Uchaguzi 2020 Kwanini CHADEMA wamesimamisha wagombea majimbo ambayo nafasi ya kushinda ni ndogo, yet hawana fedha za kutosha?

Uchaguzi 2020 Kwanini CHADEMA wamesimamisha wagombea majimbo ambayo nafasi ya kushinda ni ndogo, yet hawana fedha za kutosha?

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
CHADEMA Urais Zanzibar ambako kule vyama vikuu ni CCM na ACT-Wazalendo

Lakini pia CHADEMA wameonyesha kutokuwa na fedha za kutosha hadi kufikia kupitisha bakuli kwenye mikutano yao
Sasa kulikuwa na umuhimu gani kusimamisha wagombea wengi, tena kwenye sehemu ambazo chance ya kushinda ni ndogo lakini hamna fedha?

Sehemu kama Zanzibar wangewaachia ACT-Wazalendo ambao ni ngome yao kuu ili ku save gharama na pia kuonyesha good faith kwa wapinzani wenzao ambao wote wanatetea uhai wa mfumo wa vyama vingi nchini

Na sio Zanzibar tu hata bara wangesimamisha zile sehemu ambazo wana strong base na kuwekeza nguvu nyingi. Tactical retreat

Unapokuwa vitani ukiona adui kazidisha sana mashambulizi na hadi anatumia njia ambazo ni haramu kwenye vita, mpambanaji mwenye akili ata retreat kwanza na kukusanya nguvu badala ya kumvaa adui kwa pupa zote kisha kumalizwa wote kirahisi

CHADEMA nao wange retreat kwenye strong base zao, waokoe rasilimali fedha ambazo watazitumia kukijenga chama na kuja stronger zaidi kwenye uchaguzi wa 2025

Huu ni ushauri honest kutoka kwa mtu ambaye sipendi kuona monopoly ya chama kimoja, naamini ushindani mzuri wa vyama ni mzuri, kwani ushindani ambao ni fair husababisha pande zinazoshidana kujijenga na kuwa bora zaidi, sasa mkiniita majina ya ajabu sijui Lumumba ni juu yenu
 
Ulichoonyesha hapa ni weakness kubwa sana kwako! Hufai kuwa kiongozi au mwanasiasa! Siamini kama kuna watanzania mazuzu kiasi hiki.
 
Ni pandikizi huyo anayejifanya Chadema. Hapo kwenye rangi ahsante sana Mkuu. 👊🏽

Ulichoonyesha hapa ni weakness kubwa sana kwako! Hufai kuwa kiongozi au mwanasiasa! Siamini kama kuna watanzania mazuzu kiasi hiki.
 
Eti ngome ya Chadema ni Arusha, baada ya Uchaguzi ngome ya Chadema itabaki kwa robertison wa Amsterdam tu[emoji3][emoji3]
 
Mwanaccm mwenzangu kuchangia so kwamba chadema hawana fedha. Naona wanachokifanya ni kizuri kwani wanarudisha chama kwa wanachama wao ambao ni wafia chama
 
CHADEMA haijaweka mgombea hata mmoja majimbo ya Pemba kma sign of good faith.
Kusimamisha wagombea majimbo yote ilikua malengo ya chama hivyo ni lazima msimamishe ili mfikie kila jimbo na kata. Kumbuka hata usiposhinda ila utakua umeeneza chama na kuacha mbegu.

Kura za viti maalum zinategemea kura za ubunge majimbo yote kwa hiyo wakipata average ya kura hta elfu 5 tu kwa kila jimbo hapo unajiwekea mazingira ya viti maalum 15 plus.

Kimkakati pia.... Unaweza kuta mgombea wa ACT kakatwa alafu chadema hamna mgombea so mnawaachia jimbo ccm mapema sana.

Faida ni nyingi kuliko hasara
 
Kwa mawazo yangu, CHADEMA na ACT-WAZALENDO hawana uhusiano wowote kwani Act-wazalendo ilianzishwa na Mhe Zitto Zuberi, Kitila na Membe ndiyo maana 2015 kilikuwa kinamkadia saaana Mhe Lowassa badala ya kumuunga mkono! Mhe Maalim Seif aliteleza kwa kujiunga na Act-Mazaleno badala ya Chadema. Consequently Wazalendo nahisi hawatapata mbunge hata mmoja Tz Bara na Visiwa nahisi watapata wanne tu! Pia TLP, CUF, UDP, ADC, CHAUMA, UDPD, NRA, hawatapata mbunge hata mmoja Tz Bara wala Visiwani!!! Vyama vyote hivyo vilichezea shillingi chooni 2015 na ni vigumu kuitoa huko ilipo!
 
Back
Top Bottom