Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

nyie si juzi hapa ndio mlikuwa na Municipality yenye migogoro isiyoisha kati ya Kagasheki na Amani kisa viongozi wanatoka koo tofauti? Baba wa Taifa anasikika kwenye clip moja anaongelea kuhusu hulka yenu sasa mnataka serikali ije kuwabadilisha hata kwa hilo? Serikali inahusika vp kwa mambo kama hayo?
Mkuu chuki yako kwa mkoa wa Kagera ni dhahili, si ujifiche walau kidogo??
Unataka wanakagera wajijengee hata ofisi za serikali??
Watu kama wewe ndio walidumaza mkoa wetu.
Acha chuki Kagera pia ni Tanzania ina muchango kwa taifa hili!!
 
Acha kabisa mpaka hospitali ya mkoa ni mambo ya "Iwe" tu. Kwa hili wabadilike, kila mtu ana lugha yake ila tukishachanyikana basi tutumie lugha ya taifa ambayo kila mtu anaielewa.
Ningekujibu lakini nshaacha kupoteza mda wangu kwa kuongea na walionizidia IQ kama wewe
 
Mkuu chuki yako kwa mkoa wa Kagera ni dhahili, si ujifiche walau kidogo??
Unataka wanakagera wajijengee hata ofisi za serikali??
Watu kama wewe ndio walidumaza mkoa wetu.
Acha chuki Kagera pia ni Tanzania ina muchango kwa taifa hili!!
Ofisi yenyewe mmeshindwa kujenga kwa migogoro ya kikoo! kwahiyo unataka kumaanisha ofisi ni sawa na uwanja wa ndege wa kimataifa ilhali mnao wa Bukoba? Peleka ujinga na ubinafsi wako!
 
Nshomile uwanja kama huu mpya mzuri na upo empty under utilized eti bado mnataka International Airport! Khaa kuweni na soni hata kidogo jamani! Kule kwetu Songea tunaomba na kulilia kama huu...
DSC07324.JPG


Bukoba-Airport.8.gif


File:Tanzania_location_map.svg
 
Moja ya kabila la Kijinga kabisa ni la Wahaya. Hawa ni wanafik wanafik sana na watu wa kujipendekeza.

Wana sifa za kijinga na wivu kwa wenzao. Nyie wahaya huko kwenu mmekusaidia vipi? Hebu mtuambie mnavyopenda kujisifia hata kwenu hamtak kukaa. Maisha magumu. Jamaa yangu kwao ni bukoba kapelekwa kikaz kagoma kwenda kabisa. Anasema ni wachawi na waswahili sana.kahonga kipindi kile cha kikwete akabadilisha mkoa kaenda mbeya.

Now ananambia amenunua kiwanja anajenga mkoa wa wenzake. Anyway si mbaya. Lakin toka ametoka kwao mwaka 2001 hajawah kurud kwao na hapapend. Si yeye tu.kaka yake kakimbilia kujikita kimaisha mwanza.si mbaya nchi yote ni yetu. Sasa kule bukoba mnabakiza vikongwe na wengine wengine.mnakuja hapa kulia lia. Upuuzi wa mwendo kasi kabisa. Mjiongeze. Ninyi mna majumba mpaka new york sasa si mngechangishana tu mkajenga airport bukoba?

Mkikaa kijiweni mnajisifia sifia kwa sifa za kijinga.wenzenu wanafanya kwel kimya kimya ninyi mnapiga mayowe.

Acheni kutusumbua endeleeni kujipendekeza na kujisifia kijinga wenzenu wanafanya kweli.miaka ijayo mtaanza hata kuukataa mkoa wenu. Kaeni tu kukazana kwenye migomba.
Wewev ndo Kifela aka Ndeshe! Maneno hayo nilotumia nafikiri ukipata mtu wa kukujuza maana yake ndo utajitambua vyema!
 
Wamekuwa wanatutengenezea maneno ili ionekane tunachukiana sisi kwa sisi (divide and rule) ili kutuzuga lakini tumeshawafahamu vizuri sana. Mikakati yao juu ya mkoa ule tushaijua ngoja tuendelee na kile tunachokifikiria. Mkoa wenye hari ya hewa nzuri kupita maelezo, mfano wakati sahivi baadhi ya mikoa ukiwa ni jua la kupasua mawe, mkoani Kagera sahivi ni ngurumo tu na mvua zisizokatika, halafu eti serikali inakosa mipango ya maana na sehemu kama hii ..this is an insult.
sASA KWA KUWA TUMELIJUA TATIZO, TUHIMIZANE KULITATUA, HAWA WANYAMAHANGA NI HATARI SANA! Dawa ya mtu mwenye kiburi ni kuwa na kiburi zaidi yake, wakitusema vibaya tuungane kuwasema vibaya zaidi.
Kwa makabila yote nimeishi nao na najua mengi kuhusu makabila karibia yote. Hakuna mtu anakubalika kama Mhaya, ila anasemwa vibaya kwa sababu yeye alijitambua kabla, akafuata fursa kwenye mikoa mingine ...
 
Hahah kweli Mkuu we ni "nshomile" original kabisaaa mpk picha za 3D unaweka eti nayo ni majengo yaliyoko huko kwenu. Hahah
Picha inabeba ujumbe zaidi ya maneno matupu!
 
Tatizo la mkoa wa kagera sio miundombinu tu bali ,strong factor ni ukabila uliopindukia ndo unaurudisha nyuma mkoa wa kagera.
 
Mhaya alijitambua wapi? Mbeya, knjaro,mwanza na arusha watasemaje?mi huwa namwambiaa wazwaz mjomba wangu wahaya are one of the very stupid people in tanzania. Na msingekuwa wajinga msingekuja kulia kulia hapa huku mkoa wenu ukiwa moja ya mikoa maskin tanzania. Mnakaa kujisifia sifia ujinga huku mnakimbia kwenu sababu ya uchawi,fitina na wivu.


Wewev ndo Kifela aka Ndeshe! Maneno hayo nilotumia nafikiri ukipata mtu wa kukujuza maana yake ndo utajitambua vyema!
 
Haya haya, naona ule msemo wa 'ukabila' umepiga hodi rasmi!
Ngoja tuwe na subira maana alivyopata waziri wa ujenzi alianza na barabara ya kwake (Bwanga - Kyamorwa) ambayo kimsingi hata kwenye ramani ya barabara za nchi haikuwemo. Lakini tunaona miaka takribani 10 aliyokaa wizara hiyo kila mkoa/wilaya inajivunia kuwa na barabara za kisasa. Acha tuone miaka mitano akiwa ikulu kira tarafa yaweza kuwa na airport!
Ukabila ulianza muda mrefu kabla ya haya ya Raisi wa sasa , na mawaziri wa fedha na wengine to waliokuwa wakielekeza bajeti za maendeleo sehemu wanazo toka
 
Kwani unafikiri hilo hawalijui? Wanajisemea tu kwa kutoa hoja za kipuuzi na unafiki.

Mleta mada umetoa vielelezo vinavyo onyesha kanda na Mikoa inayo pewa kipa umbele na Serikali katika masuala ya kusaidia/leta maendeleo - narudia SERIKALI hii inayo tutoza kodi alafu bila aibu inaleta upendeleo wa wazi wazi kwa kususia Mkoa wa Kagera kimaendeleo, wanaweza kutao kisingingzio gani? Watwambie kama kuna a hidden agenda ya muda mrefu ya kuudhofisha Mkoa wa Kagera - sisemi mambo ya kubuni - hapa ntatoa mifano michache ya kuonyesha uonevu uliyo pitiliza mipaka tangu tupate uhuru:

1) Kampein za kisiri siri za kudhoofisha Mkoa wa Kagera zilianza muda mrefu baada ya kupata uhuru, waanga wa kwanza ni wanafunzi wa darasa la saba - Mkoa wa Kagera uliwekewa pass mark ya 150 kwenda Sekondari wakati mikoa mengine ukipata alama 45 unakwenda Sekondari - yaani Mkoa ukuwa victimised kutokana na juhudi za wanafunzi na wazazi wao kujali elimu, yaani badala ya Serikali ya awamu ya kwanza kuwaleta walimu na baadhi ya wanafunzi kutoka Mikoa mingine kuja Mkoa wa Kagera kujifunza mbinu zinazo tumika kuwawezesha wanafunzi wengi kwenda Sekondari, wao wanabuni mbinu ya kufanya Mkoa umark time kwenye masuala ya elimu.

2) Ukatiri wa kuvunja chama cha Ushirika cha wakulima wa Kahawa, kutaifisha mali na fedha zote zilizo kuwa zimewekwa kwenye Benki ya NBC, chama hiki ndicho kilikuwa kimbilio la watu wanyonge, kilisadia sana katika masuala ya Elimu, waligharimia kila kitu mpaka wanafunzi waliokuwa wanasoma nje ya nchi. Walijenga mashule na kuweka vitega uchumi sehemu nyingi tu - kwa kifupi kilikuwa ni kichocheo kikubwa katika maendeleo ya Mkoa wa Kagera, Viongozi wa nchi wakabuni mbinu za kukisambaratisha wakati wanajua fika kwamba si chama cha SIASA, kwa nini walikuwa na wasi wasi na vyama vya Ushirika, vyama vya wafanyakazi na vyama vya Waislaam wakati ndivyo vilitoa mchango mkubwa katika harakati za kupigania uhuru!!

3) Juhudi za Mkoa wa Kagera kujiletea maendeleo zilianza muda mrefu, si watu wengi wanao lijua hilo - juhudi hizo zilikuja kuzimwa na Serikali ya awamu ya kwanza kwa kutoa visingizio mbali mbali mfano: Ni hii Project kubwa iliyokuwa itekekezwe katika mto NGONO, Serikali ya Sweden alitaka kugharimia mradi huo wa kujenga DAM karibu na daraja la Karebe - maji yangetumika kuzalisha umeme, kumwagilia commercial farms za mpunga, horticulture zikiwemo Alizeti, hiriki, vanilla na maua ya kwenda kuuzwa Ulaya - ulikuwa ni mradi mkubwa na wa maana ambao ungechochea maendeleo katika nyanja za kilimo, viwanda vidogo na vya kati kutokana na umeme wa kuaminika -wasimamizi wa mradi walikuwa ni marehemu Askofu Josiah Kibila na wenzake, hao ndio walikwenda kuomba msaada Sweden - baada ya Serikali ya awamu ya kwanza kupewa taarifa, Waziri Mkuu Edward Sokoine kaenda Bungeni na kusema Serikali ya awamu ya kwanza inajali sana Mkoa wa Kagera itagharimia mradi huo - kauli yake ndiyo ikawa mwanzo wa kauliwa mradi mzima kistaarabu - atuwezi kusema mradi ulikufa kwa bahati mbaya.

4)Mengi ya kweli kuhusu matatizo ya Mkoa wa Kagera yamekwisha zungumzwa na wenzangu labda mimi nigusie kidogo kuhusu usafiri - inashangaza kidogo kuona reli ya kati zitajengwa branch za kwenda Mpanda, Kaliua/Katavi, Rwanda, Burundi na Uganda -kwenye Project nzima Wizara ya Uchukuzi haikiwekea maanani/kumbuka Mkoa wa Kagera - awasemi chochote zaidi ya kuzungumzia reli ya Mtwara nk - Mkoa wa Kagera tutasahulika mpaka lini, wakati wa utawala wa Wajerumani walitaka kutandaza reli kwenda Bukoba sisi tunashindwa nini?
Sasa wakati wa Sokoinne si 1983/84 Huko , je mlifanya nini in btn 1961-1971 eg au 1971-1975 , kuhusu reli Bkb / Kagera kuna Meli inakuja kuwa na Meli ni sawa na kuwa na Reli kwa ajili ya usafiri wa mizigo na Watu. Na hii ilikuwa toka wakati wa mkoloni. Mkiwekeza kwenye Hiyo horticulture nk automatically uwanja utakuja tu.
Kuhusu chuo kuwekwa na serikali ni Ngumu kutokana na kwamba bkb inter garrison ya Watu bado ni ndogo kulinganisha na mikoa mingine , Kama mtwara , ruvuma , mwanza, dsm , ars nk
 
WANa kagera na waTanzania wote kwa jumla, tunatakiwa kuangalia tunapo toka na tunapo kwenda na hapo Kati ni vitu gani vya kufanya kuleta maendeleo.
Wakati wa ukoloni maendeleo ya kwanza yaliletwa na wakoloni/na WANa Dini kutokana na mahitaji Yao, hivyo Watu wengine walipata maendeleo baada ya kupata exposure toka kwa wageni , kwani wakati Huo muingiliano wa Watu wa sehemu Mbali Mbali ulikuwa mdogo kutokana na usafiri na pia uwoga wa Watu kuingia sehemu za Watu wenye tamaduni tofauti.
Mikoa yote yalikuwa na cooperative union kubwa na zilizoleteleza maendeleo sehemu husika na kutokana na mazao ya Biashara ualiolimwa sehemu hizo.
Na wakoloni walikuja na mbinu zao za kutawala moja ni divide and rule kwa mfano Kama mpo jamii moja basi watoto wa machifu , halafu wa viongozi wa Dini au Watu waliojopendekeza/ au kujinasibu nao walipata madaraka au nafasi za kusoma, na hao Ndio wakawa viongozi wa sehemu hizo au jamii husika. Na baadae viongozi wa coop unions.
Ndipo kila jamii zilipojenga Shule hospital na majengo ya kibiashara ka hotel , offices na pia wa mission pia wakaongezea.
Post colinial tz Nyerere alikaribu kuvunja hizi cooperatives union ili kupunguza au kuondoa ukabila uliokuwepo kwa kutokuwepo na muingiliano mkubwa wa watu, na kuhamisha Mtu wa kusini kwenda kaskazini nk. Na kujaribu waliokuwa nyuma wanao waende mbele , mfano wamasai walikuwa wagumu kutoka na mfumo wao wa maisha wa kuhama Hama , hivyo akiwa promote wachache walio Ona mwanga wa Shule kuwa viongozi ili kuwapa hamasa wenzao kwamba wakienda Shule nao watakuwa viongozi Kama mtoto wa fulani , pili wengine kusomea utabibu wa mifugo. Hivyo stagnation ya mikoa mingi au maendeleo ya sehemu nyingi yalianza kuratibiwa na serikali kuu. Na mikoa mi chache ikawa Ndio focus ya serikali ktk kupeleka maendeleo ambayo ilikuwa Dsm makao makuu ya serikali na commercial city , arusha utalii na makao makuu ya afrika mashariki na morogoro mji wa viwanda .
Baada ya hapo Kuduma au kuendelea kwa mikoa ilikuwa ni kutokana na mipango ya maendeleo ya nchi kwani focus kubwa kulima mazao ya Biashara na kuendeleza nchi toka central government na kuzorotesha ukabila. Sasa Kama kuna effect kwa mikoa ilikuwa ni kote , hata mwanza waliokuwa na Nyanza coop nao walikuwa affected , Kilimanjaro , Rift Valley , kagera/bukoba etc . Na baadae maendeleo ya sehemu husika yalidumazwa na Watu wa sehemu husika kutowekeza kwao kwa sababu za hofu ya kulogwa, wengine kufuata sera ya nchi ya asiyefanyakazi basi asile na asiwe makabila sasa Mtu maisha muda mrefu Yupo dar au New York sasa ajenge nyumba bukoba au Tabora ya Nini, na jingine lilo kupunguza kasi ya maendeleo hasa hasa vijijini ni ukosefu wa umeme . Na pia changamoto za maisha wakati ule hazi kuwa kubwa kwa waliosoma kwani kazi zilikuwepo na nyumba za serikali ni na binafsi zilikuwepo na focus za wazazi wengi ilikuwa kwamba watoto wao nao wata endeleza walichofanya wazazi wao kwa kusoma Kama wazazi na watapata kazi nzuri na mengineyo Kama Baba alikuwa Balozi fulani basi mtoto atakuwa zaidi ya baba au mama. Jingine lilodumaza sehemu Kama mtwara lindi ni barabara na vita ya msumbiji, na kagera baada ya kuvunjika kwa jumuia ya afrika mashariki ni accessibility ya mkoa na fursa ya Biashara na zaidi ya hapo wazaliwa wa Huko ku base maisha yao dar na sehemu zingine kwenda Huko ni pale Mtu anapo retire au kwenda kuzika au kuzikwa.
Sasa kwa kuwa sasa hivi karibu jamii zote zimejanjaruka basi tuache yalio tusababisha kutoendelea kwa sisi wenyewe kuwekeza sehemu tunazo toka , kukubali intergration kwani huwezi kujiuzia wewe mwenyewe au kwenye soko dogo, pili intergration inaleteleza competition hivyo kuboresha zaidi utendaji wetu na Biashara zetu na vitu vinavyo endana na hivyo. Sio tunachukulia ukoo wa Prof fulani wao tu Ndio watakuwa juu na sisi wengine wasindikizaji . Na kwa local government zinaanze kufanya vitu vinavyoweza ku chochea maendeleo Kama stand za ma bus Shule , maktaba , mipango miji , hii italeteleza wawekezaji kuona fursa na serikali kuu kuona umuhimu wa airport ya Mahale/serengeti/Omukunji /Katavi /Ilula / Bagamoyo
 
Back
Top Bottom