Kwanini CHADEMA wamepoa sana na wamekata tamaa kabisa baada ya Lissu kukamatwa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwanini wasimuamini Heche, Lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya Lissu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.

Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?

Hatupoi hatuboi, NO REFORM NO ELECTION
 
Sina cha kujifunza kwako

Nakulamba block
 
No reforms no election
 
mambo ya kitoto sana serikali inafanya lengo ni kuwalazimisha maridhiano kama kawaida
 
Thubutu,
yaani maridhiano na vibaka wachochezi na bandits wa kisiasa?

uko timamu kweli gentleman?
all criminals must be in jail. Full stop.🐒
 
Mbona wamewakamata hao uliowataja kama wamepoa?
No reforms no election.
Mataga wanapata shida sana this time.
majambazi kwenye siasa ni lazima yadhibitiwe gentleman kabla hayajaleta madhara na uharibifu 🐒🐒
 
Thubutu,
yaani maridhiano na vibaka wachochezi na bandits wa kisiasa?

uko timamu kweli gentleman?
all criminals must be in jail. Full stop.🐒
mnataka kijana akubali uchaguzi, akikataa muendelee kumshikiria hadi uchaguzi upite
 
Kwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.

Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
HECHE NA LEMA NAO TAYARI WAPO NDANI ,HAPO NDIYO LISSU AJUE YUPO PEKEYAKE YAKIMKUTA HAKUNA WAKUMTETEA SASAHIVI KILA MTU YUPO BIZE NA MAMBO YAKE ANALINYWA PEKEYAKE
 
wakitoka huko,
tone tone yote imekauka 🤣
 
Back
Top Bottom