Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Achana na ishu za watu wa Kagera, hapa tunaiweka serikali center na kuitazama katika majukumu yake kwa watu wake. Hauwezi ukaona ni sawa serikali ifanye kwingine ila ikija Kagera mnasema wafanye wenyewe. Kwani huko kwingine inakofanya serikali hakuna watu?

Wabunge wenu mnao,halmashauri mnazo,madiwani mnao,viongozi wa serikali mnao kwenye maeneo yenu kuanzia kata hadi mkoa huwa mnashirikiana nao kuchochea maendeleo kwenye maeneo yenu?

Kuna malalamiko makubwa mno toka viongozi wengi wa BUKOBA kuhusu watu wa kagera hasa wenye uwezo kuwa ni watu wa kujifungia kwenye mageti kwenye nyumba zao ambazo ramani zake walizitoa ulaya.Akishakuwa na elimu na uwezo wake ni yeye na jumba lake la geti na tiketi zake za ndege za kwenda ulaya nk Wengine wote walioko kagera wajinga, mwerevu yeye tu.Eneo lake hata liwe nyuma vipi yeye hahangaiki kumtafuta kiongozi wa serikali ya mtaa,kijiji au mjumbe wa nyumba kumi au diwani au mbunge kumtaka waonane washauriane nini wafanye kuendeleza eneo.Anaona atakuwa kajishusha sana hadhi after all he/she has AIR tickets! he/SHE is supposed to go to UK to see the QUEEN who has invited him/her to advice her on important matters ,then fly to America to talk to OBAMA on American Election before flying to UN to have tea and morning talks with BAN Ki MOON THE secretary general of UN.
 
Kuna kitu ambacho bado sikielewi vizuri. Hivi Bukoba ni Uganda? Mbona serkikali inaogopa kuweka raslimali zake?
 
  • Thanks
Reactions: Izc
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi

Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera?
Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania,
Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara,

1. Dar es salaam
2. Kagera
3. Kilimanjaro

Lakin ukweli usiopingika Kagera imetelekezwa na serikali vya kutosha bila kujali majanga yaliyoikuta au michango ambayo Kagera imetoa kwa watanzania.

Kila MTU kutokea Kagera atakuwa ana kumbukumbu zinazomfanya kusononeka sana,

SABABU MUHIMU ZILIZOSABABISHA KAGERA KURUDI NYUMA KIMAENDELEO

1. VITA YA KAGERA, 1978/79
Vita ya nchi nzima ilipiganwa kwenye mkoa mmoja na kuharibu miundombinu vya kutosha , na ule ndo ulikuwa uwanja wa vita hasa, lakini hakuna sehemu yoyote kuna strategy za kuujenga upya mkoa, tunaishia kusikia maneno ya kashfa tu tena toka kwa viongozi wakubwa kwa wanakagera eti mmeshindwa kujenga hata chuo kikuu kimoja? Aliuliza Kikwete lakini kasahau kuwa yeye kama mkuu wa serikali hajajenga hata chuo cha kutoa cheti.

2. JANGA LA UKIMWI 1983,
Kama inavyojulikana Kagera iko mpakani mwa Uganda, na UKIMWI umeanzia Uganda, na kwa kuwa wana Kagera wana utaratibu wa kufanya Biashara na Uganda , haikukwepeka kupata UKIMWI, nguvu Kazi kubwa ilipotea sana miaka hiyo na kusababisha uchumi kurudi nyuma,

3. AJALI YA MV BUKOBA
Janga la pili ambalo linafanya kudhoofisha mkoa wa Kagera ni kuwa , watoto wengi yatima wameongezeka , nguvu kazi imepungua kutokana na ajali ile.

4.1998 EL NINO
Hii wengi mnaelewa kuwa imekumba sana ukanda wa kanda ya ziwa kuliko kanda yoyote ile hapa nchini , imeharibu miundombinu na kupoteza wazalishaji Mali,

5. KUSHUKA KWA BEI YA KAHAWA 1998 KWA UZEMBE WA SERIKALI.
Inajulikana Kagera ilitegemea sana Kahawa kama kitega uchumi , kwa uzembe wa serikali hakukuwepo utaratibu wa kuhakikisha Kahawa inabaki na bei ya kuridhisha badala yake ikapuuza mpaka wananchi wakakata mibuni maana haikuwa na maana tena,

6. UBAGUZI ULIOJIFICHA TOKA KWA VIONGOZI ( INDIRECT DISCRIMINATION TOWARDS HAYA TRIBE)
Miaka ya nyuma hakuna ambaye hajui kuwa wahaya waliwekewa mizengwe katika baadhi ya sekta, hata kwenye elimu , walipandishiwa alama za ufaulu ili wachache waendelee na elimu ya juu maana walionekana kuwa wao ndio wanafaulu na kujaza madarasa mengine, lakin ili kuitamka sentensi hii (INAHITAJI UJIFANYE MWENDA WAZIMU KIDOGO)

7. KUTENGWA NA NCHI KIJIOGRAFIA
Kagera iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, waliowahi kufika uko ndio wanaelewa namaanisha nini, Kagera imekuwa kama kisiwa maana jinsi ya kufika kule inabidi ukatishe kilometer kadhaa za msitu, ili uingie Kagera, au upite ziwani kwa meli ndio uende mikoa mingineyo ambayo ni ya Tanzania, hivyo basi wana Kagera walikuwa na urahisi wa kufanya Biashara na Uganda kuliko mikoa mingine ya Tanzania, lakini serikali ilikataza biashara hiyo , wakajikuta wamebaki kama kisiwa ndani ya nchi yao wenyewe,

8.KAGERA KIMBILIO LA WAKIMBIZI MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA 1994 NA MACHAFUKO TANAYOENDELEA UKANDA ULE.
Wanyarwanda wameiteka Kagera hasa wilaya ya Karagwe na Muleba na kujichukulia ardhi , pia wamekuwa watekaji wa magari na kudhalilisha wana kagera , kitu amabacho kimerudisha nyuma uchumi wa mkoa, kwa kasi, majambazi wametamalaki na kufanya uharamia ambao umefanya kusiwepo hali ya utulivu na kujenga uchumi, serikali imechelewa kuchukua hatua,

9. KUTOJUMUISHWA KATIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KIKANDA
Kila kanda imetengwa katika kanda fulani ya mkakati wa maendeleo lakini kanda ya ziwa ambayo ndipo kuna mkoa Kagera hakuna ilipoainishwa katika mpango wa maendeleo.Kagera Umekuwa ni mkoa wa kujitegemea kwa kila kitu utasikia

Ukumbi wa mkutano unajengwa Arusha, sijui chuo cha utalii Dar, chuo cha ufugaji Tabora.

Chuo cha reli tabora, chuo cha science cha nelson Mandela arusha,
Chuo cha serikali cha ugavi, Chuo cha ushirika Moshi Mara..

Chuo cha mbao Iringa, kwanini Kagera hakuna mipango endelevu, sasa upo wapi uwanja wa Mukajunguti wa ndege na ulishaahidiwa kuwa wa kimataifa na kutengewa bajeti kipindi cha Mkapa?,Rais Magufuli halioni hilo?

Kagera wanekuwa wa kupandia kama daraja, Kikwete kaenda Bukoba katoa ahadi ambayo imerudiwa na Magufuli sana, eti ntawapa meli ,mbona hata mtumbwi haujaweka,

We unayesoma hapa nitajie chuo chochote kilichojengwa na serikali kuazia cheti mpaka degree, imekuwa vipaumbele kujenga Dodoma na mnasahau kuna deni Kagera inadai kwa taifa hili.

Kilichosaidia Kagera ni vishirika vya wazungu tu kama partage, world vision, gses, yaan serikali haijatenda haki huko.

SOMA HII SASA SERIKALI INA KITU KINAITWA SUBJECTIVE AND OBJECTIVE PLANNINGS,(BIG FOUR REGIONS) IKO HIVI

1.KANDA YA KUSINI AU NYANDA ZA JUU KUSINI
Imetengwa kama kanda ya kilimo hapa kuna mikoa
Njombe
Mbeya
Katavi
Ruvuma
Na Iringa .

2.KANDA NYINGINE KANDA YA KASKAZINI
Hii imeahinishwa na kupewa kipaumbele kama kanda ya utalii,
Mikoa ni
Arusha,
Kilimanjaro na Manyara,

3.NYINGINE NI KANDA YA KATI ,
Taasisi za siasa na Elimu ya juu
Mikoa ni
Morogoro,
Dodoma,
Singida,

4. KANDA YA MASHARIKI INEPEWA Kanda ya viwanda na Biashara, mikoa ni
Dar es salaam,
Mtwara
Lindi
Pwani
Tanga

KANDA YA ZIWA ANBAYO KUNA KAGERA IKO WAPI, ?
Sasa inafika hatua tunapaswa kuusema ukweli ,

Mheshimiwa rais huu ulikuwa ninwakati wa Kujenga MUKAJUNGUTI INTERNATIONAL AIRPORT SIYO CHATO. TUNGEPOZWA ANGALAU NA UWANJA UO MAANA TUMESUBIRI NEEMA KWA MIAKA MINGI LAKIN WAPI

Wengi watasema umejenga huko kwakuwa ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Kajunguti International Airport - Wikipedia, the free encyclopedia

Wazungu walivyoleta wazo la tribe Afrika hawakukosea kabisa na wewe ndiyo kithibitisho tosha kwamba Wazungu walijua wanalichokuwa wanakifanya, kwa kukusaidia tribe maana yake ni kwamba ni kundi la watu ambao hawajastaarabika na huishi kwenye maisha ya kijima ambao hawajaweza bado kujenga Taifa hii ndiyo maana ya neno tribe, na hutumiwa Afrika tu na Wazungu Lkn siyo sehemu nyingine labda kwenye misitu ya Amazon huko ndiyo kuna tribe au kwenye hifadhi ya binadamu Marekani red Indians hao ndiyo tribe!

Kwa kifupi kujiita tribe ni sawa na Mmarekani mweusi anavyojiita Nigga hamna tofauti!

Na wewe mwenyewe ulivyokuwa hauna akili umejiita Haya tribe bila kujua kwamba hakuna kitu kama Haya tribe Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kitu kama Chaga Tribe, hao unaowaita Wahaya kama vile Wachaga au sijui Wasukuma siyo tribe, kwa maana tribe au kabila ni watu wa utamaduni mmoja, lugha moja na mfumo wa maisha mmoja, sasa hao unaowaita Wahaya wote wanaongea Lugha moja? Na kwa nini huku waitwe Wahaya kule waitwe Wabaganda kama kweli ni Kabila moja?

Hawa ndiyo watu ambao huitwa tribe!​
Great_Andamanese_-_two_men_-_1875.jpg
 
Wabunge wenu mnao,halmashauri mnazo,madiwani mnao,viongozi wa serikali mnao kwenye maeneo yenu kuanzia kata hadi mkoa huwa mnashirikiana nao kuchochea maendeleo kwenye maeneo yenu?

Kuna malalamiko makubwa mno toka viongozi wengi wa BUKOBA kuhusu watu wa kagera hasa wenye uwezo kuwa ni watu wa kujifungia kwenye mageti kwenye nyumba zao ambazo ramani zake walizitoa ulaya.Akishakuwa na elimu na uwezo wake ni yeye na jumba lake la geti na tiketi zake za ndege za kwenda ulaya nk Wengine wote walioko kagera wajinga, mwerevu yeye tu.Eneo lake hata liwe nyuma vipi yeye hahangaiki kumtafuta kiongozi wa serikali ya mtaa,kijiji au mjumbe wa nyumba kumi au diwani au mbunge kumtaka waonane washauriane nini wafanye kuendeleza eneo.Anaona atakuwa kajishusha sana hadhi after all he/she has AIR tickets! he/SHE is supposed to go to UK to see the QUEEN who has invited him/her to advice her on important matters ,then fly to America to talk to OBAMA on American Election before flying to UN to have tea and morning talks with BAN Ki MOON THE secretary general of UN.
Inawezekana uliposimama sipo niliposimama na nisingependa kutoka kwenye mada na kwenda upande mwingine nisioufahamu. Niko huku kwasababu ninaongea ninachokofahamu na nakifahamu labda hata zaidi yako pengine, kwanza mie huku ni kwetu na pili nimesoma vya kutosha juu ya historia ya mahala hapa kwani ni asiri yangu na nawajibika kuifahamu hiyo historia ya asiri yangu. Wewe endelea na siasa zako na so far haya nayoyaandika hapa ni ujumbe kwa serikali, namaanisha sijakulenga wewe kama wewe moja kwa moja. Uniache niendelee kuongea na wale wanaoweza kuniuliza, wakajiuliza na wakaelewa ni nini haya maandishi yanamaanisha.
 
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi

Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera?
Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania,
Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara,

1. Dar es salaam
2. Kagera
3. Kilimanjaro

Lakin ukweli usiopingika Kagera imetelekezwa na serikali vya kutosha bila kujali majanga yaliyoikuta au michango ambayo Kagera imetoa kwa watanzania.

Kila MTU kutokea Kagera atakuwa ana kumbukumbu zinazomfanya kusononeka sana,

SABABU MUHIMU ZILIZOSABABISHA KAGERA KURUDI NYUMA KIMAENDELEO

1. VITA YA KAGERA, 1978/79
Vita ya nchi nzima ilipiganwa kwenye mkoa mmoja na kuharibu miundombinu vya kutosha , na ule ndo ulikuwa uwanja wa vita hasa, lakini hakuna sehemu yoyote kuna strategy za kuujenga upya mkoa, tunaishia kusikia maneno ya kashfa tu tena toka kwa viongozi wakubwa kwa wanakagera eti mmeshindwa kujenga hata chuo kikuu kimoja? Aliuliza Kikwete lakini kasahau kuwa yeye kama mkuu wa serikali hajajenga hata chuo cha kutoa cheti.

2. JANGA LA UKIMWI 1983,
Kama inavyojulikana Kagera iko mpakani mwa Uganda, na UKIMWI umeanzia Uganda, na kwa kuwa wana Kagera wana utaratibu wa kufanya Biashara na Uganda , haikukwepeka kupata UKIMWI, nguvu Kazi kubwa ilipotea sana miaka hiyo na kusababisha uchumi kurudi nyuma,

3. AJALI YA MV BUKOBA
Janga la pili ambalo linafanya kudhoofisha mkoa wa Kagera ni kuwa , watoto wengi yatima wameongezeka , nguvu kazi imepungua kutokana na ajali ile.

4.1998 EL NINO
Hii wengi mnaelewa kuwa imekumba sana ukanda wa kanda ya ziwa kuliko kanda yoyote ile hapa nchini , imeharibu miundombinu na kupoteza wazalishaji Mali,

5. KUSHUKA KWA BEI YA KAHAWA 1998 KWA UZEMBE WA SERIKALI.
Inajulikana Kagera ilitegemea sana Kahawa kama kitega uchumi , kwa uzembe wa serikali hakukuwepo utaratibu wa kuhakikisha Kahawa inabaki na bei ya kuridhisha badala yake ikapuuza mpaka wananchi wakakata mibuni maana haikuwa na maana tena,

6. UBAGUZI ULIOJIFICHA TOKA KWA VIONGOZI ( INDIRECT DISCRIMINATION TOWARDS HAYA TRIBE)
Miaka ya nyuma hakuna ambaye hajui kuwa wahaya waliwekewa mizengwe katika baadhi ya sekta, hata kwenye elimu , walipandishiwa alama za ufaulu ili wachache waendelee na elimu ya juu maana walionekana kuwa wao ndio wanafaulu na kujaza madarasa mengine, lakin ili kuitamka sentensi hii (INAHITAJI UJIFANYE MWENDA WAZIMU KIDOGO)

7. KUTENGWA NA NCHI KIJIOGRAFIA
Kagera iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, waliowahi kufika uko ndio wanaelewa namaanisha nini, Kagera imekuwa kama kisiwa maana jinsi ya kufika kule inabidi ukatishe kilometer kadhaa za msitu, ili uingie Kagera, au upite ziwani kwa meli ndio uende mikoa mingineyo ambayo ni ya Tanzania, hivyo basi wana Kagera walikuwa na urahisi wa kufanya Biashara na Uganda kuliko mikoa mingine ya Tanzania, lakini serikali ilikataza biashara hiyo , wakajikuta wamebaki kama kisiwa ndani ya nchi yao wenyewe,

8.KAGERA KIMBILIO LA WAKIMBIZI MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA 1994 NA MACHAFUKO TANAYOENDELEA UKANDA ULE.
Wanyarwanda wameiteka Kagera hasa wilaya ya Karagwe na Muleba na kujichukulia ardhi , pia wamekuwa watekaji wa magari na kudhalilisha wana kagera , kitu amabacho kimerudisha nyuma uchumi wa mkoa, kwa kasi, majambazi wametamalaki na kufanya uharamia ambao umefanya kusiwepo hali ya utulivu na kujenga uchumi, serikali imechelewa kuchukua hatua,

9. KUTOJUMUISHWA KATIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KIKANDA
Kila kanda imetengwa katika kanda fulani ya mkakati wa maendeleo lakini kanda ya ziwa ambayo ndipo kuna mkoa Kagera hakuna ilipoainishwa katika mpango wa maendeleo.Kagera Umekuwa ni mkoa wa kujitegemea kwa kila kitu utasikia

Ukumbi wa mkutano unajengwa Arusha, sijui chuo cha utalii Dar, chuo cha ufugaji Tabora.

Chuo cha reli tabora, chuo cha science cha nelson Mandela arusha,
Chuo cha serikali cha ugavi, Chuo cha ushirika Moshi Mara..

Chuo cha mbao Iringa, kwanini Kagera hakuna mipango endelevu, sasa upo wapi uwanja wa Mukajunguti wa ndege na ulishaahidiwa kuwa wa kimataifa na kutengewa bajeti kipindi cha Mkapa?,Rais Magufuli halioni hilo?

Kagera wanekuwa wa kupandia kama daraja, Kikwete kaenda Bukoba katoa ahadi ambayo imerudiwa na Magufuli sana, eti ntawapa meli ,mbona hata mtumbwi haujaweka,

We unayesoma hapa nitajie chuo chochote kilichojengwa na serikali kuazia cheti mpaka degree, imekuwa vipaumbele kujenga Dodoma na mnasahau kuna deni Kagera inadai kwa taifa hili.

Kilichosaidia Kagera ni vishirika vya wazungu tu kama partage, world vision, gses, yaan serikali haijatenda haki huko.

SOMA HII SASA SERIKALI INA KITU KINAITWA SUBJECTIVE AND OBJECTIVE PLANNINGS,(BIG FOUR REGIONS) IKO HIVI

1.KANDA YA KUSINI AU NYANDA ZA JUU KUSINI
Imetengwa kama kanda ya kilimo hapa kuna mikoa
Njombe
Mbeya
Katavi
Ruvuma
Na Iringa .

2.KANDA NYINGINE KANDA YA KASKAZINI
Hii imeahinishwa na kupewa kipaumbele kama kanda ya utalii,
Mikoa ni
Arusha,
Kilimanjaro na Manyara,

3.NYINGINE NI KANDA YA KATI ,
Taasisi za siasa na Elimu ya juu
Mikoa ni
Morogoro,
Dodoma,
Singida,

4. KANDA YA MASHARIKI INEPEWA Kanda ya viwanda na Biashara, mikoa ni
Dar es salaam,
Mtwara
Lindi
Pwani
Tanga

KANDA YA ZIWA ANBAYO KUNA KAGERA IKO WAPI, ?
Sasa inafika hatua tunapaswa kuusema ukweli ,

Mheshimiwa rais huu ulikuwa ninwakati wa Kujenga MUKAJUNGUTI INTERNATIONAL AIRPORT SIYO CHATO. TUNGEPOZWA ANGALAU NA UWANJA UO MAANA TUMESUBIRI NEEMA KWA MIAKA MINGI LAKIN WAPI

Wengi watasema umejenga huko kwakuwa ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Kajunguti International Airport - Wikipedia, the free encyclopedia
Samahani chato umeisahau kwenye list ya ukanda mbona ?
 
Nilifanya kazi world Vision bukoba kwa miaka 3 daah wale jamaa ofisini kuanzia mfanya usafi,mlinzi, staffs wanapiga lugha yao ile ya "iwe bojo", wengine tusio wahaya ni shida tupu. Afu hao jamaa hawanaga aibu kumsengenya mtu huku wamekaa nae hapo hapo ni kawaida yao kabisaa wala hawana shida khs hilo. Njoo kwenye ngono sasa aise mpk unashangaa hivi hawa jamaa huku hawajuagi kama kuna magonjwa au?
Acha upumbavu
 
Achana na ishu za watu wa Kagera, hapa tunaiweka serikali center na kuitazama katika majukumu yake kwa watu wake. Hauwezi ukaona ni sawa serikali ifanye kwingine ila ikija Kagera mnasema wafanye wenyewe. Kwani huko kwingine inakofanya serikali hakuna watu? kwanini watu wa Kagera ndo waonekane wajiendeleze wao kwani wao ndo wanaokusanya kodi ya nchi ya Tz? na kwanini walivyoanza kujiendeleza serikali hiyo hiyo ikaamua kuwahuju kwa njia za kisiasa? why???. Na muelewe nyie mlioko hapa kuzitetea serikali zenu, kwamba mlichokifanya katika baadhi ya mikoa na mkaiacha mingine ijimenye yenyewe hakika ipo siku, siku zitakuja ambako mtaulizwa na mtatakiwa kujibu haya maswali, kama siyo sisi basi vizazi vijavyo watawaulizeni na kwa data sahihi.
Kama mleta mada amenishawishi na Mimi nianze kuuliza hivi kwanini, au wahaya si wa nchi hii,?
 
Acha ujinga wewe wakati chief Marealle anaenda kuomba uhuru wa Kilimanjaro huko UN huyo Msuya alikua ni nani? Wachaga long time wanajitambua
Story za uongo hakuna chief mchaga aache kuwaza chenji aende UN mwaka gan huo?
 
Kwanza kabla ya hyo airport mjenge stendi ya Bukoba.... Mkoa pekee wenye stendi ya kiduwanzi.... Mbona Kilimanjaro serikali ilpatelekeza lakini bado inasonga...?
Nayo point lakin Mimi na msapot mleta mada kwanini chato airport wakati mpango wa omukajunguti bado
 
Yaani hiyo stendi ni aibu.Ukifika huamini kuwa huo ndio mkoa wenye lukuki ya wasomi.Hata hiyo stendi wanataka serikali kuu ijenge iwasaidie wakati ni kazi tu ya halmashauri ya mji tu kuijenga.Ni aibu.Stendi huwa ndio sura ya sehemu.Sasa stendi kuwa hivyo ukifika tu mtu huna hamu kabisa na kagera.UNAJIULIZA NI MKOA GANI HUU wenye stendichoka mbaya hivi?
Stendi ni suala dogo sana ambalo muda wowote linaisha , uwanja ndo utapelekea na stendi zijengwe, kwan stendi inatumia siku ngapi na inajengwa na nan
 
Wabunge wenu mnao,halmashauri mnazo,madiwani mnao,viongozi wa serikali mnao kwenye maeneo yenu kuanzia kata hadi mkoa huwa mnashirikiana nao kuchochea maendeleo kwenye maeneo yenu?

Kuna malalamiko makubwa mno toka viongozi wengi wa BUKOBA kuhusu watu wa kagera hasa wenye uwezo kuwa ni watu wa kujifungia kwenye mageti kwenye nyumba zao ambazo ramani zake walizitoa ulaya.Akishakuwa na elimu na uwezo wake ni yeye na jumba lake la geti na tiketi zake za ndege za kwenda ulaya nk Wengine wote walioko kagera wajinga, mwerevu yeye tu.Eneo lake hata liwe nyuma vipi yeye hahangaiki kumtafuta kiongozi wa serikali ya mtaa,kijiji au mjumbe wa nyumba kumi au diwani au mbunge kumtaka waonane washauriane nini wafanye kuendeleza eneo.Anaona atakuwa kajishusha sana hadhi after all he/she has AIR tickets! he/SHE is supposed to go to UK to see the QUEEN who has invited him/her to advice her on important matters ,then fly to America to talk to OBAMA on American Election before flying to UN to have tea and morning talks with BAN Ki MOON THE secretary general of UN.
Muongo sana,
 
Wahaya siku hizi hamna tofauti na wazaramo,tararira nyingi sana...wacha muisome namba
 
Wazungu walivyoleta wazo la tribe Afrika hawakukosea kabisa na wewe ndiyo kithibitisho tosha kwamba Wazungu walijua wanalichokuwa wanakifanya, kwa kukusaidia tribe maana yake ni kwamba ni kundi la watu ambao hawajastaarabika na huishi kwenye maisha ya kijima ambao hawajaweza bado kujenga Taifa hii ndiyo maana ya neno tribe, na hutumiwa Afrika tu na Wazungu Lkn siyo sehemu nyingine labda kwenye misitu ya Amazon huko ndiyo kuna tribe au kwenye hifadhi ya binadamu Marekani red Indians hao ndiyo tribe!

Kwa kifupi kujiita tribe ni sawa na Mmarekani mweusi anavyojiita Nigga hamna tofauti!

Na wewe mwenyewe ulivyokuwa hauna akili umejiita Haya tribe bila kujua kwamba hakuna kitu kama Haya tribe Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kitu kama Chaga Tribe, hao unaowaita Wahaya kama vile Wachaga au sijui Wasukuma siyo tribe, kwa maana tribe au kabila ni watu wa utamaduni mmoja, lugha moja na mfumo wa maisha mmoja, sasa hao unaowaita Wahaya wote wanaongea Lugha moja? Na kwa nini huku waitwe Wahaya kule waitwe Wabaganda kama kweli ni Kabila moja?

Hawa ndiyo watu ambao huitwa tribe!​
Great_Andamanese_-_two_men_-_1875.jpg
Hasa umeongea nini wewe hata sijakuelewa
 
Wabunge wenu mnao,halmashauri mnazo,madiwani mnao,viongozi wa serikali mnao kwenye maeneo yenu kuanzia kata hadi mkoa huwa mnashirikiana nao kuchochea maendeleo kwenye maeneo yenu?

Kuna malalamiko makubwa mno toka viongozi wengi wa BUKOBA kuhusu watu wa kagera hasa wenye uwezo kuwa ni watu wa kujifungia kwenye mageti kwenye nyumba zao ambazo ramani zake walizitoa ulaya.Akishakuwa na elimu na uwezo wake ni yeye na jumba lake la geti na tiketi zake za ndege za kwenda ulaya nk Wengine wote walioko kagera wajinga, mwerevu yeye tu.Eneo lake hata liwe nyuma vipi yeye hahangaiki kumtafuta kiongozi wa serikali ya mtaa,kijiji au mjumbe wa nyumba kumi au diwani au mbunge kumtaka waonane washauriane nini wafanye kuendeleza eneo.Anaona atakuwa kajishusha sana hadhi after all he/she has AIR tickets! he/SHE is supposed to go to UK to see the QUEEN who has invited him/her to advice her on important matters ,then fly to America to talk to OBAMA on American Election before flying to UN to have tea and morning talks with BAN Ki MOON THE secretary general of UN.
Tatizo hamjuhi machungu tuliyonayo ndo maana mnaleta utan
 
Wazungu walivyoleta wazo la tribe Afrika hawakukosea kabisa na wewe ndiyo kithibitisho tosha kwamba Wazungu walijua wanalichokuwa wanakifanya, kwa kukusaidia tribe maana yake ni kwamba ni kundi la watu ambao hawajastaarabika na huishi kwenye maisha ya kijima ambao hawajaweza bado kujenga Taifa hii ndiyo maana ya neno tribe, na hutumiwa Afrika tu na Wazungu Lkn siyo sehemu nyingine labda kwenye misitu ya Amazon huko ndiyo kuna tribe au kwenye hifadhi ya binadamu Marekani red Indians hao ndiyo tribe!

Kwa kifupi kujiita tribe ni sawa na Mmarekani mweusi anavyojiita Nigga hamna tofauti!

Na wewe mwenyewe ulivyokuwa hauna akili umejiita Haya tribe bila kujua kwamba hakuna kitu kama Haya tribe Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kitu kama Chaga Tribe, hao unaowaita Wahaya kama vile Wachaga au sijui Wasukuma siyo tribe, kwa maana tribe au kabila ni watu wa utamaduni mmoja, lugha moja na mfumo wa maisha mmoja, sasa hao unaowaita Wahaya wote wanaongea Lugha moja? Na kwa nini huku waitwe Wahaya kule waitwe Wabaganda kama kweli ni Kabila moja?

Hawa ndiyo watu ambao huitwa tribe!​
Great_Andamanese_-_two_men_-_1875.jpg
Hasa ndo umeongea nini ugolo?
 
Back
Top Bottom