Hatupoi hatuboi, NO REFORM NO ELECTIONKwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
No Reforms No Election ndiyo mpango mzimaUna maoni gani?
Sina cha kujifunza kwakoKwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
No reforms no electionKwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania
Anajifariji tu huyoMbona wamewakamata hao uliowataja kama wamepoa?
No reforms no election.
Mataga wanapata shida sana this time.
Thubutu,mambo ya kitoto sana serikali inafanya lengo ni kuwalazimisha maridhiano kama kawaida
Wanaoiba kura kwenye uchaguzi SM au mkuu au wanatumia policcm utawaitaje magaidi au?majambazi kwenye siasa ni lazima yadhibitiwe gentleman kabla hayajaleta madhara na uharibifu ππ
mnataka kijana akubali uchaguzi, akikataa muendelee kumshikiria hadi uchaguzi upiteThubutu,
yaani maridhiano na vibaka wachochezi na bandits wa kisiasa?
uko timamu kweli gentleman?
all criminals must be in jail. Full stop.π
HECHE NA LEMA NAO TAYARI WAPO NDANI ,HAPO NDIYO LISSU AJUE YUPO PEKEYAKE YAKIMKUTA HAKUNA WAKUMTETEA SASAHIVI KILA MTU YUPO BIZE NA MAMBO YAKE ANALINYWA PEKEYAKEKwanini wasimuamini heche , lema au g55 kama ndio viongozi wao wa kuendeleza harakati zao baada ya lisu kutiwa mbaroni kwa makosa mbalimbali ikiwani pamoja na uchochezi na haijulikani atasota korokoroni mpaka lini?
Huenda akapelekwa mahakamani J3 wiki ijayo.
Uhaini ni kitu mbaya sana katika demokrasia inayostawi my friends, ladies and gentlemen.
Una maoni gani?
Mungu Ibariki Tanzania