Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Wahaya siku hizi hamna tofauti na wazaramo,tararira nyingi sana...wacha muisome namba
Wahaya siku hizi hamna tofauti na wazaramo,tararira nyingi sana...wacha muisome namba
Wahaya siku hizi hamna tofauti na wazaramo,tararira nyingi sana...wacha muisome namba
Acha kuugeuza mdomo wako kiatu. Na usikitumie kichwa chako pambo la kufugia nywele
 
Acha kuugeuza mdomo wako kiatu. Na usikitumie kichwa chako pambo la kufugia nywele
Ndio umecomment nn ss?mkiambiwa mmekuwa kama wazaramo mnapanic! shame on you!!!!
 
Bukaoba ina uwanja wandege, ina uwanja wa mpira, barabara zote za kuingia bukoba ni za lami, umeme upo wa uhakika wa kutoka uganda, mbunge mmepewa Rwakatare mliyempigania kwa muda mrefu, sasa munataka maendeleo gani JPM awapatie hebu funguka.

Geita barabara ni za vumbi, hamna umeme wa uhakika, hakuna maji, hakuna uwanja wa mpira, mkoa pekee hapa Tanzania ambao hauna hata kiwanda cha soda, sasa JPM anataka anagalau kuweka usawa wa kiuchumi mnaanza makelele.
Bora hata wewe mkuu unalitambua hilo, huku Geita Bado tunakula vumbi sana.
 
Bora hata wewe mkuu unalitambua hilo, huku Geita Bado tunakula vumbi sana.
Ni kweli kaka, hakuna barabara yenye vumbi la kufa mtu kama barabara ya Kahama Geita, hakuna barabara mbovu kama ya Geita Msalala, Tizama barabara ya Geita Nkome hadi Nyehunge, mji pekee landrova 109 zinabeba abiria. Halafu Rais anataka kuleta usawa wa kimaendeleo mwano kibao, haiwezekani. Pension zetu bil 200 zimetumika kujenga daraja la kigamboni ambalo hata magari hayapiti, halafu tunataka kuwekewa uwanja wa ndege watu wanabweka, shenzi sana.
 
Story za uongo hakuna chief mchaga aache kuwaza chenji aende UN mwaka gan huo?
Ni kweli mangi mkuu wa wachagga chief Thomas Marreale alitumwa na wachagga UN kudai Uhuru wa wachagga.Mkuu rudi maktaba habari hii ipo.ni historia ya kujivunia kwa wapenda maendeleo wote.kama kuna MTU anachuki,hali itabaki hivyo na hakuna mwenye uwezo wa kubadili hili.(history can't be reversed). sorry!
 
Mwaka jana kipindi cha uchaguzi wakat nasafari zngu to Rwanda nilipita Kagera amna mkoa ulinichukiza kama huo yan bendera za CCM picha mpaka kwenye vinyumba vya udongo porini huko,
ukiwafanyia "[emoji111] Mabadilikoo" wanakutazama tu hata hawakuelewi..
Acha muisome namba sasa
 
Ni kweli kaka, hakuna barabara yenye vumbi la kufa mtu kama barabara ya Kahama Geita, hakuna barabara mbovu kama ya Geita Msalala, Tizama barabara ya Geita Nkome hadi Nyehunge, mji pekee landrova 109 zinabeba abiria. Halafu Rais anataka kuleta usawa wa kimaendeleo mwano kibao, haiwezekani. Pension zetu bil 200 zimetumika kujenga daraja la kigamboni ambalo hata magari hayapiti, halafu tunataka kuwekewa uwanja wa ndege watu wanabweka, shenzi sana.

Mwaka huu wataongea sana, JPM piga kazi Rais wetu.
 
Ni kweli mangi mkuu wa wachagga chief Thomas Marreale alitumwa na wachagga UN kudai Uhuru wa wachagga.Mkuu rudi maktaba habari hii ipo.ni historia ya kujivunia kwa wapenda maendeleo wote.kama kuna MTU anachuki,hali itabaki hivyo na hakuna mwenye uwezo wa kubadili hili.(history can't be reversed). sorry!
chifu marrealle ndio alikuwa mwenyekiti wa mwisho wa baraza la machifu wa tanganyika, katibu wake akiwa chifu mrisho wa wakwere na makamu wake akiwa chifu masanja wa Nkwimba ndio waliokataa kuwa Tanganyika haijawa Tayari kupata uhuru, chief Marrealle alitumwa kwenda kupinga hoja ya Nyerere kupewa uhuru, ndio waziri wa makoloni akatumwa na malkia kuja kutanzua huo mgogoro.
 
Kimeanzishwa na taasisi binafsi ila serikali ikakiendeleza
Sikatai ila unadhani chuo cha tangu mwaka 1963 kama kingeeendelea kuwa chini ya Ushirika na serikali isingevunja KNCU kingeshindwa kuwa kilipo au hata zaidi ya hapa kilipo? Au unavutia kwako tu na madai ya nyuzi hii!? Kiukweli watu wa Kagera mnatia aibu maana kiuwezo mpo juu ila mnasahau kwenu na kwa sasa kupiga kelele ati kumesahaulika mmekosa mshiko haswa ukizingatia kuna uwanja wa ndege mpya na barabara za lami zimefika nzuri na hata teuzi za mkuu hazijawasahau kwahiyo sioni mantiki la hii nyuzi!

Magufuli ana mapungufu yake kama kwenda kujijengea uwanja Chato km chini ya 130 toka Mwanza ila si hili kwamba mnabaguliwa hata kipindi cha Kikwete teuzi zake hazikuwatenga kiukweli mlifaidika! Pitia na angalia safu ya uongozi kipindi cha Kikwete na sasa! Jengeni chuo chenu cha maana sahauni serikali kuja kuwajengea! Tumieni taasisi za dini kama sehemu nyingine zilizofanikiwa kwa kushirikiana na taasisi za dini na za binafsi kama Iringa, Moshi, Dodoma, Songea, Mara, Mtwara, Morogoro, Arusha na Mbeya! Serikali sanasana itawaletea VETA. Tena mipango ya serikali ni kujenga chuo cha kumbukumbu ya Mwl nyerere Butiama kabla ya chochote kile. na mimi nashauri wakitoka hapo waende Mtwara wakajenge Energy and Petroleum Institute maana hilo lina uzito zaidi
 
Nijuavyo mimi mpango wa kujenga OIA uko pale pale. Ni sehemu ya ujenzi wa reli std-g kupitia Kigali, Bujumbura, Kivu/Kalemie, Kabale, Biharamulo, Ngara (Nickel mining) na Bukoba.
 
nami nichangie kidogo
tatizo lilianza pae awamu ya kwanza ilpotaka kuweka usawa kwa mikoa yote, yaani siasa ya ujamaa, ilibidi miundo mbinu ya maendeleo iuliwe ili kuleta usawa
 
Sikatai ila unadhani chuo cha tangu mwaka 1963 kama kingeeendelea kuwa chini ya Ushirika na serikali isingevunja KNCU kingeshindwa kuwa kilipo au hata zaidi ya hapa kilipo? Au unavutia kwako tu na madai ya nyuzi hii!? Kiukweli watu wa Kagera mnatia aibu maana kiuwezo mpo juu ila mnasahau kwenu na kwa sasa kupiga kelele ati kumesahaulika mmekosa mshiko haswa ukizingatia kuna uwanja wa ndege mpya na barabara za lami zimefika nzuri na hata teuzi za mkuu hazijawasahau kwahiyo sioni mantiki la hii nyuzi!

Magufuli ana mapungufu yake kama kwenda kujijengea uwanja Chato km chini ya 130 toka Mwanza ila si hili kwamba mnabaguliwa hata kipindi cha Kikwete teuzi zake hazikuwatenga kiukweli mlifaidika! Pitia na angalia safu ya uongozi kipindi cha Kikwete na sasa! Jengeni chuo chenu cha maana sahauni serikali kuja kuwajengea! Tumieni taasisi za dini kama sehemu nyingine zilizofanikiwa Iringa, Moshi, Dodoma, Mtwara, Morogoro, Arusha na Mbeya! Serikali sanasana itawaletea VETA. Tena mipango ya serikali ni kujenga chuo cha kumbukumbu ya Mwl nyerere Butiama kabla ya chochote kile. na mimi nashauri wakitoka hapo waende Mtwara wakajenge Energy and Petroleum Institute maana hilo lina uzito zaidi

Wahaya hawana kitu kichwani walikuwa wanabebwa na wakimbizi wa kinyarwanda, baada ya kagame kuchukua nchi walirudi Rwanda wote, wakabaki abashuti tu, hamna kitu kichwani, vichwa kama Sir George Kahama, Dr.Kyaruzi zilikuwa product za kinyarwanda (Tutsi/Hima/Nyankole) sasa hivi hamna tena wamebaki waendesha bodaboda tu.
 
mfumo wa siasa ya ujamaa ulifanikiwa mikoa mingine lakini umeidumaza Kagera kwa kiwango kikubwa sana, kwa ujamaa wa Nyerere kama ilivyo kama ilyo mwiko MTU kuwa tajiri ni vivyo hivyo mkoa kuwa tajiri
 
Nijuavyo mimi mpango wa kujenga OIA uko pale pale. Ni sehemu ya ujenzi wa reli std-g kupitia Kigali, Bujumbura, Kivu/Kalemie, Kabale, Biharamulo, Ngara (Nickel mining) na Bukoba.
utangoja sana baba Magu kakomba fedha kapeleka Chato! Watu wa Kagera mnapiga kelele sijui wale wa Songea waseme nn?
 
Back
Top Bottom