenge vijana WAPUMBAVU. Click to expand... Sawa na bado upo busy kufuatilia Tv zao kijana? Nani mpumbavu sasa kati yako na wao? Jipime tu usitoe jibu
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Dec 13, 2024 #9 CHADEMA imeimarika sana, now is a talk of town