Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Dhambi ya ukwetu na ukanda ni mbaya sana.Kila mkoa una matatizo yake.Kama kila kabila litaanza kudai maendeleo kwa kigezo cha ukabila ni hatari.Sote ni Watanzania...dai maendeleo hapo ulipo hatimaye Tanzania nzima itakuwa imeendelea.Naamini kuna mikoa hujawahi kufika.Ungeijua Tanzania vizuri husingeandika hayo uliyoandika.
 
Dhambi ya ukwetu na ukanda ni mbaya sana.Kila mkoa una matatizo yake.Kama kila kabila litaanza kudai maendeleo kwa kigezo cha ukabila ni hatari.Sote ni Watanzania...dai maendeleo hapo ulipo hatimaye Tanzania nzima itakuwa imeendelea.Naamini kuna mikoa hujawahi kufika.Ungeijua Tanzania vizuri husingeandika hayo uliyoandika.
ukabila haupo ni wajinga wachache ndio wanaochochea, wakazi wa mwanza ni kama wakazi wa Dar wamechanganyikana, tofauti na moshi 98% ni wachagga na ndio wanadhani kila mahali ni ukabila tu, wajinga sana.
 
Hasa miundombinu kama barabara, leo hii barabara ni lami toka Rwanda hadi Bukoba, Shinyanga hadi Bikoba, Mwanza hadi Bukoba, Uganda hadi Bukoba, airport ni lami pia, na bandari ipo, hizo ni hatua nzuri kwa kuanza kuimarisha uchumi wenu, hebu tujifunze toka Mbeya ambako kunafanana sana na Kagera
Umeielewa sana post yangu? Background ya matatizo ya mbeya na kagera ni tofauti
Mbeya kuliwahi kutwishwa mzigo wa vita wa taifa zima?
Mbeya kuliwahi kuwa kimbilio la wakimbizi tena ambao wamekuja na silaha Kali? Na kuanza uporaji? Mbeya iliwahi kukandamizwa na serikali kama ambavyo kagera wanakandamizwa? Najiuliza vipi mwaka 1963 makatibu wakuu wahaya 24 waliopigwa chini wakabaki watatu makusudi?

Hapa ni makosa yalifanyika inabidu ukweli tuukubali kabisa.
 
Dhambi ya ukwetu na ukanda ni mbaya sana.Kila mkoa una matatizo yake.Kama kila kabila litaanza kudai maendeleo kwa kigezo cha ukabila ni hatari.Sote ni Watanzania...dai maendeleo hapo ulipo hatimaye Tanzania nzima itakuwa imeendelea.Naamini kuna mikoa hujawahi kufika.Ungeijua Tanzania vizuri husingeandika hayo uliyoandika.
Najua ulichomaanisha ila mi nakumbushia OMUMAJUNGUTI INTERNATIONAL AIRPORT, Nakumbushia kwanini hakuna mikakati ya kuendeleza mkoa kagera, kwanini hakuna uwekezaji wa serikali, AU BADO MNABALANCE EQUATION KWA KUWAVUTA CHINI WAHAYA LABDA
 
ukabila haupo ni wajinga wachache ndio wanaochochea, wakazi wa mwanza ni kama wakazi wa Dar wamechanganyikana, tofauti na moshi 98% ni wachagga na ndio wanadhani kila mahali ni ukabila tu, wajinga sana.
Mbona unachomekea kwa wachaga, lakin mi nakumbushia uwanja wa ndege wa OMUKAJUNGUTI
 
Hii post inabua hisia kali ndani ya wahusika, na sasa natambua kwa nini Nyerere alizuia ukabila. Maana hapana lazima chuki ijengeke tu.
 
wahaya shida yao mabadiliko sio maendeleo, ndio maana wakampigania Rwakatare, hao wanaolilia maendeleo ni vihelehele vyao tu,
Mbona vipindi viwili Rwakatare hakuwa mbunge?
 
Umesema kweli ndio maana lowasa alihama Hai akahamia umasaini akajifanya mmasai ili aweze kusomeshwa bure. Nanyie hamieni Geita mkapewe magwangala.

..mangwangala sitaki yana kemikali zenye madhara kwa binadamu.

..ila sasa natangulia kwenda Dodoma kuchukua fursa.
 
Najiuliza vipi mwaka 1963 makatibu wakuu wahaya 24 waliopigwa chini wakabaki watatu makusudi?

  1. Ngoja watusaidie wenzetu, lakini nadhani miji mingi iliathiriwa na vita ya Kagera idirectly japo impact yake haiwezi kufanana, kama wanakagera wenye utajiri mkubwa wanaowekeza Dsm eg ile plant ya kuzalisha umeme iliyokuwa gumzo ingekuwa na pacha wake Kagera, na serikali ikafanya vile inavyoweza huenda kagera ingefanana na miji mingine tunayoitolea mfano,
  2. Unaweza kuona kuna makabila hayakuwa na makatibu wakuu kabisa lakini wao kama kabila walijipanga,
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana sana ila umeharibu sana kitu kimoja, kuutaja mkoa wa Kagera. Ukiutaja mkoa huu utashambuliwa na hata yule asiye na meno. Yawezekana tulipata bahati mbaya kuwa watanzania, naamini huu mkoa ungekuwa Uganda ingekuwa ni jambo jema zaidi kuliko ilivyo leo, ubaguzi ni mkubwa sana hapa Tz dhidi ya mkoa huu.i
2.1 Historical Background
2.1.1 Good Old Days
On independence in December 1961 Kagera region ranked one of the top educated and economically strong regions in Tanzania. There are 30 administrative regions in Tanzania mainland. Because of its conducive climatic conditions and its geographical location, the region enjoyed early settlements of Europeans, especially missionaries who among other things brought Christianity and western civilization with them. Easy and direct accessibility to neighbouring countries, Uganda in particular, was another factor which contributed to the regions progressive socio-economic development. Also, coffee - the region’s main cash crop - flourished well in the then world market prices. On top of that, the region’s source of staple-food - the banana tree - thrived well and contributed significantly to the food security and stability of the region.
2.1.2 The U-Turn
Whether our easy and direct contact with other countries is an advantage is a paradox. Because of it the region has suffered a number of tragic events, reversing the steady and stable trend of our development course. This together with other social-economic factors are summarized below.
Ø The War With Uganda 0f 1978-1979
Twice during dictator Idi Amin’s regime in Uganda our territorial integrity was violated. The war claimed over 40,000 lives and left thousands of orphans helpless. This was the beginning of the orphan crisis in our region and Tanzania as a whole.
Ø The Advent of AIDS in 1982
The period between 1978 and 1983 saw the flourishing of black-market and smuggling across the border of Tanzania and Uganda. Lukunya - a place at the border between Rakai and Bukoba Districts in Uganda and Tanzania respectively was the most active open market centre. It is in Rakai where the AIDS epidemic in East Arica and probably in Africa as a whole is thought to have originated. Its main direction vector being from north to south along the western shore of Lake Victoria. This means the people of Bukoba District were the first recipients of the disease in Tanzania. In fact, the first victim of AIDS in our country was indentified at Ndolage hospital in Kagera Region in 1983. This was another major source of orphans of all the time in the region.
Ø The Rwandese Genocide Refugee Problem of 1994
In 1994 another barbaric killer was born at the west of our region - The Rwandese Genocide. The destruction caused by these refugees to our people and the environment will take many years to rectify.
● They have killed our people and caused the number of orphans to increase.
● In search of fuel and shelter they have cut every tree in their reach and contributed to environmental degradation.
● They have caused internal migration of our citizens, causing loss of property, famine and social insecurity.
● They have hijacked vehicles for want of money, and they have become agents of illicit business of firearms.
Ø The May 1996 MV Bukoba Tragedy
In May 1996, MV Bukoba (plying between Bukoba and Mwanza ports) with around 800 passengers on board, capsized and sunk in Lake Victoria. Over 700 people lost their lives,(the worst tragedy ever in the history of independent Tanzania.) Virtually, all victims were natives of Kagera Region and Bukoba District in particular.
Ø El-Niño Floods of 1998
Kagera is one of the regions which were adversely affected by the El-Niño rains of 1998. Many people, especially in Kagera river basin, were killed, infrastructure were destroyed, crops were flooded and mosquito breeding places were multiplied, resulting in more deaths from malaria and other waterborne diseases.
Ø Food Shortage
For the past three decades the region has seen acute shortage of food due to a decline in the production of our age-old staple food, bananas, caused by infestation of banana trees by pests.
 
Walioteklekeza Kagera ni wana Kagera wenyewe.Watu wa Kagera popote wanapokuwa ndio kwake kafika hana mpango wa kagera wala nini kama wachaga.Kagera wanaenda tu sana sana labda mtu akifariki wanaenda kuzika au kuhani msiba! Kagera kuna wasomi na wenye pesa wamezagaa dunia nzima lakini hawana makazi ya kudumu bukoba na hawana mpango wa kuhamia kukaa kule au kufanya uwekezaji mkubwa kule.

Kila mtu wa kagera anayefanikiwa SANA anachofanya ni kutimukia DAR ES SALAAM ,MIKOA MINGINE.Marekani ,ULAYA NK

Kagera kulitakiwa kuwe na vyuo vikuu kibao.Maprofesa wastaafu wako weengi mno kule wangeanzisha mavyuo kibao walimu wakawa wenyewe na washomile wengine ambao wako every where in the world including UNITED NATIONS and other important UN agencies and ICC.

Kwa watu wa kagera kusubiri serikali ifanye mambo makubwa ni too low na ni aibu.

Sikupendagi lakini nimekupa like, hujaandika uongo, its all true
 
Hahaaa, achen ukabila japo inawezekana aliye anzisha mjadala siyo mwenyeji wa pale... Hii ni kasi ya ajabu, siulizwi, sihojiwi wala sijairibiwi! .... usafiri wa kwa maendeleo ya Chato,,, oooh zitakuwa za wageni wa na mtukufu mwenyewe.... ilianza kusini ikaja ukanda wa pwani hadi mpango wa gesi huko bwagamoy, uwanja wa ndege huko bwagamoy..., bandari kubwa huko bwagamoy..., ndoto za viwanda na mji wa kisasa huko bwagamoy... sasa chat... wapi tena baada ya 2020!!?
 
Hapana mkuu jangwani hapatanisaidia lakin kagera Imetelekezwa sana
Ebu toa boriti kwenye jicho lako. Hao watanzania waliozaliwa huko Bukoba na kupata elimu baadaye utumishi ama kujishughulisha na shughuli yingine za kiuchumi, wamewekeza asilimia ngapi ya 'ukwasi'/thamani ya utajiri wao huko walikozaliwa? Ukifanya utafiti juu ya hili. Hutakuja kulalamikia namna hii. Kuna baadhi walichokifanya ni kujenga majumba makubwa huko vijijini kwao na kisha kuwaacha wazee na ndugu zao wasio jiweza basi. Hawakuwekeza shughuli za kiuchumi!!!
 
Hahaaa, achen ukabila japo inawezekana aliye anzisha mjadala siyo mwenyeji wa pale... Hii ni kasi ya ajabu, siulizwi, sihojiwi wala sijairibiwi! .... usafiri wa kwa maendeleo ya Chato,,, oooh zitakuwa za wageni wa na mtukufu mwenyewe.... ilianza kusini ikaja ukanda wa pwani hadi mpango wa gesi huko bwagamoy, uwanja wa ndege huko bwagamoy..., bandari kubwa huko bwagamoy..., ndoto za viwanda na mji wa kisasa huko bwagamoy... sasa chat... wapi tena baada ya 2020!!?
Hayo ndo tunayakataa kwasababu yanasababisha umasikini kwa baadhi ya maeneo
 
Wahaya walimpigia kura nyingi....tofauti na Bob mjini...hivyo acha waisome....labda rugemalira,ruhangisa tibaijuka,kilaini wale wa ESCROOOO..WATAIJENGA UWANJA

Soma alicho andika Rweye - yanarudi yale yale!!!
 
Kwani wao wakiumizwa hawana haki ya kulalamika?
Sikuwahi kusikia malalamiko yao karibu awamu zote, zaidi ya ubora, usomi na utajiri wa mali na utamaduni walio nao watu wa Bukoba...
Ndio maana nashangaa!
 
Sikuwahi kusikia malalamiko yao karibu awamu zote, zaidi ya ubora, usomi na utajiri wa mali na utamaduni walio nao watu wa Bukoba...
Ndio maana nashangaa!
Hapana kuna mwendelezo wa kuwadidimiza wahaya kila awamu
 
Back
Top Bottom