Ukweli ni kutofanya mahesabu ya logistics forward and backward linkages, ukiangalia mkuo wa kagera umepakana na nchi ngapi ambazo ni land locked hauwezi kuubeza mkuo wa kagera kama unataka kuwin economies of scale za nchi zilizouzunguka, hii ni kweli ni sabotage za wanasiasa kufanya huu mkuo ubaki nyuma. kwa mfano tu, Uganda inachukua mizigo mingi kupitia bandari ya Mombasa kwasababu ya distance and time bearing. ingekuwa traini inabeba mizigo kutoka dar hadi Mwanza, Mwanza kuna bandari ya Mwanza Bukoba kama kemondo kukajengwa bandari ya nchi kavu . unachukua masaa machache kufikisha mizigo uganda zaidi kuliko Mombasa, ata rwanda Burundi na Congo. huu mkoa una ardhi yenye rutuba ya kutosha na mifugo mingi ambayo inaweza kusaidia kupatikana chakula cha kutosha kurisha nchi zilizotuzunguka na kulipatia taifa pato la kutosha, lakini serikali haitaki kupeleka nguvu kwenye huu mkoa. ukweli kwenye soko la dunia kahawa haijawai kushuka bei na ndio maana mganda ananunua kwa bei nzuri, sisi tumekalia siasa na kuuwa viwanda, kulikua na kiwanda cha Bucop ambacho kiliuwawa kwa ujuma tu na kiwanda cha Tanica ambacho kinazalisha chini ya uwezo.