Geita au Chato????? Who was/is brain of this country? Intellectuals, Engineers, doctors na wengi zaidi. Je, nchi hii imewapa hata shule ya serikali hata moja? Shule zote za serikali ni zile zilizotaifishwa na Serikali wakati wa Mwalimu. Hakuna hata Chuo kikuu chochote cha serikali bali vya kanisa. Ina Maana Kagera ni mkoa wa Mashirika ya dini au tuseme ni jimbo la makanisa na Misikiti?Bukaoba ina uwanja wandege, ina uwanja wa mpira, barabara zote za kuingia bukoba ni za lami, umeme upo wa uhakika wa kutoka uganda, mbunge mmepewa Rwakatare mliyempigania kwa muda mrefu, sasa munataka maendeleo gani JPM awapatie hebu funguka.
Geita barabara ni za vumbi, hamna umeme wa uhakika, hakuna maji, hakuna uwanja wa mpira, mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna hata kiwanda cha soda, sasa JPM anataka anagalau kuweka usawa wa kiuchumi mnaanza makelele.
Sure umemwambiaGeita au Chato????? Who was/is brain of this country? Intellectuals, Engineers, doctors na wengi zaidi. Je, nchi hii imewapa hata shule ya serikali hata moja? Shule zote za serikali ni zile zilizotaifishwa na Serikali wakati wa Mwalimu. Hakuna hata Chuo kikuu chochote cha serikali bali vya kanisa. Ina Maana Kagera ni mkoa wa Mashirika ya dini au tuseme ni jimbo la makanisa na Misikiti?
UlimfikiaUjumbe umefika
Kimefungwakwani chuo kikuu cha SAUT tawi la bukoba hakitoshi?
Kabisa umeona heeNikuongezee hii. Mkakati uliofanywa wa kuanzisha mkoa wa Geita ili Chato ya Magu iende Geita kukwepa Raisi asitoke Kagera.
AseeHaya haya, naona ule msemo wa 'ukabila' umepiga hodi rasmi!
Ngoja tuwe na subira maana alivyopata waziri wa ujenzi alianza na barabara ya kwake (Bwanga - Kyamorwa) ambayo kimsingi hata kwenye ramani ya barabara za nchi haikuwemo. Lakini tunaona miaka takribani 10 aliyokaa wizara hiyo kila mkoa/wilaya inajivunia kuwa na barabara za kisasa. Acha tuone miaka mitano akiwa ikulu kira tarafa yaweza kuwa na airport!
Kila nikikutana na bandiko hili, mimi ni hapa tuu.KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii),
Britannica
Kato haha mzee machalilaKila nikikutana na bandiko hili, mimi ni hapa tuu.
P
Majibu ya hoja zake mleta mada umemaliza kila kitu,....Wahaya wakumbuke kujenga kwao na siyo kukumbuka wakati wa kuzikwa tuWaliotekekeza Kagera ni wana Kagera wenyewe.Watu wa Kagera popote wanapokuwa ndio kwake kafika hana mpango wa kagera wala nini kama wachaga.Kagera wanaenda tu sana sana labda mtu akifariki wanaenda kuzika au kuhani msiba! Kagera kuna wasomi na wenye pesa wamezagaa dunia nzima lakini hawana makazi ya kudumu bukoba na hawana mpango wa kuhamia kukaa kule au kufanya uwekezaji mkubwa kule.
Kila mtu wa kagera anayefanikiwa SANA anachofanya ni kutimukia DAR ES SALAAM ,MIKOA MINGINE.Marekani ,ULAYA NK
Kagera kulitakiwa kuwe na vyuo vikuu kibao.Maprofesa wastaafu wako weengi mno kule wangeanzisha mavyuo kibao walimu wakawa wenyewe na washomile wengine ambao wako every where in the world including UNITED NATIONS and other important UN agencies and ICC.
Kwa watu wa kagera kusubiri serikali ifanye mambo makubwa ni too low na ni aibu.
Non senseBukaoba ina uwanja wandege, ina uwanja wa mpira, barabara zote za kuingia bukoba ni za lami, umeme upo wa uhakika wa kutoka uganda, mbunge mmepewa Rwakatare mliyempigania kwa muda mrefu, sasa munataka maendeleo gani JPM awapatie hebu funguka.
Geita barabara ni za vumbi, hamna umeme wa uhakika, hakuna maji, hakuna uwanja wa mpira, mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna hata kiwanda cha soda, sasa JPM anataka anagalau kuweka usawa wa kiuchumi mnaanza makelele.
HahaHivi Chato kuna nini hadi wajenge international airport?
Tatizo la maji chato wameshalimaliza ?
NakumbishiaKauli za hovyo hovyo kama hizi zilizo kaakaa ki UKUTA UKUTA hazina tija.Mbona hukuwahi kuandika kulaani operation hovyo ya ukuta?.
Haya mambo yakujenga hoja kikabilakabila sijui kwanini wahaya mnayapenda sana?
Hii ni ishara kwamba lile linalosemwa kwamba ninyi ni wakabila ni lakweli.
Raisi yupo mbioni kununua meli kubwa lake victoria ili itoe huduma huko kwenu,mbona hujalalamika kwamba amewapendelea akawaacha wengine?
Hemu mwacheni raisi afanye kazi
Hii comment nairudia rudia sanaGeita au Chato????? Who was/is brain of this country? Intellectuals, Engineers, doctors na wengi zaidi. Je, nchi hii imewapa hata shule ya serikali hata moja? Shule zote za serikali ni zile zilizotaifishwa na Serikali wakati wa Mwalimu. Hakuna hata Chuo kikuu chochote cha serikali bali vya kanisa. Ina Maana Kagera ni mkoa wa Mashirika ya dini au tuseme ni jimbo la makanisa na Misikiti?
Hivi nyie mnaona ni sahihi Rais wa Nchi ashukie Mwanza aendeshwe hadi Chato? Mnafahamu umbali wa kutoka Chato mpaka Mwanza? Au Bukoba Chato? Usalama wa Rais mnauangaliaje au mawazo yenu bado ni yale yale ya umimi? Mnazidisha kulalamika kwa vitu msivyovielewa.Najiuliza hiyo ndege itapata wapandaji kwelii ,maana huko nako maisha magumu
Eti Geita hamna lami...aaah migodi takribani saba ipo Geita. ShubamitiBukaoba ina uwanja wandege, ina uwanja wa mpira, barabara zote za kuingia bukoba ni za lami, umeme upo wa uhakika wa kutoka uganda, mbunge mmepewa Rwakatare mliyempigania kwa muda mrefu, sasa munataka maendeleo gani JPM awapatie hebu funguka.
Geita barabara ni za vumbi, hamna umeme wa uhakika, hakuna maji, hakuna uwanja wa mpira, mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna hata kiwanda cha soda, sasa JPM anataka anagalau kuweka usawa wa kiuchumi mnaanza makelele.