Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Josiah kibira university college ilikuwa inaenda vizuri eti imefungiwa, hivi stemuco , teku, Na vingine kama SAUTI SINGIDA kuna chuo kilichokuwa kinafika jocuco
 
Unakuja kulialia hapa eli ninyo ilinyesha kwenu tu?ukimwi nao ni serikali?mv bukoba iliua watu lakhi ngap toka kagera?ninyi ni wapuuzi sana.si ndo huwa mnajisifu ujinga?kwenu hamjengi na hamkai mnakaa kujifu sifa za kijinga. Angalieni kwa wenzenu mbeya,arusha,knjaro na mwanza.

Ninyi mnakaa kujisifia sifa za kijinga wakati mkoa wenu ni mmoja ya mikoa iliyochoka.mnasema ninyi wasomi na mna pesa.haya mnajenga wapi sasa.
El nino siyo Eli ninyo
 
Sikuwahi kusikia malalamiko yao karibu awamu zote, zaidi ya ubora, usomi na utajiri wa mali na utamaduni walio nao watu wa Bukoba...
Ndio maana nashangaa!
Mkuu huu mkoa umetelekezwa kwa makusudi. Kuna chuki kubwa na ubaguzi dhidi ya mkoa huu. Si sijui hasa shida ni nini?
 
Dah kumbe kagera imeingizwa matatizon hivyo sasa mi naona tuwe na umoja thabiti wa kuinuana
Hilo ni kweli.

Wahaya wanapaswa wajitambue na kujipanga angalau Kagera iwe na University of Kagera/Bukoba ambayo ni giant and strong. Kiwe ni chuo kikuu ambacho kitaweza kushindana na University of Cape town, Pretoria, Alexandria, Nairobi, Makerere na Udsm.

Chuo kiwe na colleges zote muhimu; Scince and Technology, Engineering, Humanities, Education, Health, Sociology.
=>Kuwe na workshop kubwa ya chuo ambayo itaorganize projects endelevu mfano development of an Operating System, Nano technology, Artificial intelligence, mineral processing projects, nk

=> Chuo kiwe na Health Research institute kubwa itakayofanya tafiti juu ya magonjwa mbali mbali hasa yale yanayoathiri zaidi Sub-Saharan countries.

=>Chuo kiwe na Hospital yake kubwa.

=> Wahaya walioko Ulaya, America, Asia na kwingineko duniani, wawe mabalozi wa chuo hiki ili kukipa link na international organizations.

=> Chuo kiwe na library kubwa kwa kila college yake na kuwepo na big public library service inayotolewa na chuo hicho.

=> Chuo kiwe na councillor ambaye anaweza kukipa popularity kimataifa lakini pia kukilink na organizations kubwa kama vile ORACLE, MICROSOFT, APPLE, AGHAKHAN HOSPITALS, JOHN HOPKINS HOSPITALS, TOYOTA COMPANY, FORD, nk ili wanafunzi wapate nafasi ya kuwa na uzoefu wa uendeshaji wa taasisi kubwa.

Sasa mpango uandaliwe na wataalamu wa elimu, uwekezaji, uchumi, na wanasayansi. Chuo kiendeshwe as a Corporation, hisa ziuzwe DSE, chuo kipate mtaji. Naamini katika soko la DSE hatuwezi kukosa atleast 2Trillions kwa kuanzia.

Akina Lugemarila wanaogawa mabilion hawataona tabu kuwekeza katika elimu.

Sasa ukishakuwa na chuo kikubwa namna hii, chenye uwezo wa kuajiri wafanyakazi 20,000;

=>Utahitaji miundombinu ya barabara stend imara ya mkoa na kiwanja ndege Omukajunguti, na hili litakuwa jukumu la serikali.

=>Zitajitajika
¶nyumba nyingi kwa ajiri ya wafanyakazi
¶mzunguko wa pesa utaimarika.
¶Bandari ya Kemondo na Bukoba zitakuwa na nguvu kuliko bandari yoyote Ziwa Victoria.
¶ Ajira nyingi sana zittengenezwa.
¶ Mji wa Bukoba utakuwa mji mkuu wa Biashara baada ya Dar kutokana na nafasi yake kijiografia. Maana Kagera inapakana na Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya.

Nimetoa skeleton tu ya kitu halisi, ila hili wazo linaweza kukuzwa likawa implemented na naamini litaiweka Kagera mbali
 
Mkuu,hivi MV Bukoba iliua watu wangapi mpaka irudishe nyuma maendeleo ya Kagera kwa miaka 20? Majanga mengine nakubali lakini hili hapana.
Mfano assume katika watu 800, watu 250 malikuwa na familia na kila familia ina wastani wa watoto 4 hapo haujahesabu watoto wa shangazi, mjomba, dada nk.

Hivi huo mzigo ni mkubwa kiasi gani na ulibebwa na nani?

Wale wazalishaji waliokufa nani amewa-replace?

Shughuli kubwa na biashara zilizotegemea MV Bukoba ziliendelea?

Unafikiri ni kwa nini raisi alitangaza maomblezo kitaifa? Au unafikiri ile ni ajari ya Ota Bus?
 
Ni kugawa nchi maendeleo kupelekwa upande mmoja hii inachgizwa na mapato yote ya Halmashauri za Wilaya miji manispaa na majiji nazo kutakiwa kwenda serikali kuu ili kukomoa baadhi ya maeneo tusubiri tuone ni suala la wakati haiji akilini kujenga uwanja wa 3000 m*45m Chato hivi tunaenda wapi? Msichukulie maanani mimi naota tu!
 
Moja ya kabila la Kijinga kabisa ni la Wahaya. Hawa ni wanafik wanafik sana na watu wa kujipendekeza.

Wana sifa za kijinga na wivu kwa wenzao. Nyie wahaya huko kwenu mmekusaidia vipi? Hebu mtuambie mnavyopenda kujisifia hata kwenu hamtak kukaa. Maisha magumu. Jamaa yangu kwao ni bukoba kapelekwa kikaz kagoma kwenda kabisa. Anasema ni wachawi na waswahili sana.kahonga kipindi kile cha kikwete akabadilisha mkoa kaenda mbeya.

Now ananambia amenunua kiwanja anajenga mkoa wa wenzake. Anyway si mbaya. Lakin toka ametoka kwao mwaka 2001 hajawah kurud kwao na hapapend. Si yeye tu.kaka yake kakimbilia kujikita kimaisha mwanza.si mbaya nchi yote ni yetu. Sasa kule bukoba mnabakiza vikongwe na wengine wengine.mnakuja hapa kulia lia. Upuuzi wa mwendo kasi kabisa. Mjiongeze. Ninyi mna majumba mpaka new york sasa si mngechangishana tu mkajenga airport bukoba?

Mkikaa kijiweni mnajisifia sifia kwa sifa za kijinga.wenzenu wanafanya kwel kimya kimya ninyi mnapiga mayowe.

Acheni kutusumbua endeleeni kujipendekeza na kujisifia kijinga wenzenu wanafanya kweli.miaka ijayo mtaanza hata kuukataa mkoa wenu. Kaeni tu kukazana kwenye migomba.
 
Hivi bei ya mfuko wa sementi ni sh ngapi kwa sasa mkoani kagera?
Wewe unaibua mada mpya.
Kagera kuna kiwanda cha sukari. Lakini bei ya sukari Kagera iko juu an ni sawa na mikoa mingine ambayo haina hata kiwanda cha sukari.

Nashangaa sana cement, mabati, nondo na vifaa vyote vya ujenzi gharama ziko juu si kawaida.
Mfuko wa 11 elfu wa cement Bk unauzwa 14_16 elfu shilingi
 
Mnajistukia mshambuliwe mna nini? Mwenzako kaongea ujinga tatizo nyie wahaya hamtaki kupeleka maendeleo kwenu mnawekeza kwenye mikoa ya wenzenu ni lini mtaendeleza kwenu? Haya rweyemamu kama una masikio utakuwa umenielewa.
Acha ujinga aisee, yaani mkoa wa Kagera woooote ni wa Wahaya!. Waangaza, Wasubi, Wazinza, Wanyambo kwako woooote wahaya. Kama hujui si uulize
 
Moja ya kabila la Kijinga kabisa ni la Wahaya. Hawa ni wanafik wanafik sana na watu wa kujipendekeza.

Wana sifa za kijinga na wivu kwa wenzao. Nyie wahaya huko kwenu mmekusaidia vipi? Hebu mtuambie mnavyopenda kujisifia hata kwenu hamtak kukaa. Maisha magumu. Jamaa yangu kwao ni bukoba kapelekwa kikaz kagoma kwenda kabisa. Anasema ni wachawi na waswahili sana.kahonga kipindi kile cha kikwete akabadilisha mkoa kaenda mbeya.

Now ananambia amenunua kiwanja anajenga mkoa wa wenzake. Anyway si mbaya. Lakin toka ametoka kwao mwaka 2001 hajawah kurud kwao na hapapend. Si yeye tu.kaka yake kakimbilia kujikita kimaisha mwanza.si mbaya nchi yote ni yetu. Sasa kule bukoba mnabakiza vikongwe na wengine wengine.mnakuja hapa kulia lia. Upuuzi wa mwendo kasi kabisa. Mjiongeze. Ninyi mna majumba mpaka new york sasa si mngechangishana tu mkajenga airport bukoba?

Mkikaa kijiweni mnajisifia sifia kwa sifa za kijinga.wenzenu wanafanya kwel kimya kimya ninyi mnapiga mayowe.

Acheni kutusumbua endeleeni kujipendekeza na kujisifia kijinga wenzenu wanafanya kweli.miaka ijayo mtaanza hata kuukataa mkoa wenu. Kaeni tu kukazana kwenye migomba.
Kagera nzima, mkoa woooote ni kabila moja tu Wahaya. Hivi hizi ni akili ya kuambiwa au kitu gani?
 
Mnajistukia mshambuliwe mna nini? Mwenzako kaongea ujinga tatizo nyie wahaya hamtaki kupeleka maendeleo kwenu mnawekeza kwenye mikoa ya wenzenu ni lini mtaendeleza kwenu? Haya rweyemamu kama una masikio utakuwa umenielewa.
Nani aliiendeleza dar, ni wazaramo? nani anaiendeleza Dom, ni wagogo? nani anaiendeleza mtwara, ni wamakonde? nani anaiendeleza Arusha, ni wameru?
Kuna mikoa mitano Tz ina viwanda vingi kuliko mingine, 75% ya hivyo viwanda katika mikoa hiyo walijenga wenyeji? Yawezekana hukuyajua haya ama hukutegemea niyataje ila nakupa dokezo tu, ukitaka tuongee kwa hoja basi tuendelee kwa hoja ndani ya hii mada
 
Hilo ni kweli.

Wahaya wanapaswa wajitambue na kujipanga angalau Kagera iwe na University of Bukoba ambayo ni giant and strong. Kiwe ni chuo kikuu ambacho kitaweza kushindana na University of Cape town, Pretoria, Alexandria, Nairobi, Makerere na Udsm.

Mkuu umechokonoa penyewe.Hiyo UNIVERCITY OF BUKOBA ilikwishataka kuanzishwa na michango ikaanza.Waulize wahaya ILIISHIA WAPI???????????????????
Yaani watu wanatapeli hahdi wanapeliana wenyewe kupitia Univercity of Bukoba hewa????!!!!!
Serious uliza wahaya hicho chuo kiliishia wapi.VERY SAD
 
Kwani unafikiri hilo hawalijui? Wanajisemea tu kwa kutoa hoja za kipuuzi na unafiki.

Mleta mada umetoa vielelezo vinavyo onyesha kanda na Mikoa inayo pewa kipa umbele na Serikali katika masuala ya kusaidia/leta maendeleo - narudia SERIKALI hii inayo tutoza kodi alafu bila aibu inaleta upendeleo wa wazi wazi kwa kususia Mkoa wa Kagera kimaendeleo, wanaweza kutao kisingingzio gani? Watwambie kama kuna a hidden agenda ya muda mrefu ya kuudhofisha Mkoa wa Kagera - sisemi mambo ya kubuni - hapa ntatoa mifano michache ya kuonyesha uonevu uliyo pitiliza mipaka tangu tupate uhuru:

1) Kampein za kisiri siri za kudhoofisha Mkoa wa Kagera zilianza muda mrefu baada ya kupata uhuru, waanga wa kwanza ni wanafunzi wa darasa la saba - Mkoa wa Kagera uliwekewa pass mark ya 150 kwenda Sekondari wakati mikoa mengine ukipata alama 45 unakwenda Sekondari - yaani Mkoa ukuwa victimised kutokana na juhudi za wanafunzi na wazazi wao kujali elimu, yaani badala ya Serikali ya awamu ya kwanza kuwaleta walimu na baadhi ya wanafunzi kutoka Mikoa mingine kuja Mkoa wa Kagera kujifunza mbinu zinazo tumika kuwawezesha wanafunzi wengi kwenda Sekondari, wao wanabuni mbinu ya kufanya Mkoa umark time kwenye masuala ya elimu.

2) Ukatiri wa kuvunja chama cha Ushirika cha wakulima wa Kahawa, kutaifisha mali na fedha zote zilizo kuwa zimewekwa kwenye Benki ya NBC, chama hiki ndicho kilikuwa kimbilio la watu wanyonge, kilisadia sana katika masuala ya Elimu, waligharimia kila kitu mpaka wanafunzi waliokuwa wanasoma nje ya nchi. Walijenga mashule na kuweka vitega uchumi sehemu nyingi tu - kwa kifupi kilikuwa ni kichocheo kikubwa katika maendeleo ya Mkoa wa Kagera, Viongozi wa nchi wakabuni mbinu za kukisambaratisha wakati wanajua fika kwamba si chama cha SIASA, kwa nini walikuwa na wasi wasi na vyama vya Ushirika, vyama vya wafanyakazi na vyama vya Waislaam wakati ndivyo vilitoa mchango mkubwa katika harakati za kupigania uhuru!!

3) Juhudi za Mkoa wa Kagera kujiletea maendeleo zilianza muda mrefu, si watu wengi wanao lijua hilo - juhudi hizo zilikuja kuzimwa na Serikali ya awamu ya kwanza kwa kutoa visingizio mbali mbali mfano: Ni hii Project kubwa iliyokuwa itekekezwe katika mto NGONO, Serikali ya Sweden alitaka kugharimia mradi huo wa kujenga DAM karibu na daraja la Karebe - maji yangetumika kuzalisha umeme, kumwagilia commercial farms za mpunga, horticulture zikiwemo Alizeti, hiriki, vanilla na maua ya kwenda kuuzwa Ulaya - ulikuwa ni mradi mkubwa na wa maana ambao ungechochea maendeleo katika nyanja za kilimo, viwanda vidogo na vya kati kutokana na umeme wa kuaminika -wasimamizi wa mradi walikuwa ni marehemu Askofu Josiah Kibila na wenzake, hao ndio walikwenda kuomba msaada Sweden - baada ya Serikali ya awamu ya kwanza kupewa taarifa, Waziri Mkuu Edward Sokoine kaenda Bungeni na kusema Serikali ya awamu ya kwanza inajali sana Mkoa wa Kagera itagharimia mradi huo - kauli yake ndiyo ikawa mwanzo wa kauliwa mradi mzima kistaarabu - atuwezi kusema mradi ulikufa kwa bahati mbaya.

4)Mengi ya kweli kuhusu matatizo ya Mkoa wa Kagera yamekwisha zungumzwa na wenzangu labda mimi nigusie kidogo kuhusu usafiri - inashangaza kidogo kuona reli ya kati zitajengwa branch za kwenda Mpanda, Kaliua/Katavi, Rwanda, Burundi na Uganda -kwenye Project nzima Wizara ya Uchukuzi haikiwekea maanani/kumbuka Mkoa wa Kagera - awasemi chochote zaidi ya kuzungumzia reli ya Mtwara nk - Mkoa wa Kagera tutasahulika mpaka lini, wakati wa utawala wa Wajerumani walitaka kutandaza reli kwenda Bukoba sisi tunashindwa nini?
Tatizo la wahaya ni upumbavu, wakisoma hawataki kuendeleza kwao, wapo walioamua kuhamia Rwanda baada ya Kagame kuingia madarakani wakidhani wao ni watutsi wamefika huko ndio mahause girl na waendesha bodaboda kurudi kagame kafunga mpaka ukiruka mto kagera anapiga risasi, juzi mwigulu alionyeshwa wanapopigiwa risasi.

Hivi hawajiulizi kwanini mama koku hakuwajengea shule kaenda kujenga Dar, hawajiulizi kwanini Kaka Rugemarila hawekezi bukoba, hivi wale waliokuwa wanamshangilia Idd Amin pale Kyaka si ni wahaya hawahawa wajinga wajinga.

Mliambiwa changieni madawati hamtaki eti mumeambiwa na Tunndu Lissu msichangie haya kamwambieni umasikini umezidi aje kuwakomboa.
 
Poleni wahaya,tatizo na wenyewe huwa wanajidai ujuaji sana,maana hata kupata kiwanja cha mwekezaji mtu atakwambia square mt 20 kwa 20 anataka bilioni 5 sasa maendeleo yatakujaje,nilikutana na wasomi wachache wa mkoa huu wanasema hivyo kuwa watu ni wajuaji sana. Wenzao wazaramo waliamua mji wao ujengwe wakawa wapole
 
Back
Top Bottom