chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
CHADEMA Urais Zanzibar ambako kule vyama vikuu ni CCM na ACT-Wazalendo
Lakini pia CHADEMA wameonyesha kutokuwa na fedha za kutosha hadi kufikia kupitisha bakuli kwenye mikutano yao
Sasa kulikuwa na umuhimu gani kusimamisha wagombea wengi, tena kwenye sehemu ambazo chance ya kushinda ni ndogo lakini hamna fedha?
Sehemu kama Zanzibar wangewaachia ACT-Wazalendo ambao ni ngome yao kuu ili ku save gharama na pia kuonyesha good faith kwa wapinzani wenzao ambao wote wanatetea uhai wa mfumo wa vyama vingi nchini
Na sio Zanzibar tu hata bara wangesimamisha zile sehemu ambazo wana strong base na kuwekeza nguvu nyingi. Tactical retreat
Unapokuwa vitani ukiona adui kazidisha sana mashambulizi na hadi anatumia njia ambazo ni haramu kwenye vita, mpambanaji mwenye akili ata retreat kwanza na kukusanya nguvu badala ya kumvaa adui kwa pupa zote kisha kumalizwa wote kirahisi
CHADEMA nao wange retreat kwenye strong base zao, waokoe rasilimali fedha ambazo watazitumia kukijenga chama na kuja stronger zaidi kwenye uchaguzi wa 2025
Huu ni ushauri honest kutoka kwa mtu ambaye sipendi kuona monopoly ya chama kimoja, naamini ushindani mzuri wa vyama ni mzuri, kwani ushindani ambao ni fair husababisha pande zinazoshidana kujijenga na kuwa bora zaidi, sasa mkiniita majina ya ajabu sijui Lumumba ni juu yenu