Ni mnyambo sio mhaya,Prof. Rwekaza Mukandala nae anahusika kwenye njama hizi? Maana anaongoza taasisi kubwa na yenye ushawishi Serikalini.
Ni mnyambo sio mhaya,Prof. Rwekaza Mukandala nae anahusika kwenye njama hizi? Maana anaongoza taasisi kubwa na yenye ushawishi Serikalini.
hakijafungiwa kimekosa wanafunzi wahaya hawataki kusoma wanaendesha bodaboda na kuajiriwa Red Brigade na kamanda Rwakatare.Josiah kibira university college ilikuwa inaenda vizuri eti imefungiwa, hivi stemuco , teku, Na vingine kama SAUTI SINGIDA kuna chuo kilichokuwa kinafika jocuco
Profesa Rwekaza Mukandara ni Mhaya wa Kajunguti tena tuko naye katika Kamati ya Maendeleo ya Wilaya ya Missenyi, usipende kusema vitu usivyovijuaNi mnyambo sio mhaya,
Nani aliiendeleza dar, ni wazaramo? nani anaiendeleza Dom, ni wagogo? nani anaiendeleza mtwara, ni wamakonde? nani anaiendeleza Arusha, ni wameru?
Bukoba hatuna chuo kikubwa cha serikali, Bukoba hakuna hadhi ya kuitwa manispaa mji umechoka sana hakuna juhudi za serikali za kuuendeleza kama miji mingine
Bukoba imekuwa kisiwa Biashara imekuwa hatari sana hakuna namna ya kufanya na wenzetu
Academicians wafanye nini sasa? Atajenga nyumba nzuri, atasomesha ndg hata majirani, lkn atawekeza nini? Wapo Dar na kwingineko wakifundisha. Wameanzisha shule, na vyuo (Askofu Kiraini kwa SAUT Bukoba ilianzishwa kwa juhudi zake). Academicians watajenga viwanda au watafanyaje. Nimeona wameunda kamati ya maendeleo ya Bukoba/Missenyi ila kwa sasa wanajenga maabara katika shule za kata kwanza. Hata huko Kilimanjaro mnakokusifia hakukuendelezwa na wachagga bali ni juhudi za Mawaziri wa Fedha na Mzee Msuya kutumia nafasi ya yeye kuwa Waziri wa Fedha na baadae Waziri Mkuu.Watu wa kagera wamesambaa dunia nzima.Wangetumia kusambaa huko kuvutia wawekezaji wa nje wawekeze kagera kama wenyeji hawawezi.Kama mkoa pia kupitia wenyeji wajitahidi kuvutia wawekezaji wazawa wa mikoa mingine watamani kuwekeza Bukoba.Usomi wao kama hauwezi weza hata vutia wawekezaji kwenye mkoa tu ni usomi gani huo?
Kagera inaongoza kwa wasomi wengi wa elimu za kiwango cha PHD Tanzania wakifuatiwa na kilimanjaro.Lakini wasomi wa Kagera hawajaonyesha umahiri wao katika kuindeleza kagera.
***Toeni raisi na nyie mpate advantages
Serikali ya Mhs Rais Nyerere (Mrm) ya CCM kwa makusudi au kwa woga iliamua kudumaza mkoa wa Kagera.Bukoba hatuna chuo kikubwa cha serikali, Bukoba hakuna hadhi ya kuitwa manispaa mji umechoka sana hakuna juhudi za serikali za kuuendeleza kama miji mingine
Bukoba imekuwa kisiwa Biashara imekuwa hatari sana hakuna namna ya kufanya na wenzetu
Wote hawaelewi mambo kama haya wanaongea tu , sasa umemueleza vyema, mi nahisi kuna haja ya kuanzisha Bukoba diaspora, kuanzia America, ulaya , Asia ma Africa , kuja na mkakati LET MAKE BUKOBA GREAT AGAIN
Nilifanya kazi world Vision bukoba kwa miaka 3 daah wale jamaa ofisini kuanzia mfanya usafi,mlinzi, staffs wanapiga lugha yao ile ya "iwe bojo", wengine tusio wahaya ni shida tupu. Afu hao jamaa hawanaga aibu kumsengenya mtu huku wamekaa nae hapo hapo ni kawaida yao kabisaa wala hawana shida khs hilo. Njoo kwenye ngono sasa aise mpk unashangaa hivi hawa jamaa huku hawajuagi kama kuna magonjwa au?Samahani mkuu, sidhani kama kuna mkoa wenye watu wabaguzi kama mkoa wa Kagera. Wao wanaona fahari kubagua wengine lakini wakiona wanabaguliwa wanalalamika. Kagera mpaka stendi wapiga debe wanauga debe kihaya tena stendi ya mkoa. Kila sehemu ukiingia ni kihaya, ukiwa na lafudhi tofauti na kihaya unapandishiwa gharama ya vitu madukani na hata bodaboda/sekido. Ukiwa Kagera huwezi kutofautisha mjini na kijijini.Mnaweza kuwa makabila mawili au matatu bado jamaa wakaendelea kuchapa kilugha chao bila kujali,mbaya zaidi wakijua kuwa husikii kihaya watakusema mpaka basi. Kwa ubaguzi badilikeni. Kuhusu maendeleo wilaya zenu zote zimeunganishwa kwa lami, mna maji,mna uwanja wa ndege mzuri tu.
Asee Mkuu acha uongo, Mtwara pako poa kabisa wala hawana shida na mtu wale watu, hivi ulishalajiuliza ni kwanini rate ya wafanyakazi kuacha kazi au kuomba transfer kutoka huko Kagera ni kubwa kuliko hapo Mtwara unakosema? Wkt Mtwara palikuaga choka mbovu kuliko huko Kagera. Acheni Ubaguzi aisee.Wewe unaonekana hutembei upo labda Dar au wapi sijui. Ngoja nikwambie Mimi nilikwenda kufundisha Chuo Kimoja MTWARA, nilipofika pale nikaenda kununua Feni na vifaa vya ndani, feni niliyoambiwa ni elfu sabini, alipokuja mtu mwenye lafudhi ya N badala ya M nikaona anaibeba kwa 35,000/ kumwambia nipunguzie, nikaambiwa kanunue na wewe uje uuze ili upunguze bei. Nikadhani ni hapo tu, nikaenda kununua samaki pwani/ Ferry nikapigwa bei hatari, nikapewa ujanja kwamba samaki uliyemnunua elfu kumi wewe mpe mtu wa mtwara elfu tano tu atakuja nayo bila shida. Sikuishia hapo nikaenda kumtembelea rafiki yangu anafanyakazi benki Newala. Kufika kule nikakuta analia ubaguzi wa hivyo hivyo, kiasi kwamba alipotaka kufungua duka la nguo ilibidi amtumie rafiki yake mwenyeji wa huko ili ionekane anaandaa ile fremu ili akiweka nguo zile ziweze kununuliwa. Hali hii niliikuta Ruangwa pia kwa Hakimu mmoja niliyekutana naye huko yeye akiwa mtu wa mbeya, alilalamikia hali hii. Inawezekana na Bukoba kuna ubaguzi lakini sidhani kama ni wa kiasi cha Mtwara na Lindi.
Ni kweli kabisa. Kagera tumeiterekeza wenyewe. Watu wengi kutoka kagera ni wabinafsi wakishafanikiwa huwa kazi yao ni kutamba mijini na majigambo ya hapa na pale. Tumeshindwa wenyewe kuendeleza mkoa wetu na dhambi hii inazidi kututafuna.Walioteklekeza Kagera ni wana Kagera wenyewe.Watu wa Kagera popote wanapokuwa ndio kwake kafika hana mpango wa kagera wala nini kama wachaga.Kagera wanaenda tu sana sana labda mtu akifariki wanaenda kuzika au kuhani msiba! Kagera kuna wasomi na wenye pesa wamezagaa dunia nzima lakini hawana makazi ya kudumu bukoba na hawana mpango wa kuhamia kukaa kule au kufanya uwekezaji mkubwa kule.
Kila mtu wa kagera anayefanikiwa SANA anachofanya ni kutimukia DAR ES SALAAM ,MIKOA MINGINE.Marekani ,ULAYA NK
Kagera kulitakiwa kuwe na vyuo vikuu kibao.Maprofesa wastaafu wako weengi mno kule wangeanzisha mavyuo kibao walimu wakawa wenyewe na washomile wengine ambao wako every where in the world including UNITED NATIONS and other important UN agencies and ICC.
Kwa watu wa kagera kusubiri serikali ifanye mambo makubwa ni too low na ni aibu.
Achana na ishu za watu wa Kagera, hapa tunaiweka serikali center na kuitazama katika majukumu yake kwa watu wake. Hauwezi ukaona ni sawa serikali ifanye kwingine ila ikija Kagera mnasema wafanye wenyewe. Kwani huko kwingine inakofanya serikali hakuna watu? kwanini watu wa Kagera ndo waonekane wajiendeleze wao kwani wao ndo wanaokusanya kodi ya nchi ya Tz? na kwanini walivyoanza kujiendeleza serikali hiyo hiyo ikaamua kuwahuju kwa njia za kisiasa? why???. Na muelewe nyie mlioko hapa kuzitetea serikali zenu, kwamba mlichokifanya katika baadhi ya mikoa na mkaiacha mingine ijimenye yenyewe hakika ipo siku, siku zitakuja ambako mtaulizwa na mtatakiwa kujibu haya maswali, kama siyo sisi basi vizazi vijavyo watawaulizeni na kwa data sahihi.Watu wa kagera wamesambaa dunia nzima.Wangetumia kusambaa huko kuvutia wawekezaji wa nje wawekeze kagera kama wenyeji hawawezi.Kama mkoa pia kupitia wenyeji wajitahidi kuvutia wawekezaji wazawa wa mikoa mingine watamani kuwekeza Bukoba.Usomi wao kama hauwezi weza hata vutia wawekezaji kwenye mkoa tu ni usomi gani huo?
Kagera inaongoza kwa wasomi wengi wa elimu za kiwango cha PHD Tanzania wakifuatiwa na kilimanjaro.Lakini wasomi wa Kagera hawajaonyesha umahiri wao katika kuindeleza kagera.
Safi sana, bagambileee na baelezeee kazi kujenga ugenini na kusahau kwao.Walioteklekeza Kagera ni wana Kagera wenyewe.Watu wa Kagera popote wanapokuwa ndio kwake kafika hana mpango wa kagera wala nini kama wachaga.Kagera wanaenda tu sana sana labda mtu akifariki wanaenda kuzika au kuhani msiba! Kagera kuna wasomi na wenye pesa wamezagaa dunia nzima lakini hawana makazi ya kudumu bukoba na hawana mpango wa kuhamia kukaa kule au kufanya uwekezaji mkubwa kule.
Kila mtu wa kagera anayefanikiwa SANA anachofanya ni kutimukia DAR ES SALAAM ,MIKOA MINGINE.Marekani ,ULAYA NK
Kagera kulitakiwa kuwe na vyuo vikuu kibao.Maprofesa wastaafu wako weengi mno kule wangeanzisha mavyuo kibao walimu wakawa wenyewe na washomile wengine ambao wako every where in the world including UNITED NATIONS and other important UN agencies and ICC.
Kwa watu wa kagera kusubiri serikali ifanye mambo makubwa ni too low na ni aibu.
Acha ujinga wewe wakati chief Marealle anaenda kuomba uhuru wa Kilimanjaro huko UN huyo Msuya alikua ni nani? Wachaga long time wanajitambuaAcademicians wafanye nini sasa? Atajenga nyumba nzuri, atasomesha ndg hata majirani, lkn atawekeza nini? Wapo Dar na kwingineko wakifundisha. Wameanzisha shule, na vyuo (Askofu Kiraini kwa SAUT Bukoba ilianzishwa kwa juhudi zake). Academicians watajenga viwanda au watafanyaje. Nimeona wameunda kamati ya maendeleo ya Bukoba/Missenyi ila kwa sasa wanajenga maabara katika shule za kata kwanza. Hata huko Kilimanjaro mnakokusifia hakukuendelezwa na wachagga bali ni juhudi za Mawaziri wa Fedha na Mzee Msuya kutumia nafasi ya yeye kuwa Waziri wa Fedha na baadae Waziri Mkuu.
Kwanza kabla ya hyo airport mjenge stendi ya Bukoba.... Mkoa pekee wenye stendi ya kiduwanzi.... Mbona Kilimanjaro serikali ilpatelekeza lakini bado inasonga...?