Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Kiswahili ni kizuri sana, lakini sasa kinaua polepole baadhi ya lugha zetu za asili! Sio muda mrefu itakuwa shida kumpata mtu anayejua kizaramu au kindengereko, jamani mtuache tutunze Kiaya chetu!Acha kabisa mpaka hospitali ya mkoa ni mambo ya "Iwe" tu. Kwa hili wabadilike, kila mtu ana lugha yake ila tukishachanyikana basi tutumie lugha ya taifa ambayo kila mtu anaielewa.