Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Mkuu umeongea jambo la msingi sana sana ila umeharibu sana kitu kimoja, kuutaja mkoa wa Kagera. Ukiutaja mkoa huu utashambuliwa na hata yule asiye na meno. Yawezekana tulipata bahati mbaya kuwa watanzania, naamini huu mkoa ungekuwa Uganda ingekuwa ni jambo jema zaidi kuliko ilivyo leo, ubaguzi ni mkubwa sana hapa Tz dhidi ya mkoa huu.i
 
Wahaya walimpigia kura nyingi....tofauti na Bob mjini...hivyo acha waisome....labda rugemalira,ruhangisa tibaijuka,kilaini wale wa ESCROOOO..WATAIJENGA UWANJA
 
Bukaoba ina uwanja wandege, ina uwanja wa mpira, barabara zote za kuingia bukoba ni za lami, umeme upo wa uhakika wa kutoka uganda, mbunge mmepewa Rwakatare mliyempigania kwa muda mrefu, sasa munataka maendeleo gani JPM awapatie hebu funguka.

Geita barabara ni za vumbi, hamna umeme wa uhakika, hakuna maji, hakuna uwanja wa mpira, mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna hata kiwanda cha soda, sasa JPM anataka anagalau kuweka usawa wa kiuchumi mnaanza makelele.

Kwani Chato ni mkoa?????????????????
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana sana ila umeharibu sana kitu kimoja, kuutaja mkoa wa Kagera. Ukiutaja mkoa huu utashambuliwa na hata yule asiye na meno. Yawezekana tulipata bahati mbaya kuwa watanzania, naamini huu mkoa ungekuwa Uganda ingekuwa ni jambo jema zaidi kuliko ilivyo leo, ubaguzi ni mkubwa sana hapa Tz dhidi ya mkoa huu.i
ngeenda uganda bahati mbaya Idd Amin alishakufa
 
..kama mkoa uliozaliwa "unanyimwa" maendeleo hamia ktk mikoa "inayopendelewa."

..kuna kipindi Mwalimu Nyerere alianzisha mpango wa quota system ktk nafasi za masomo ya sekondari.

..mikoa fulani iliremshiwa pass mark za kwenda sekondari, huku mikoa mingine ikiwekewa ugumu zaidi.

..wazazi toka mikoa ile ambayo Mwalimu aliamua "kuibinya" ktk kufaulu kwenda sekondari wakawa wanahamisha watoto wao, wanabadili hata majina, na kwenda kusoma darasa la 7 kwenye mikoa iliyokuwa "ikipendelewa."

..KAMA MKOA WAKO UNANYIMWA MAENDELEO HAMIA MKOA UNAOPENDELEWA.
Umesema kweli ndio maana lowasa alihama Hai akahamia umasaini akajifanya mmasai ili aweze kusomeshwa bure. Nanyie hamieni Geita mkapewe magwangala.
 
Ni kweli mkoa wa kagera ni kama umetengwa kagera kuna kila kitu kizuri aridhi yenye lutuba, hali ya hewa nzuri, umeme wa uhakika, na watu wake wameelimika sana, na katika dini wapo vizuri (kuna wakati makanisa makubwa hapa TZ yaani RC na KKKT kwa wakati mmoja yoote yalikuwa yanaongozwa na wahaya)Rugambwa na Dr Mushemba, lkn cha kushangaza ulianzishwa mchakato wa kumtangaza kiongozi wa kisiasa kuwa mwenyeheri akaachwa karidinali wa kwanza mwausi........
 
wahaya shida yao mabadiliko sio maendeleo, ndio maana wakampigania Rwakatare, hao wanaolilia maendeleo ni vihelehele vyao tu,
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana sana ila umeharibu sana kitu kimoja, kuutaja mkoa wa Kagera. Ukiutaja mkoa huu utashambuliwa na hata yule asiye na meno. Yawezekana tulipata bahati mbaya kuwa watanzania, naamini huu mkoa ungekuwa Uganda ingekuwa ni jambo jema zaidi kuliko ilivyo leo, ubaguzi ni mkubwa sana hapa Tz dhidi ya mkoa huu.i
Umeona hee
 
Walioteklekeza Kagera ni wana Kagera wenyewe.Watu wa Kagera popote wanapokuwa ndio kwake kafika hana mpango wa kagera wala nini kama wachaga.Kagera wanaenda tu sana sana labda mtu akifariki wanaenda kuzika au kuhani msiba! Kagera kuna wasomi na wenye pesa wamezagaa dunia nzima lakini hawana makazi ya kudumu bukoba na hawana mpango wa kuhamia kukaa kule au kufanya uwekezaji mkubwa kule.

Kila mtu wa kagera anayefanikiwa SANA anachofanya ni kutimukia DAR ES SALAAM ,MIKOA MINGINE.Marekani ,ULAYA NK

Kagera kulitakiwa kuwe na vyuo vikuu kibao.Maprofesa wastaafu wako weengi mno kule wangeanzisha mavyuo kibao walimu wakawa wenyewe na washomile wengine ambao wako every where in the world including UNITED NATIONS and other important UN agencies and ICC.

Kwa watu wa kagera kusubiri serikali ifanye mambo makubwa ni too low na ni aibu.
Ukweli
 
Haya haya, naona ule msemo wa 'ukabila' umepiga hodi rasmi!
Ngoja tuwe na subira maana alivyopata waziri wa ujenzi alianza na barabara ya kwake (Bwanga - Kyamorwa) ambayo kimsingi hata kwenye ramani ya barabara za nchi haikuwemo. Lakini tunaona miaka takribani 10 aliyokaa wizara hiyo kila mkoa/wilaya inajivunia kuwa na barabara za kisasa. Acha tuone miaka mitano akiwa ikulu kira tarafa yaweza kuwa na airport!
Nimewaambia asubuhi Uzi wangu ukaondolewa hapa
 
Kujenga nchi kunahitaji support ya serikali

Hasa miundombinu kama barabara, leo hii barabara ni lami toka Rwanda hadi Bukoba, Shinyanga hadi Bukoba, Mwanza hadi Bukoba, Uganda hadi Bukoba, airport ni lami pia, na bandari ipo, hizo ni hatua nzuri kwa kuanza kuimarisha uchumi katika eneo husika, hebu tujifunze toka Mbeya ambako kunafanana sana na Kagera
 
Back
Top Bottom