Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Mi ndo hoja yangu IPO inajadiliwa hapa sasa unataka nirudie Yale yale
hivi uhayani kuna community bank ngapi? Tuanze kwanza hapo! Na kama zipo kwann hazipo top 5 Tanzania? Kwa masifa yoote mliyo nayo...!

Dar es salaam
  1. Dar es salaam Community bank
Simiyu
  1. Simiyu Community Bank
Mwanza
  1. Mwanza Community Bank
Arusha
  1. Meru Community Bank
Songea
  1. Mbinga Community Bank
Njombe na Iringa
  1. Mufindi Community bank
  2. Njombe Community Bank
kwa kuanzia zilizopo Kilimanjaro
  1. Uchumi Commercial Bank Limited
  2. Mwanga Commercial Bank
  3. Kilimanjaro cooperative Bank Ltd
Au walioanzisha walipendelewa na Serikali?
 
hivi uhayani kuna community bank ngapi? Tuanze kwanza hapo! Na kama zipo kwann hazipo top 5 Tanzania? Kwa masifa yoote mliyo nayo...!

Songea
  1. Mbinga Community Bank

Njomba na Iringa
  1. Mbinga Community Bank

kwa kuanzia zilizopo Kilimanjaro
  1. Uchumi Commercial Bank Limited
  2. Mwanga Commercial Bank
  3. Kilimanjaro cooperative Bank Ltd
Au walioanzisha walipendelewa na Serikali?
Kanyigo community bank
Buganguzi community bank
Kagera farmers community bank
Mwisa famers bank. Zipo nne
 
Kanyigo community bank
Buganguzi community bank
Kagera farmers community bank
Mwisa famers bank. Zipo nne
Na hazina website sio? List of community bank as 2015

National Commercial Banks:

AccessBank Tanzania

Advans Bank Tanzania

Akiba Commercial Bank

Amana Bank

Azania Bank

BancABC

Bank M

Bank of Africa

Bank of Baroda (Tanzania)

Bank of India (Tanzania)

Barclays Bank Tanzania

Citibank

Commercial Bank of Africa (Tanzania)

CRDB Bank

DCB Commercial Bank

Diamond Trust Bank Tanzania

Ecobank

Equity Bank (Tanzania)

Exim Bank (Tanzania)

FBME Bank

Habib African Bank

I&M Bank (Tanzania)

International Commercial Bank

Kenya Commercial BankFirst National Bank of Tanzania

Mkombozi Commercial Bank

National Bank of Commerce (Tanzania)

National Microfinance Bank

NIC Bank Tanzania

People’s Bank of Zanzibar

Stanbic Bank

Standard Chartered Bank

UBL Bank Tanzania Limited

United Bank for Africa

Licensed Financial Institutions:

Covenant Bank For Women

Efatha Bank Limited

EFC Tanzania M.F.C Limited

Finca (Tanzania) Limited

Kagera Farmers’ Cooperative Bank Limited


Kilimanjaro Cooperative Bank Limited


Maendeleo Bank


Mbinga Community Bank Limited


Meru Community Bank Limited


Mufindi Community Bank Limited


Mwanga Rural Community Bank Limited


Mwanza Community Bank


Njombe Community Bank Limited


Simiyu Community Bank


Tandahimba Community Bank Limited


Tanzania Mortgage Refinance Company

Tanzania Postal Bank

Tanzania Women’s Bank Limited


Twiga Bancorp Limited


Uchumi Commercial Bank Limited


Development banks:

Agricultural Development Bank

TIB Development Bank
 
BOT knows only Kagera Famers Cooperative Bank limited! kama wakazi wa Kagera are all that what u claim, basi mngekuwa na Bank at least tano kwenye hiyo list! Cha ajabu kwenye hiyo list mikoa yenye community bank nyuingi inajionyesha! muache majigambo ya kipumbavu! Kagera mnatakiwa muonyeshe majigambo yenu kivitendo mnatakiwa muwe na na at least Community Bank inayoongoza Tanzania! halafu ndo mpige kelele mnatengwa maana hao wenye nyingi walizianzisha wao wenyewe! serikali ni moderator tu kupitia BOT! Au BOT nayo inawabagua? 😛
 
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi

Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera?
Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania,
Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara,

1. Dar es salaam
2. Kagera
3. Kilimanjaro

Lakin ukweli usiopingika Kagera imetelekezwa na serikali vya kutosha bila kujali majanga yaliyoikuta au michango ambayo Kagera imetoa kwa watanzania.

Kila MTU kutokea Kagera atakuwa ana kumbukumbu zinazomfanya kusononeka sana,

SABABU MUHIMU ZILIZOSABABISHA KAGERA KURUDI NYUMA KIMAENDELEO

1. VITA YA KAGERA, 1978/79
Vita ya nchi nzima ilipiganwa kwenye mkoa mmoja na kuharibu miundombinu vya kutosha , na ule ndo ulikuwa uwanja wa vita hasa, lakini hakuna sehemu yoyote kuna strategy za kuujenga upya mkoa, tunaishia kusikia maneno ya kashfa tu tena toka kwa viongozi wakubwa kwa wanakagera eti mmeshindwa kujenga hata chuo kikuu kimoja? Aliuliza Kikwete lakini kasahau kuwa yeye kama mkuu wa serikali hajajenga hata chuo cha kutoa cheti.

2. JANGA LA UKIMWI 1983,
Kama inavyojulikana Kagera iko mpakani mwa Uganda, na UKIMWI umeanzia Uganda, na kwa kuwa wana Kagera wana utaratibu wa kufanya Biashara na Uganda , haikukwepeka kupata UKIMWI, nguvu Kazi kubwa ilipotea sana miaka hiyo na kusababisha uchumi kurudi nyuma,

3. AJALI YA MV BUKOBA
Janga la pili ambalo linafanya kudhoofisha mkoa wa Kagera ni kuwa , watoto wengi yatima wameongezeka , nguvu kazi imepungua kutokana na ajali ile.

4.1998 EL NINO
Hii wengi mnaelewa kuwa imekumba sana ukanda wa kanda ya ziwa kuliko kanda yoyote ile hapa nchini , imeharibu miundombinu na kupoteza wazalishaji Mali,

5. KUSHUKA KWA BEI YA KAHAWA 1998 KWA UZEMBE WA SERIKALI.
Inajulikana Kagera ilitegemea sana Kahawa kama kitega uchumi , kwa uzembe wa serikali hakukuwepo utaratibu wa kuhakikisha Kahawa inabaki na bei ya kuridhisha badala yake ikapuuza mpaka wananchi wakakata mibuni maana haikuwa na maana tena,

6. UBAGUZI ULIOJIFICHA TOKA KWA VIONGOZI ( INDIRECT DISCRIMINATION TOWARDS HAYA TRIBE)
Miaka ya nyuma hakuna ambaye hajui kuwa wahaya waliwekewa mizengwe katika baadhi ya sekta, hata kwenye elimu , walipandishiwa alama za ufaulu ili wachache waendelee na elimu ya juu maana walionekana kuwa wao ndio wanafaulu na kujaza madarasa mengine, lakin ili kuitamka sentensi hii (INAHITAJI UJIFANYE MWENDA WAZIMU KIDOGO)

7. KUTENGWA NA NCHI KIJIOGRAFIA
Kagera iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, waliowahi kufika uko ndio wanaelewa namaanisha nini, Kagera imekuwa kama kisiwa maana jinsi ya kufika kule inabidi ukatishe kilometer kadhaa za msitu, ili uingie Kagera, au upite ziwani kwa meli ndio uende mikoa mingineyo ambayo ni ya Tanzania, hivyo basi wana Kagera walikuwa na urahisi wa kufanya Biashara na Uganda kuliko mikoa mingine ya Tanzania, lakini serikali ilikataza biashara hiyo , wakajikuta wamebaki kama kisiwa ndani ya nchi yao wenyewe,

8.KAGERA KIMBILIO LA WAKIMBIZI MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA 1994 NA MACHAFUKO TANAYOENDELEA UKANDA ULE.
Wanyarwanda wameiteka Kagera hasa wilaya ya Karagwe na Muleba na kujichukulia ardhi , pia wamekuwa watekaji wa magari na kudhalilisha wana kagera , kitu amabacho kimerudisha nyuma uchumi wa mkoa, kwa kasi, majambazi wametamalaki na kufanya uharamia ambao umefanya kusiwepo hali ya utulivu na kujenga uchumi, serikali imechelewa kuchukua hatua,

9. KUTOJUMUISHWA KATIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KIKANDA
Kila kanda imetengwa katika kanda fulani ya mkakati wa maendeleo lakini kanda ya ziwa ambayo ndipo kuna mkoa Kagera hakuna ilipoainishwa katika mpango wa maendeleo.Kagera Umekuwa ni mkoa wa kujitegemea kwa kila kitu utasikia

Ukumbi wa mkutano unajengwa Arusha, sijui chuo cha utalii Dar, chuo cha ufugaji Tabora.

Chuo cha reli tabora, chuo cha science cha nelson Mandela arusha,
Chuo cha serikali cha ugavi, Chuo cha ushirika Moshi Mara..

Chuo cha mbao Iringa, kwanini Kagera hakuna mipango endelevu, sasa upo wapi uwanja wa Mukajunguti wa ndege na ulishaahidiwa kuwa wa kimataifa na kutengewa bajeti kipindi cha Mkapa?,Rais Magufuli halioni hilo?

Kagera wanekuwa wa kupandia kama daraja, Kikwete kaenda Bukoba katoa ahadi ambayo imerudiwa na Magufuli sana, eti ntawapa meli ,mbona hata mtumbwi haujaweka,

We unayesoma hapa nitajie chuo chochote kilichojengwa na serikali kuazia cheti mpaka degree, imekuwa vipaumbele kujenga Dodoma na mnasahau kuna deni Kagera inadai kwa taifa hili.

Kilichosaidia Kagera ni vishirika vya wazungu tu kama partage, world vision, gses, yaan serikali haijatenda haki huko.

SOMA HII SASA SERIKALI INA KITU KINAITWA SUBJECTIVE AND OBJECTIVE PLANNINGS,(BIG FOUR REGIONS) IKO HIVI

1.KANDA YA KUSINI AU NYANDA ZA JUU KUSINI
Imetengwa kama kanda ya kilimo hapa kuna mikoa
Njombe
Mbeya
Katavi
Ruvuma
Na Iringa .

2.KANDA NYINGINE KANDA YA KASKAZINI
Hii imeahinishwa na kupewa kipaumbele kama kanda ya utalii,
Mikoa ni
Arusha,
Kilimanjaro na Manyara,

3.NYINGINE NI KANDA YA KATI ,
Taasisi za siasa na Elimu ya juu
Mikoa ni
Morogoro,
Dodoma,
Singida,

4. KANDA YA MASHARIKI INEPEWA Kanda ya viwanda na Biashara, mikoa ni
Dar es salaam,
Mtwara
Lindi
Pwani
Tanga

KANDA YA ZIWA ANBAYO KUNA KAGERA IKO WAPI, ?
Sasa inafika hatua tunapaswa kuusema ukweli ,

Mheshimiwa rais huu ulikuwa ninwakati wa Kujenga MUKAJUNGUTI INTERNATIONAL AIRPORT SIYO CHATO. TUNGEPOZWA ANGALAU NA UWANJA UO MAANA TUMESUBIRI NEEMA KWA MIAKA MINGI LAKIN WAPI

Wengi watasema umejenga huko kwakuwa ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Kajunguti International Airport - Wikipedia, the free encyclopedia
Jibu la Swali lako unalo!
Chato ni nyumbani kwa Mhe.Rais wetu mpendwa JPM..hili kutomchosha mhe.Rais na safari ndefu toka Airport akielekea mapumzikoni Chato!
Huko Omukama sijui nini ni kwa nani!?
 
inaniuma sana kwa mkoa wangu.pia wataalamu na wasome wengi tunawapoteza kwa kuondoka nchi yao kwa kutengwa kwa mkoa kama huyu anayefanya kazi NASA na maprofesa
 
inaniuma sana kwa mkoa wangu.pia wataalamu na wasome wengi tunawapoteza kwa kuondoka nchi yao kwa kutengwa kwa mkoa kama huyu anayefanya kazi NASA na maprofesa
yupi anafanya kazi NASA? kazi yake ya NASA haisaiidii kitu itabaki tu title kama ameshindwa ku-mobilize Nshomile wenzie wakaanzisha hata ka-community bank!
 
BOT knows only Kagera Famers Cooperative Bank limited! kama wakazi wa Kagera are all that what u claim, basi mngekuwa na Bank at least tano kwenye hiyo list! Cha ajabu kwenye hiyo list mikoa yenye community bank nyuingi inajionyesha! muache majigambo ya kipumbavu! Kagera mnatakiwa muonyeshe majigambo yenu kivitendo mnatakiwa muwe na na at least Community Bank inayoongoza Tanzania! halafu ndo mpige kelele mnatengwa maana hao wenye nyingi walizianzisha wao wenyewe! serikali ni moderator tu kupitia BOT! Au BOT nayo inawabagua? 😛

Geza, hivi kwenu Songea mna Community Banks ngapi - labda tuanzie hapo.
 
Bukoba hatuna chuo kikubwa cha serikali, Bukoba hakuna hadhi ya kuitwa manispaa mji umechoka sana hakuna juhudi za serikali za kuuendeleza kama miji mingine
Bukoba imekuwa kisiwa Biashara imekuwa hatari sana hakuna namna ya kufanya na wenzetu
 
Ni kweli kaka, hakuna barabara yenye vumbi la kufa mtu kama barabara ya Kahama Geita, hakuna barabara mbovu kama ya Geita Msalala, Tizama barabara ya Geita Nkome hadi Nyehunge, mji pekee landrova 109 zinabeba abiria. Halafu Rais anataka kuleta usawa wa kimaendeleo mwano kibao, haiwezekani. Pension zetu bil 200 zimetumika kujenga daraja la kigamboni ambalo hata magari hayapiti, halafu tunataka kuwekewa uwanja wa ndege watu wanabweka, shenzi sana.
Barabara huna unataka uwanja wandege huu ndio ujinga wenyewe pigania kitu kitakacho kunufaisha
 

Mkuu Britanicca, mbona umejieleza vizuri tu na kutoa vyelelezo vya kweli - sina shaka viongozi Serikalini ambao wako level headed na hawana hata chembe ya latent chuki kuhusu Mkoa wa Kagera watakuelewa vizuri tu na kumpa ushauri mzuri Dk.Magufuli ili aweze ku- reverse trend ya kudumaza Mkoa wa Kagera.

Wazaliwa wa huko ndiyo tunajua vizuri kinacho endelea Mkoani Kagera - usijali sana ma prophets ambao wanajitokeza humu wakiwa ni kitu kimoja in their mind nacho ni: how to teardown imaginary Hayas' pride!!! - ndiyo crusade inayo endelezwa na some members wenye skewed mind.

Ukiona member yeyote anatumbukisa terms kama: majisifu, kujiona, maringo nk ukiona hivyo just walk away huna haja ya kujibizana nao, kumbuka lengo lao ni ku resort kubeza beza tu na kutoa majibu mepesi yasiyo na mantiki

Members wenye nia njema kwa Mkoa wa Kagera you can easily smell 'em a mega kilometer away i.e utawajua tu tangu mwanzo.

And with that NOTE - Be blessed emanzi "Britannica" tupo pamoja.
 
Tatizo la kubwa la bukoba ni unafiki uliokithiri ndo chanzo cha kubak nyuma, pili muingiliano wawatu tofaut tofaut hakuna wamebaki kuwa na kabila moja2 vitega uchumi hakuna
 
Mkuu Britanicca, mbona umejieleza vizuri tu na kutoa vyelelezo vya kweli - sina shaka viongozi Serikalini ambao wako level headed na hawana hata chembe ya latent chuki kuhusu Mkoa wa Kagera watakuelewa vizuri tu na kumpa ushauri mzuri Dk.Magufuli ili aweze ku- reverse trend ya kudumaza Mkoa wa Kagera.

Wazaliwa wa huko ndiyo tunajua vizuri kinacho endelea Mkoani Kagera - usijali sana ma prophets ambao wanajitokeza humu wakiwa ni kitu kimoja in their mind nacho ni: how to teardown imaginary Hayan pride - ndicho kinacho endelea hapa, ukiona member yeyote anatumbukisa terms kama: majisifu, kujiona, maringo nk just walk away huna haja ya kujibizana nao nia yao ni kubeza beza tu. Wenye nia njema kwa Mkoa wa Kagera utawajua tu tangu mwanzo.

Be blessed emanzi "Britannica" tupo pamoja.
Wakola waitu
 
ukabila haupo ni wajinga wachache ndio wanaochochea, wakazi wa mwanza ni kama wakazi wa Dar wamechanganyikana, tofauti na moshi 98% ni wachagga na ndio wanadhani kila mahali ni ukabila tu, wajinga sana.
Bila kuwataja wachaga naona huachi kuwashwa
 
Mkuu Britanicca, mbona umejieleza vizuri tu na kutoa vyelelezo vya kweli - sina shaka viongozi Serikalini ambao wako level headed na hawana hata chembe ya latent chuki kuhusu Mkoa wa Kagera watakuelewa vizuri tu na kumpa ushauri mzuri Dk.Magufuli ili aweze ku- reverse trend ya kudumaza Mkoa wa Kagera.

Wazaliwa wa huko ndiyo tunajua vizuri kinacho endelea Mkoani Kagera - usijali sana ma prophets ambao wanajitokeza humu wakiwa ni kitu kimoja in their mind nacho ni: how to teardown imaginary Hayas' pride!!! - ndiyo crusade inayo endelezwa na some members wenye skewed mind.

Ukiona member yeyote anatumbukisa terms kama: majisifu, kujiona, maringo nk ukiona hivyo just walk away huna haja ya kujibizana nao, kumbuka lengo lao ni ku resort kubeza beza tu na kutoa majibu mepesi yasiyo na mantiki

Members wenye nia njema kwa Mkoa wa Kagera you can easily smell 'em a mega kilometer away i.e utawajua tu tangu mwanzo.

And with that NOTE - Be blessed emanzi "Britannica" tupo pamoja.
Sasa nimeamini Ngosha ni kiboko hadi wahaya wanaanza kupiga mwano, sasa hivi maofisini hakuna kubebana,
 
Bila kuwataja wachaga naona huachi kuwashwa
Simaanishi kuwa nawachukia wachagga ila ndivyo walivyo, wachagga na wahaya kwa akili yao wanadhani ukabila unaweza mbeba mtu wanasahau pia unaweza kukuangusha pia, ukienda kwenye makampuni ya wahindi wanabebana sana lakini haohao anaweza kosa kazi kwa uhindi wake hatakama anasifa vipi,
 
Back
Top Bottom