Mkuu
Bukyanagandi , naomba kwanza ku declare ya interest, mimi ni rafiki na mtu aitwae Namajeje wa Bukyagandi, pili, this is from the bottom of my heart, kiukweli kabisa nawependa sana sana Wahaya. Ila lazima niukubali udhaifu wangu, mimi ni mkweli tuu much!. Chochote ninachosema kuhusu Wahaya ni ukweli mtupu uwe ni ukweli mzuri au ukweli usiopendeza, na pia nikiri udhaifu mimi ni mpenzi wa kale kamchezo na kuikweli kwenye yale... Mhaya hana mpinzani wala mshindani!. Hadi niliwahi kuuliza
Anatomical Question on Squirting: Why Only Some and Why So Much Fluid!.
Yes yes chambua tuu!, hata mimi mwenyewe japo ni Msukuma tunajikubali japo sisi ni wachapakazi sana bali pia ni washamba sana!, japo ndilo kabila ambalo wanaume wetu wanaongoza kwa kupenda na kuhonga kwasababu sio wabahili, tatizo letu wengi ni kupenda wengi!. Kwenye ukabila kuna ukabila mzuri na ukabila mbaya. Ukabila mzuri ni kuyaeleza mazuri ya kabila fulani ili wengine waige, na ukabila mbaya ni ule ukabila wa upendeleo uitwao nepotism, Wasukuma sio wakabila wabaya wa nepotism
Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi! sasa kwa vile JPM alituhumiwa kwa ukabila mbaya, nikashauri
Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.
Asante hili nimelipokea, na kiukweli niko obsessed na wadada zenu, kwasababu the first impression last longer!, mimi ni mtoto wa Driven Flats hivyo nipoingia kwenye ujana, my first experience ya mambo yale ni kuingia Msasani Mikoroshoni kwenye vile vibanda vya udongo na koroboi, hivyo ni kweli I love them na wametusaidia sana!.
P.