Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Akienda Zitto msaliti, Lipumba msaliti ila akienda Mbowe na Mnyika wao ni wapinzani wa maana?Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Kwani toka Mama amepata Urais Zitto ameenda Ikulu mala ngapi?Chadema ni chama makini na mahiri.
Wamepitia machungu mengi na hili ndilo limewapa krediti kuwa pamoja na mateso na vifungo bado wako imara.
Kuhusu vyama vingine ccm haiwezi kuwapa umuhimu sawa na chadema kwasababu wana ndimi mbili.
ACT hawakljulikani wanasimamia nini.
Mbatia alianza usaliti enzi za jiwe.
Cuf tayari waneanza na kampeni Samia ashinde.
CCM ni kama shetani.
Shetani huwa hapambani na wenye dhambi anajua ni watumishi wake bali hupambana na watakatifu na wacha Mungu.
Mshana Jr jr
Rudi kwenye speech ya Freeman Mbowe kwenye mkutano wa baraza kuu majibu yote ya maswali yako alishayajibu kwenye ile speech.Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Hapa tunaongelea umuhimu.Kwani toka Mama amepata Urais Zitto ameenda Ikulu mala ngapi?
Haikuanza leo .Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Idadi ya wafuasi wake..Kwanini CHADEMA wanaonekana WA muhimu KULIKO vyama vingine awamu ya sita?
Ni chama gani kimezika, kimeuguza, kimefungwa, filisiwa, pigwa risasi, nyanganywa ubunge, swekwa ndani, lkn bado kinapeta na kuimalika, ukishajua kojoa ulaleChadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Kweli JK aliongoza kwa raha, ata Mbowe alipokuwa gerezani Samia hakuwa na raha, nje na ndani ya TZUamuzi wa busara wa Mh.Rais kuzungumza na Wapinzani wake ni Muhimu sana kwa maslahi ya Nchi na wananchi wake
Mahusiano mema ya Mh.Jakaya na Chadema yalisaidia sana utawala wake kuwa rahisi na kumaliza kwa mafanikio
Mh.Mbowe na Chadema yote wanatambua Siasa za masikilizano huimarisha sana chadema kuliko Siasa za nginja nginja
Kwamba ikulu ya Chamwino Ina jipya gani, mfano Lissu aliyehutubia Mabunge ya Ulaya aje amiss kwenda ikulu ya Chamwino [emoji3]hakina umuhimu wowote, na wanajifanya wa muhimu kwenyw hamna, nilichogundua viongozi wote wa upinzani walimmis sana kwenda ikulu enzi za JPM kumbe wanapapemda bwana
Chadema tulisema tunataka mazungumzo na Rais bila kuwa na watu wengine maana sisi ndio tumeumia na watanzania wengi.Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa?
Lakini pia kuitwa kwao ikulu kimkakati Toka Lisu akutane na Mhe. RAIS mbona kama kunawafanya akina Mdee waonekana kama wanadhalilika? Vyama vingine vitajikwamua vipi mikononi mwa CCM kama Chadema itaamua kusimana yenyewe kama inavyofanya Sasa?
Misimamo yake na kuaminika kwkwe kwa wananchi.Idadi ya wafuasi wake..
Hata JPM alikuwa anaijua ubishi tu usio na faida.Kikwete anaijua nguvu ya CHADEMA ✌️