Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Hii mada Imepinda.
Imepindishwa,
Itapindisha.
Tume ya Haki, Iwe Tume ya Ukweli, na Ukweli mtupu na Kifungo Juu.

Hatahivyo.....

Hakuna genge wala Gang inayoitwa Sukuma sehemu yeyote ile Tanzania. Muulizeni Nape au Msigwa. Shabash!

League of Hate!
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Siyo kila mtu kutoka kanda ya ziwa ni sukuma gang wala msukuma
 
1684652125774.png
 
Back
Top Bottom