Kwanini 'charger' za simu hazitengenezwi Tanzania badala yake tuna-import

Kama huitaji smelter huo mchanga wa copper unaozalishwa Congo unaubadilishaje kuwa copper kama raw material ya viwandani
Mpaka wa mama wa Tandika na Mtogole wanavaa dhahabu kama end product, nioneshe hiyo smelter moja hapo Congo au Geita, Chunya etc.

Hatuna sonara hapa wanaocheza na dhahabu baada ya kutoka kwenye smelter?
 
Hujajibu swali mchanga wa bauxite unaubadilishaje na kuwa aluminium coil kama Hutaki smelter
 
Tuna mifumo mibaya ya maisha
 
Kwani siku hizi Tanzania wanatengeneza simu?
 
Zamani kulikuwa na majembe ,mashoka ya ufipa ,sijui walipeleka wapi wake wahunzi na kuanza kuleta yakichina unalimia mwaka mmoja jembe linaisha , watu wanatengeneza magobole badala yakuwachukua kuwaweka pamoja waone wataboreaha nini wao wanawakamata nakuwaweka jela Kisha Wana agiza silaha nje πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” hapo ndipo tulisilibwa ubongo .
 
Technology ya zaman ya kutengeneza chuma haiwezi shindana na Technology ya kisasa
Mfano ukitumia technologies ya zaman kutoa tani 10 za chuma utachukua hata miezi ila kwa technologies ya kisasa ni siku kadhaa na yanakua bei ya chini kuliko yale yaliyotengenezwa na technologies ya zaman
 
Miti tunayo yakutosha tu lakini
Sasa kwanini wasingeiboresha hiyo, kama mtu anajua kutengeza kitu Kwa mkono kwanini isiboreshwe hiyo! Ndiyo maana hata mbegu zimeletwa zakisasa kila msimu unanunua mbegu mpya
 
Uzi unahusu charger za simu na sio toothpick
Kuhusu toothpick ntafungua uzi mwingine
 
Atheists watakuambia sababu ni dini πŸ˜€
Africans add nothing to innovations and in technology because they have nothing in their heads, just Jesus and Allah is what they know and it's what they preach daily!!

America πŸ‡ΊπŸ‡² Let's Dominate..πŸ’ͺ🌍

China πŸ‡¨πŸ‡³ Let's Produce..πŸ‘©β€πŸ­πŸ”ŒπŸ–±οΈ

Europe πŸ‡ͺπŸ‡Ί Let's Manufacture..πŸ‘©β€πŸ”§πŸ› οΈβš™οΈ

North KoreaπŸ‡°πŸ‡΅ and Russia πŸ‡·πŸ‡Ί Let's Militarize...πŸš€

Africa close your eyes πŸ™ˆ Let's Pray...🀲🧎

Dark continent.
 
Wewe umefanya nini cha maana huku duniani
 
Kwa hiyo hao wengine hawana dini katika hizo nchi?Nyie kenge msiokuwa na dini mbona hamfanyi ugunduzi .

Washenzi hamna hoja mpaka umfuate watu wa dini.
 
Kenge ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Jibu kwa hoja sio matusi.

Halfwit bastard.

Idiot nincompoop.
Wazazi wako wamezaa taahira , hauna kazi ya kufanya unatembelea mgongo wa dini ...Hanithi mkubwa wwe , hamna unachojua kazi kushobokea watu kwa ujinga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…