ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 10,292
- 4,976
Umeongea mengi lakini kweli kipaumbele cha Kagera ni airport kweli duh
Kuna kipindi walianza kuongelea ule msitu wa Ruzinga unaotenganisha Tz na UG kuuweka kwenye mkakati wa Hifadhi ya Taifa, sijui waliishia wapi? Ule msitu nasikia kuna viumbe ambao hawapatikani kwenye mbuga nyingine ambazo zimetangazwa kuwa hifadhi. Ebu tuulizane jamani, hivi Saa nane kuna nini cha ziada hadi kutangazwa kuwa hifadhi badala ya kufanya utafiti kwenye huo msitu wa Ruzinga?Wamekuwa wanatutengenezea maneno ili ionekane tunachukiana sisi kwa sisi (divide and rule) ili kutuzuga lakini tumeshawafahamu vizuri sana. Mikakati yao juu ya mkoa ule tushaijua ngoja tuendelee na kile tunachokifikiria. Mkoa wenye hari ya hewa nzuri kupita maelezo, mfano wakati sahivi baadhi ya mikoa ukiwa ni jua la kupasua mawe, mkoani Kagera sahivi ni ngurumo tu na mvua zisizokatika, halafu eti serikali inakosa mipango ya maana na sehemu kama hii ..this is an insult.
Hivi uajua unachokinena?Wahaya tatizo hawakumbuki kwao acheni kulia Lia embu
Hivi uajua unachokinena?
Hivi uajua unachokinena?
Ina maana wanaoishi mkoani Kagera wanalala vichakani? Ninachokijua nyumbani kwetu ipo nyumba, ujombani zipo nyumba, mjini bukoba kuna nyumba zetu, n.k labda nikuwekee baadhi ya majengo yaliyoko Bukoba mjini ndo utajua kwamba zipo nyumba mkoani Kagera.Mkuu Kwani naakosea?kwanini hampendi kujenga kwenu ni aibu na fedheha mkoa wenye wasomi kama Kagera kuwa maskini kuliko mkoa wa pwani ,mtoa uzi analazimisha kuwa Kagera umesahau kila kuliko katavi ,kigoma ,Songea na rukwa?
Mkuu ninaelewa tunaelewana na tunaelewa kitu gani hasa tunakiongelea. Hawa wanaotapika hapa ni wale walioamua kutumia siasa katika kila jambo, so far they are simply short sighted and cynicistsKuna kipindi walianza kuongelea ule msitu wa Ruzinga unaotenganisha Tz na UG kuuweka kwenye mkakati wa Hifadhi ya Taifa, sijui waliishia wapi? Ule msitu nasikia kuna viumbe ambao hawapatikani kwenye mbuga nyingine ambazo zimetangazwa kuwa hifadhi. Ebu tuulizane jamani, hivi Saa nane kuna nini cha ziada hadi kutangazwa kuwa hifadhi badala ya kufanya utafiti kwenye huo msitu wa Ruzinga?
Kauli za hovyo hovyo kama hizi zilizo kaakaa ki UKUTA UKUTA hazina tija.Mbona hukuwahi kuandika kulaani operation hovyo ya ukuta?.
Haya mambo yakujenga hoja kikabilakabila sijui kwanini wahaya mnayapenda sana?
Hii ni ishara kwamba lile linalosemwa kwamba ninyi ni wakabila ni lakweli.
Raisi yupo mbioni kununua meli kubwa lake victoria ili itoe huduma huko kwenu,mbona hujalalamika kwamba amewapendelea akawaacha wengine?
Hemu mwacheni raisi afanye kazi
kwa yela majigambo yenu hizi picha kwa Muhaya halisi anayetoka Paris ni lazma mjiulize maana zinatia aibu! Hii ya kulia naona bado ipo kwenye mchakato! baba mpo nyuma mjikaze kwelikweli kwenye kujenga Bukoba yenu!I
Ina maana wanaoishi mkoani Kagera wanalala vichakani? Ninachokijua nyumbani kwetu ipo nyumba, ujombani zipo nyumba, mjini bukoba kuna nyumba zetu, n.k labda nikuwekee baadhi ya majengo yaliyoko Bukoba mjini ndo utajua kwamba zipo nyumba mkoani Kagera.
![]()
![]()
![]()
Hahah kweli Mkuu we ni "nshomile" original kabisaaa mpk picha za 3D unaweka eti nayo ni majengo yaliyoko huko kwenu. HahahI
Ina maana wanaoishi mkoani Kagera wanalala vichakani? Ninachokijua nyumbani kwetu ipo nyumba, ujombani zipo nyumba, mjini bukoba kuna nyumba zetu, n.k labda nikuwekee baadhi ya majengo yaliyoko Bukoba mjini ndo utajua kwamba zipo nyumba mkoani Kagera.
![]()
![]()
![]()
I
Ina maana wanaoishi mkoani Kagera wanalala vichakani? Ninachokijua nyumbani kwetu ipo nyumba, ujombani zipo nyumba, mjini bukoba kuna nyumba zetu, n.k labda nikuwekee baadhi ya majengo yaliyoko Bukoba mjini ndo utajua kwamba zipo nyumba mkoani Kagera.
![]()
![]()
![]()
Yes yes mwenye kupinga hajui aongeachoMkuu ninaelewa tunaelewana na tunaelewa kitu gani hasa tunakiongelea. Hawa wanaotapika hapa ni wale walioamua kutumia siasa katika kila jambo, so far they are simply short sighted and cynicists
Siyo kweli mkuu kabisa naomba ufikilie upyaWachawi wa maendeleo ni nyie wenyewe wana kagera fanyeni mpango wa kuboresha kwa kujenga vitega uchumi kwenu mmesoma ndiyo lakini ni ovyo majungu yamewamaliza na kujifanya wamerikana 😡🙁 sorry kamugisha eti unasema vita??????Rwanda ambapo vita imepigana for years Leo wana maendeleo safi unadhan na wao wangekaaa kulalamika kama nyie ingekuwaje????amkeni jengeni kwenu wahaya maneno mengi mkoa wenu kibra
Pasco huwa Mara zote yuko hivyo sishangaiPASCO!
Umeanza tena tabia yako ya kuuma na kupuliza! Matatizo ya kweli yaliyo kuwa itemised na mwenzetu hakuna hata moja unalokubaliana nalo, kila item wewe ni "nyet nyet" kama Boris Yelstin Rais wa zamani wa USSR, Pasco unapenda penda sana kufurahisha baraza - unaendeleza usanii wako wa kuwasema sema vibaya Wahaya kwa kujifanya you know them better kuliko a back of your hand - maigizo tu.
Unaweza kueleza members ni Wilaya zipi za Mkoa wa Kagera uliwahi kuzitembelea - nani kakwambia Mkoa wa Kagera wakazi wake wote ni wa kabila moja tu la Kihaya f.y.i kuna Wanyambo, Wazinza, Wasubi, Waangaza na Wahaya kila Kabila lina tamaduni zao wanavyo ishi vijijini, ujenzi wa nyumba zao nk - wewe una wa-lump pamoja like salmon/Sardines in a can!! Alafu unakuja jamvini na kuwazuga watu eti unawajua vizuri Wahaya walivyo eti "wanashindwa kuendeleza kwao!"
Ebu twambie nyinyi kwenu Usukumani mnashi vipi vijini kwenu? ,je, kuna maendeleo yoyote to speak about kuanzia ujenzi wa nyumba za kuishi, maji mnayo kunywa pamoja na ng'ombe wenu, uharibifu wa mazingira - mmekata kata miti ovyo mmegeuza aridhi yenu kuwa jangwa alafu mnataka kwenda Mkoa wa Kagera wanao jua kutunza misitu ili muendeleza fyeja fyeja yenu, mnajali mifugo yenu kuliko binadamu na mazingira, nendeni kusini kwa Wamakonde mjifunze jinsi ya kujali mazingira na ujenzi wa nyumba zenye staha vijijini.
Mmekuwa kero kwa Wakulima wa Mikoa ya Mororogoro, Wilaya ya Rufiji, Katavi na Mikoa ya Kusini mnajifanyia lolote as if you own this Country kwa kuwatwanga risasi wakulima masikini wanapo lalamika mifugo yenu kula mazao yao shambani.
Pasco ebu tweleze nyinyi mmendeleza nini cha maana Usukumani i.e Wasukuma wamejenga viwanda vingapi vya maana Mwanza, shule ngapi, vyuo vya ufundi,Vyuo Vikuu- nani ambaye hajui viwanda karibu vyote vimejengwa na wageni i.e wazungu, Waarabu na Wahindi pamoja na Serikali sana sana nyinyi kama nyinyi mmefanya kitu gani cha kujivunia Mkoani kwenu mnaishia kwenye uvuvi wa dagaa, sangara na sato, kujenga guest houses na ma Bar na magari ya kubeba ya abiria, hata kivuko cha Busisi mpaka aje mzungu, je, huo ndio uwekezaji - Wahaya wana kitu gani cha kujifunza kutoka kwenu wakati mji wa Mwanza ume endelezwa na Serikali,Wageni na makabila mengine kabisa!
Pasco, soma tena para yako ya mwisho unaendeleza mipasho yako ya vijiweni wakati wewe ni msomi mwenye elimù ya Chuo Kikuu, ya nini kujiabisha mpaka ufikie hatua ya ku stoop so..., kuna haja gani ya wewe ku join band wagon ya ku-demonise WAHAYA as if Kabila hilo ni some monster kwani waliwahi kula binadamu gani dead or alive - tumechoshwa na kejeri zenu za kitoto - nyingi zakiwa ni za kizushi tu, nashauri kama baadhi ya members have nothing +ve 2 contribute ni vema wakikae kimya.
Nimalizie kwa kukupa ushauri wa bure Pasco - hili saula la kumzulia binadamu mwenzako kwamba una uhakika jina lake alisi ni Kakulu au Kato na madai mengine chungu mzima uliyo wahi kuandika jamvini siku za nyuma kumuhusu yeye - if I were you ningejirudi..
Sasa si ni serikali ya ccm?Mstari wa kwanza kwenye neno serikali imedumaza sema CCM kwa makusudi imeamua kuudumaza
MuongezeeUmempa za uso huyu mnafiki na mchumia tumbo. Safi sana.
leta hoja kwann mawzo yake si kweli? hivi uhayani kuna community bank ngapi? Tuanze kwanza hapo! Na kama zipo kwann hazipo top 5 Tanzania? Kwa masifa yoote mliyo nayo...!Siyo kweli mkuu kabisa naomba ufikilie upya
Mi ndo hoja yangu IPO inajadiliwa hapa sasa unataka nirudie Yale yaleleta hoja kwann mawzo yake si kweli?