simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,881
Iwee mnyamaanga unashida..[emoji16] [emoji16]Hahah "nshomile but no course" hatarudi tena kwa hizo data.

Hahah finally true colour yako imejionyesha,hahah. Asante kwa kujaIwee mnyamaanga unashida..[emoji16] [emoji16]
Kwani kwenda Moshi kunahitaji Visa?kuna alienyimwa kwenda Moshi?....tumia busara bana.ukabila haupo ni wajinga wachache ndio wanaochochea, wakazi wa mwanza ni kama wakazi wa Dar wamechanganyikana, tofauti na moshi 98% ni wachagga na ndio wanadhani kila mahali ni ukabila tu, wajinga sana.
Neno Dubai mlim quote vibaya mkuu, alimaanisha Dumila ya Morogoro [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ule mpango wa Bukoba kuipuku Dubai kwa miundombinu kufikia 2017 umeishia wapi?
Umempa za uso huyu mnafiki na mchumia tumbo. Safi sana.PASCO!
Umeanza tena tabia yako ya kuuma na kupuliza! Matatizo ya kweli yaliyo kuwa itemised na mwenzetu hakuna hata moja unalokubaliana nalo, kila item wewe ni "nyet nyet" kama Rais Yelstin anapenda penda sana kufurahisha baraza - unaendeleza usanii wako wa kuwasema sema vibaya Wahaya kwa kujifanya you know them better kuliko a back of your hand - maigizo tu.
Unaweza kueleza members ni Wilaya zipi za Mkoa wa Kagera uliwahi kuzitembelea - nani kakwambia Mkoa wa Kagera wakazi wake wote ni wa kabila moja tu la Kihaya f.y.i kuna Wanyambo, Wazinza, Wasubi, Waangaza na Wahaya kila Kabila lina tamaduni zao wanavyo ishi vijijini, ujenzi wa nyumba zao nk - wewe una walump pamoja like salmon/Sadine in a cans, alafu unakuja jamvini na kuwazuga watu eti unawajua vizuri Wahaya walivyo eti "wanashindwa kuendeleza kwao!"
Ebu twambie nyinyi kwenu Usukumani mnashi vipi vijini kwenu? ,je, kuna maendeleo yoyote to speak about kuanzia ujenzi wa nyumba za kuishi, maji mnayo kunywa pamoja na ng'ombe wenu uharibifu wa mazingira - mmekata kata miti ovyo mmegeuza aridhi yenu kuwa jangwa alafu mnataka kwenda Mkoa wa Kagera wanao jua kutunza misitu ili muendeleza fyeja fyeja yenu, mnajali mifugo yenu kuliko binadamu na mazingira, nendeni kusini kwa Wamakonde mjifunze jinsi ya kujali mazingira na ujenzi wa nyumba zenye staha vijijini.
Mmekuwa kero kwa Wakulima wa Mikoa ya Mororogoro, Wilaya ya Rufiji, Katavi na Mikoa ya Kusini mnajifanyia lolote as if you own this Country kwa kuwatwanga risasi wakulima masikini wanapo lalamika mifugo yenu kula mazao yao shambani.
Pasco ebu tweleze nyinyi mmendeleza nini cha maana Usukumani i.e Wasukuma wamejenga viwanda vingapi vya maana Mwanza, shule ngapi, vyuo vya ufundi,Vyuo Vikuu- nani ambaye hajui viwanda karibu vyote vimejengwa na wageni i.e wazungu, Waarabu na Wahindi pamoja na Serikali sana sana nyinyi kama nyinyi mmefanya kitu gani cha kujivunia Mkoani kwenu mnaishia kwenye uvuvi wa dagaa, sangara na sato, kujenga guest houses na ma Bar na magari ya kubeba ya abiria, hata kivuko cha Busisi mpaka aje mzungu, je, huo ndio uwekezaji - Wahaya wana kitu gani cha kujifunza kutoka kwenu wakati mji wa Mwanza ume endelezwa na Wageni na makabila mengine kabisa!
Pasco, soma tena para yako ya mwisho unaendeleza mipasho ya vijiweni wakati wewe ni msomi mwenye elimù ya Chuo Kikuu, ya nini kujiabisha mpaka ufikie hatua ya ku stoop so..., kuna haja gani ya wewe ku join band wagon ya ku-demonise WAHAYA as if Kabila hilo ni some monster kwani waliwahi kula binadamu gani dead or alive - tumechoshwa na kejeri zenu za kitoto - nyingi zakiwa ni za kizushi tu, nashauri kama baadhi ya members have nothing +ve 2 contribute ni vema wakikae kimya.
Nimalizie kwa kukupa ushauri wa bure Pasco - hili saula la kumzulia binadamu mwenzako kwamba una uhakika jina lake alisi ni Kakulu au Kato na madai mengine chungu mzima uliyo wahi kuandika jamvini siku za nyuma kumuhusu yeye - if I were you ningejirudi..
PASCO!

Mkuu, kila nikikutana na jina lako, namkumbuka Namajeje wa Buchanagandi!.PASCO!

Na yule anayehutubia kwa kisukuma vipi kama haonyeshi taswira yenu?Mkuu, kila nikikutana na jina lako, namkumbuka Namajeje wa Buchanagandi!.
Na wewe umeingia kwenye kundi lile lile la kuhamaki mnapoambiwa ukweli!. Kama Bukoba ni ya Wahaya, then mtu unafanya reference kwa Mhaya unayemjua na kiukweli nimebahatika kuwafahamu vizuri sana baada ya kumbahatikia dada yenu mmoja, hicho kidogo nilichoeleza ndio nimawastahi!, ningetoa ya ndani tungetafutana humu!, ila sisi wengine ni tuna wingi wa fadhila!, kwanza nimewakubali sana Wahaya kwa akili, na tangu primary niliwahi kuongoza darasa kwa somo la hesabu!, nikaja kupitwa na dada wa Kihaya!, just imagine ngosha anavyokuwa mdogo kama piriton, tangu hapo kwenye brain power, kwa Wahaya ni heshima, adabu. Ila pia kwa upande wa dada zetu, tukubali tukatae, kungekuwa na mashindano ya somo hilo, kiukweli ni mabingwa!.
Nikirudi kwetu Wasukuma, sisi ni masikini wa mali lakini matajiri wa roho!, hata waliosoma vipi, hatuchanganyi kilugha na Kisukuma kuashiria usomi, na tukija kwenye material things kiukweli nakiri tuko nyuma sana!, mtu ana ng'ombe 100!, wake 10, watoto ndio usiseme, lakini anaishi nyumba ya tope na nyasi!. Almasi babu zetu wamechezea bao!, wazungu wakatuletea gololi, tukabadilisha kwa almasi na tunafurahi!. Leo hii kanda inayoongozi kwa migodi ya dhahabu na almasi ni kwetu, angalia pato la eneo letu ulinganishe na umasikini wetu!, umasikini kwetu ndio jadi na wala hatulalamiki wala hatutatizwi na umasikini huo!, nimeridhika na umasikini wetu!.
Hili la Kato sio langu, limeletwa na mwenzio, na wewe sasa umetuongezea jina la Kakulu!, kanuni namba moja ya mwandishi wa habari kokote duniani ni "tell nothing but the truth", tukiongozwa na muongozo wa "the right to know", kuwa the public has the right to know all the truth kumhusu Kakulu Kato!, everything!. Waliondika zaidi kumhusu Nyerere ni wazungu kwa sababu nyakati hizo hatukuwa na waandishi wa kutosha!, nyakati hizi waandishi tupo, kuna haja ya kusubiri wazunge ndio waje watuandikie historia ya Kakulu Kato?!.
Pasco
Nafikiri tusijikite katika kutafuta udhaifu wa makabila ya wenzetu. Hatuwezi kufika mbali wala kuongeza kitu kwa kujadiri udhaifu wa makabila ya wenzetu. Yawezekana Wahaya wakawa na tamaduni zilizostaarabika labda kwa sababu ya ujio wa wamisionari mapema katika maeneo hayo. Na labda wepesi wa kuacha tamaduni mbaya na kuadapt tamaduni mpya zenye manufaa.Mkuu, kila nikikutana na jina lako, namkumbuka Namajeje wa Buchanagandi!.
Na wewe umeingia kwenye kundi lile lile la kuhamaki mnapoambiwa ukweli!. Kama Bukoba ni ya Wahaya, then mtu unafanya reference kwa Mhaya unayemjua na kiukweli nimebahatika kuwafahamu vizuri sana baada ya kumbahatikia dada yenu mmoja, hicho kidogo nilichoeleza ndio nimawastahi!, ningetoa ya ndani tungetafutana humu!, ila sisi wengine ni tuna wingi wa fadhila!, kwanza nimewakubali sana Wahaya kwa akili, na tangu primary niliwahi kuongoza darasa kwa somo la hesabu!, nikaja kupitwa na dada wa Kihaya!, just imagine ngosha anavyokuwa mdogo kama piriton, tangu hapo kwenye brain power, kwa Wahaya ni heshima, adabu. Ila pia kwa upande wa dada zetu, tukubali tukatae, kungekuwa na mashindano ya somo hilo, kiukweli ni mabingwa!.
Nikirudi kwetu Wasukuma, sisi ni masikini wa mali lakini matajiri wa roho!, hata waliosoma vipi, hatuchanganyi kilugha na Kisukuma kuashiria usomi, na tukija kwenye material things kiukweli nakiri tuko nyuma sana!, mtu ana ng'ombe 100!, wake 10, watoto ndio usiseme, lakini anaishi nyumba ya tope na nyasi!. Almasi babu zetu wamechezea bao!, wazungu wakatuletea gololi, tukabadilisha kwa almasi na tunafurahi!. Leo hii kanda inayoongozi kwa migodi ya dhahabu na almasi ni kwetu, angalia pato la eneo letu ulinganishe na umasikini wetu!, umasikini kwetu ndio jadi na wala hatulalamiki wala hatutatizwi na umasikini huo!, nimeridhika na umasikini wetu!.
Hili la Kato sio langu, limeletwa na mwenzio, na wewe sasa umetuongezea jina la Kakulu!, kanuni namba moja ya mwandishi wa habari kokote duniani ni "tell nothing but the truth", tukiongozwa na muongozo wa "the right to know", kuwa the public has the right to know all the truth kumhusu Kakulu Kato!, everything!. Waliondika zaidi kumhusu Nyerere ni wazungu kwa sababu nyakati hizo hatukuwa na waandishi wa kutosha!, nyakati hizi waandishi tupo, kuna haja ya kusubiri wazunge ndio waje watuandikie historia ya Kakulu Kato?!.
Pasco
Ni imposter tuu!.Na yule anayehutubia kwa kisukuma vipi kama haonyeshi taswira yenu?
No hatutafuti udhaifu wa kabila la mtu, bali kuelezea mazuri na mapungufu ya kabila husika!.Nafikiri tusijikite katika kutafuta udhaifu wa makabila ya wenzetu. Hatuwezi kufika mbali wala kuongeza kitu kwa kujadiri udhaifu wa makabila ya wenzetu. Yawezekana Wahaya wakawa na tamaduni zilizostaarabika labda kwa sababu ya ujio wa wamisionari mapema katika maeneo hayo. Na labda wepesi wa kuacha tamaduni mbaya na kuadapt tamaduni mpya zenye manufaa.
Kusema kwamba Wahaya wanatumia kilugha kuonyesha usomi wao ni kweli hilo lipo na si Wahaya tu. Angalia kiongozi mwenye hadhi ya juu kuliko viongozi wote katika nchi, anahutubia kwa kilugha. Hivi ni sahihi kwa kiongozi mkubwa namna ile kutumia kilugha kuweka msisitizo?
Siamini kama kweli anapretend. Binafsi najua watu wana tabia hiyo ya kucjanganya vilugha na kiswahili.Ni imposter tuu!.
P.
Pasco ni kweli umezungumzia madhaifu na nguvu ya makabila husika.No hatutafuti udhaifu wa kabila la mtu, bali kuelezea mazuri na mapungufu ya kabila husika!.
Nimeyaeleza mazuri yao ikiwemo akili na ubingwa wa dada zao!. Madhaifu yao ni kujisikia sana na kujiona bora zaidi!.
Nikajielezea uzuri wetu, ni matajiri wa roho na masikini wa mali!. Madhaifu yetu ni kupenda kupindukia, kuhonga sana, wanawake wengi, ushamba wa kupindukia na maendeleo duni!.
Hoja yako ya tamaduni zetu za asili ni tamaduni mbaya, sikubaliani nayo!, wamisionari wazungu ndio ndio wametuletea tamaduni zao za kuzungu kwa kusingizia dini!. Moja ya tamaduni zetu za asili, ni mtu kuwa na wanawake wengi!, wazungu wakatuletea dini ya mume mmoja mke mmoja!, hakuna popote Mungu amesema mume mmoja mke mmoja!. Wasukuma wengi wenye damu ya asili, hili limekuwa gumu sana kwetu, hivyo sisi wengine tunaoamini wazungu ni waongo, tunafuata dini kwa kuchagua the good from both, mke mmoja wa kanisani, na wamama wadogo kadhaa kumsaidia!.
Pasco