Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Kanda ya Ziwa siyo ya wasukuma pekee kuna makabila mengi
 
True, Magu alisema Kwa mkutano Peopleeeeees!!!!

Akaomba wananchi wamchague Ili atimize HOJA za CDM, na wananchi wakamuelewa.

Hivyo Kanda ya ziwa hawana tatizo na Magu Wala CDM.

Kanda ya ziwa hawaitaki CCM, baaasi!!
Lakini kwanini wanawatukana?
 
Hivi moderators mumejiridhisha kabisa kuwa Chadema ina ugomvi na watu wa kanda ya Ziwa? Yaani mumeamua kuubariki huu uzushi na uzandiki wa huyu mccm kuigombanisha Chadema na Kanda ya Ziwa. Kumbe mods humu ni Anti Chadema. It's okay.
 
Umesoma uzi wangu? Naeleza kwanini hawa CHADEMA waliazisha hili jambo la kuwatukana watu wa kanda ya ziwa? Mimi hapa nataka jibu. Iwe tweet ya 2000 au 2021 ninahaki ya kupatiwa jibu.
Au wewe unaonaje?
Mtaje kiongozi wa chadema aliesema hayo maneno
 
Sio kwamba hilo jina litasimama, hilo jina liko hapo hapo na hakuna kitu chochote utakachofanya wewe na sukuma gang wenzio. Ukatili uliondeshwa magufuli dhidi ya wapinzani wake kisiasa uko wazi, labda useme na kabila la wasukuma nali lilishiriki unyama ule. Na ukitaka kueneza hiyo propaganda chukua gari la matangazo uzunguke mji mzima wa Mwanza, kisha useme wasukuma wanaitwa sukuma gang na CDM. Lakini Jmos utaona nyomi la ukweli. Jiandae kumeza chuma, kisha unye Boga.
Kwanini msingeita hata Magufuli gang kama mlitambua sio wasukuma wrote waliohusika na hayo.
Lengo lilikuwa kuwatenga wasukuma dhidi ya watanzania wengine.
Na wale mlioshirikiana nao kulitangaza hilo jina kina fatma karume, kigogo na maria sarungi wao wankula maisha nyinyi mnaenda kujifedhehesha huko kanda ya sukuma gang
 
Wenzako wameshakimbia hapa jukwaani ,naona ww umekuja kujaribu kuleta propaganda mfu ukutegemea utamtisha mtu. Pita na kipaza sauti hapo Mwanza waambie huu utoto wako, lakini jumamosi utafurahia show.
Hakuna mtu wa mwanza ataenda kuwasikiliza nyie mbwa koko labda mjaze yale mafuso mkodi watu huko mara tena tarime
 
Hakuna mtu wa mwanza ataenda kuwasikiliza nyie mbwa koko labda mjaze yale mafuso mkodi watu huko mara

Acha kupanick, kama ww ni msukuma na unajisi ulishiriki ukatali wa Magufuli usishiriki kwenye mkutano huo. Lakini watu kibao watashiriki. Na kama unaona watu wataletwa na mafunzo kutoka sehemu yoyote, jeshi la polisi linaitumikia ccm, wapigie simu wazuie malori yote yatakayokuwa yamebeba watu ili huo mkutano usiwe na hao watu toka mbali.
 
Kama Heche anaweza kuleta watu wengi toka huko kwao, kuja Mwanza kwenye mkutano, inakuwaje mnasema alishindwa uchaguzi? Karma kwenye nini boss, au ushapagawa nini?
Kwani si hela za chama zinatumika kuwakodi kwani za heche!?
Btn kwenye sanduku la kura siri ya mtu na huo uwanja hamtaujaza hizo hela hamna
 
Kwani si hela za chama zinatumika kuwakodi kwani za heche!?
Btn kwenye sanduku la kura siri ya mtu na huo uwanja hamtaujaza hizo hela hamna

CDM hawapokei ruzuku, sasa sijui ni hela zipi za chama unaongelea. Hatutaki hata mmoja awepo hapo uwanjani, ila atakayekuja hatajuta kutokana na madini yatakayoshushwa. CDM hawana uwezo wa kuagiza wakuu wa shule wazuie wanafunzi kujaza uwanja. Wao wanataka hata watu kumi tu wasikie ukweli mchungu.

Kama kura ingekuwa ni siri, basi siku nyingi CCM ingekuwa nje ya madaraka.
 
Kutokupokea ruzuku na kutokuwa na hela ni vitu tofauti, hiyo mikutano huwezi andaa kama huna hela.
Ubunge huwa mnashinda ila uraisi kwa ubaguzi wenu miaka elfu hamtashinda
 
Kutokupokea ruzuku na kutokuwa na hela ni vitu tofauti, hiyo mikutano huwezi andaa kama huna hela.
Ubunge huwa mnashinda ila uraisi kwa ubaguzi wenu miaka elfu hamtashinda

Naona unapiga siasa mfu tu sioni kama una jipya.
 
Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana.

Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang.

Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka leo natafuta kujua hawa CHADEMA wapo na lengo gani na jambo hili?

Maana ukipitia kwenye mitandao ya kijamii taarifa nyingi wanazieneza na kuwatusi watanzania wa kanda ya ziwa. Sujui lengo kubwa ni nini?
View attachment 2486017

Sasa nawaombeni wenzangu humu JF tujadili suala hili tulimalize. Hawa CHADEMA lengo lao ni nini kuanza kuwasakama watu wa kanda ya ziwa?
Hakuna jingine , ni dharau tu, na vita visivyoisha dhidi ya jpm
 
Back
Top Bottom