JAY MTAALAM
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 1,595
- 1,392
Kagera mbona mambo ni mazuri,sasa watu wa mkoa wa Mara,Tabora na Shinyanga waseme nini? Kama nyie mnalalamika wakati ndugu zenu wamejaa DSM na miradi na pesa kibao waenda Ulaya,Shule mlipata tangu zamani..