Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,233
Unakuja kulialia hapa eli ninyo ilinyesha kwenu tu?ukimwi nao ni serikali?mv bukoba iliua watu lakhi ngap toka kagera?ninyi ni wapuuzi sana.si ndo huwa mnajisifu ujinga?kwenu hamjengi na hamkai mnakaa kujifu sifa za kijinga. Angalieni kwa wenzenu mbeya,arusha,knjaro na mwanza.
Ninyi mnakaa kujisifia sifa za kijinga wakati mkoa wenu ni mmoja ya mikoa iliyochoka.mnasema ninyi wasomi na mna pesa.haya mnajenga wapi sasa.
Jaribu kupitia tena ulicho andika - huna chochote cha maana unacho changia zaidi za kudhilisha chuki zako binafsi na ukosefu wa ustaarabu,
wewe unatoka Mkoa gani - najua utazuga watu, huna ubavu wa kusema ukweli, si ajabu bila Nyerere kuanzisha vijiji vya ujamaa usingekuwa na kijiji to speak about kila kaya alikuwa anaishi kivyake vyake - unakalia kufurahia na kubeza beza natural disaster, accidents na magonjwa yanayo kumba binadamu wenzako as if wewe na ukoo wenu ni immortal, akili gani hizi.
Maneno tu - umewahi hata kutembelea vijiji vya Mkoa wa Kagera - umekazania kuzungumzia miji tuu - nani kakwambia Wahaya wana utamaduni wa kuishi mijini?
Unajisemea tu - hivi unaweza kulinganisha vijiji vya Bukoba vijijini na vijiji vya Mwanza, Mbeya na Arusha ninewahi kutembelea huko kwote hakuna vinavyo karibia even a distant second na vijiji vya Bukoba vijijini - ungesema vijiji vya Uchagani ningekuelewa.