Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwahiyo wasukuma ndio mtazuia huo urais CDM kuupata?
Chadema hawawezi kuupata urais wasiposhirkiana na wasukuma
1674043318702-png.2486240
 
Tunashirikiana na makabila yote bila kujali ni wasukuma, waha au wangoni. Lakini sio sukuma gang.
Mtakoma. Mnawabagua wasukuma. Subirini kuanzia leo mtaona namna gani wasukuma wananguvu hapa Tanzania.
 
Narudia tena, sukuma gang sio kabila, bali ni kundi haramu liliondesha ukatilili wa wapinzani wao wa kisiasa. Na wengi waliojihusisha na kundi hilo haramu walikuwa ni viongozi toka kanda ya ziwa. Na walishiriki uovu ule ili kujipatia mapato kwa njia haramu na ya vitisho. Labda useme wasukuma wote walishiriki uhayawani alioendesha Magufuli kwenye nchi hii. Isitoshe hata huyo Magufuli hakuwa msukuma, bali alijinasibisha na kabila hilo ili kujipatia mtaji wa kisiasa wa bei rahisi.
Wewe ni pimbi, huwezi kulazimisha kuficha nyeti za kuku uvumapo upepo eti wasiuone
Unachokisema hapani unalazimisha kuficha ukweli ambao mara nyingi mmekuwa mkionywa na kushupaza"

Mmelazimika kuwagawa wasukuma na chama chenu halafu leo unasema skg sio kabila kwa kuwa mnaenda kufanya mkutano kwao

Unasema haya uili uwavutie?
 
Wewe ni pimbi, huwezi kulazimisha kuficha nyeti za kuku uvumapo upepo eti wasiuone
Unachokisema hapani unalazimisha kuficha ukweli ambao mara nyingi mmekuwa mkionywa na kushupaza"

Mmelazimika kuwagawa wasukuma na chama chenu halafu leo unasema skg sio kabila kwa kuwa mnaenda kufanya mkutano kwao

Unasema haya uili uwavutie?
1674040201912-png.2486147
 
Ona unaendeleza ukabila tu. Na kuleta kejeli. Kwahiyo chato haifai kuwepo Tanzania? Kwanini unaleta siasa za kibaguzi? Hivi nyie CHADEMA mtaacha lini ubaguzi? Unataka kuanza kuwabagua watanzania?
Chadema ni genge la wafu wahuni walioshindikana kwa wazazi wao na ndiyo maana wana maneno machafu wasemapo
 
Sio kwamba hilo jina litasimama, hilo jina liko hapo hapo na hakuna kitu chochote utakachofanya wewe na sukuma gang wenzio. Ukatili uliondeshwa magufuli dhidi ya wapinzani wake kisiasa uko wazi, labda useme na kabila la wasukuma nali lilishiriki unyama ule. Na ukitaka kueneza hiyo propaganda chukua gari la matangazo uzunguke mji mzima wa Mwanza, kisha useme wasukuma wanaitwa sukuma gang na CDM. Lakini Jmos utaona nyomi la ukweli. Jiandae kumeza chuma, kisha unye Boga.
Mwambie tuu kwamba hiyo brand haiwezi kufa 🤣🤣
 
Jibu ni simple tuu, Mwendazake alikuwa anajinasibisha na Kabila la Wasukuma na mara kadhaa alikuwa akihutubia Kwa kilugha Mikutano ya huko na in fact Wasukuma walikuwa wanajivunia mtu wao huyo..

So alivyo rest huko aliko wale wafuasi wake regardless of their residing areas wakawa wanatambulika Kwa jina Hilo so humu mitandaoni litaendelea kubakia hivyo ila hadharani hawawezi liongea.

Sukuma gang Haina tofauti na Mwendazake 😁😁😁😁..

Mwisho mtu yeyote mwenye itikadi za Mwendazake atakuwa refered to as Sukuma gang,usijifanye huelewi.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Mhuni atatukanwa tu. Sukuma gang haimaanishi wasukuma wote... Bali kundi la washenzi wachache washabiki wa unyama na Kila aina ya ufedhuli !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom