Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana

Wahaya hawana kitu kichwani walikuwa wanabebwa na wakimbizi wa kinyarwanda, baada ya kagame kuchukua nchi walirudi Rwanda wote, wakabaki abashuti tu, hamna kitu kichwani, vichwa kama Sir George Kahama, Dr.Kyaruzi zilikuwa product za kinyarwanda (Tutsi/Hima/Nyankole) sasa hivi hamna tena wamebaki waendesha bodaboda tu.
Kaka usifike huko wako wazuri wasomi na pia wafanyabiashara wazuri though pia controversial kama Rugemalira na Karamagi wapo pia.
 
inawezekana Nyerere alkuwa ana implement siasa ya ujamaa kwa nia nzuri tu lakini madhara yake yakadumaza uchumi wa kagera,imagine kabla uhuru tayari kagera kulikuwa ma Dr na proffessa
 
Kaka usifike huko wako wazuri wasomi na pia wafanyabiashara wazuri though pia controversial kama Rugemalira na Karamagi wapo pia.
Hawa sio wahaya na hawana interest yeyote na bukoba, mtizame Rugemarila Karamagi prof Tibaijuka, hawana haiba ya kihaya hata chembe, huoni Prof. Tiba anafanana na Kagame.
 
Hawa sio wahaya na hawana interest yeyote na bukoba, mtizame Rugemarila Karamagi prof Tibaijuka, hawana haiba ya kihaya hata chembe, huoni Prof. Tiba anafanana na Kagame.
Mh wewe una yako binafsi wale wanatambulika wazawa wa Bukoba na Wahaya pia! Kama si wahaya ni kabila gani Wachagga? 🙁🙄
 
Ongeeni yote lakini tatizo kubwa lililoko uhayani ni hili "Yabitunga tabililemu" Mi ni Mhaya na ninaamini wenyekujua kihaya watanielewa tu. Wasiojua natoa tafsiri isiyo rasmi - Amepata lakini hatafaidi. Ni vigumu kufanya kazi sehemu ambapo unafahamika A - Z na hasa kwa sehemu kama Bukoba kuna kitu kinaitwa "olwango" hili ni tatizo kubwa!
 
hebu elezea vizuri maana mimi binafsi simkubalii britanicca aliyeanzisha uzi huu maana najua miradi ya barabara iliyokamilika na inayoendelea Uhayani (Kagera) na pia hata upande wa vyombo vya majini tukiacha uwanja mpya wa ndege uliokamilika! Kiufupi britanicca ni short sightedness na kilichobaki ni wazawa wa Kihaya kuji-organize na kupeleka investment za nguvu kuanzia kilimo cha biashara na chakula, vyuo na hata viwanda! Nina uhakika uwezo mnao maana mkiwa nazo mnaonekana kirahisi.
 
Asee Mkuu acha uongo, Mtwara pako poa kabisa wala hawana shida na mtu wale watu, hivi ulishalajiuliza ni kwanini rate ya wafanyakazi kuacha kazi au kuomba transfer kutoka huko Kagera ni kubwa kuliko hapo Mtwara unakosema? Wkt Mtwara palikuaga choka mbovu kuliko huko Kagera. Acheni Ubaguzi aisee.
Mimi nimeishi Mtwara, watu wa Mtwara wana matatizo ya ujuaji na ubishi na kukosa adabu hasa mdomoni, mwanamke anajiropokea tu na wanapenda ngono sana. Lakini ubaguzi upo kwa level ya chini mno. Wachagga wamewekeza huko, Wanyakyusa wapo wengi tu, Wa haya ndo usiseme...n.k Ubaguzi wa Kikabila upo lakini hauuzidi wa Kagera. Kagera ni zaidi ya Ubaguzi
 
Acha kuugeuza mdomo wako kiatu. Na usikitumie kichwa chako pambo la kufugia nywele

Rweye, huna haja ya kujibizana na watu wenye akili za kitoto - mada unazungumza nini na wao wanajibu nini??

Baadhi ya wachangiaji vichwa vyao viko wired kivingine i.e super satured na chuki chuki tu kwa makabila fulani - si rahisi kubadirisha perceptions zao.

Mtu na akili zake timamu anakuja na hoja mfirisi eti kwa kuwa Wahaya wamesoma sana basi Serikali haiwajibiki kusaidia chochote kimaendeleo Mkoani Kagera - Mikoa karibu yote Tanzania inapewa kipa umbele kimaendekeo save Mkoa wa Kagera - WHY?

Mbinu za chini chini zilizo anzishwa na Serikali ya awamu ya kwanza kudumaza Mkoa wa Kagera bado zinaendelezwa/tekelezwa kimya kimya, wasitufanye wajinga - wahenga walisema actions speaks louder than......
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana sana ila umeharibu sana kitu kimoja, kuutaja mkoa wa Kagera. Ukiutaja mkoa huu utashambuliwa na hata yule asiye na meno. Yawezekana tulipata bahati mbaya kuwa watanzania, naamini huu mkoa ungekuwa Uganda ingekuwa ni jambo jema zaidi kuliko ilivyo leo, ubaguzi ni mkubwa sana hapa Tz dhidi ya mkoa huu.i

Wanabaguliwa kwa sababu wao Ni wabaguzi[emoji1549]
 
Rweye, huna haja ya kujibizana na watu wenye akili za kitoto - mada unazungumza nini na wao wanajibu nini??

Baadhi ya wachangiaji vichwa vyao viko wired kivingine i.e super satured na chuki chuki tu kwa makabila fulani - si rahisi kubadirisha perceptions zao.

Mtu na akili zake timamu anakuja na hoja mfirisi eti kwa kuwa Wahaya wamesoma sana basi Serikali haiwajibiki kusaidia chochote kimaendeleo Mkoani Kagera - Mikoa karibu yote Tanzania inapewa kipa umbele kimaendekeo save Mkoa wa Kagera - WHY?

Mbinu za chini chini zilizo anzishwa na Serikali ya awamu ya kwanza kudumaza Mkoa wa Kagera bado zinaendelezwa/tekelezwa kimya kimya, wasitufanye wajinga - wahenga walisema actions speaks louder than......
Hakuna haja ya kujibizana nao! Si unajua leo hawajaenda job wameamka na mapuya!
 
kudumaa kwa uchumi mkoa wa kagera kunafungamanishwa na Sera mbovu na utawala mbovu wa ccm cha kushangaza bado wakazi wa kagera wanaendelea kuikumbatia Ccm
 
hebu elezea vizuri maana mimi binafsi simkubalii britanicca aliyeanzisha uzi huu maana najua miradi ya barabara iliyokamilika na inayoendelea Uhayani (Kagera) na pia hata upande wa vyombo vya majini tukiacha uwanja mpya wa ndege uliokamilika! Kiufupi britanicca ni short sightedness na kilichobaki ni wazawa wa Kihaya kuji-organize na kupeleka investment za nguvu kuanzia kilimo cha biashara na chakula, vyuo na hata viwanda! Nina uhakika uwezo mnao maana mkiwa nazo mnaonekana kirahisi.
Mr. britanicca alichoelezea kiko wazi. Kiukweli wahaya wanabaguliwa sana, ila ninachokifahamu ni kwamba waliowekeza mikoa mingine sio kwamba hawataki kuwekeza Kagera, zipo sababu nyingi zinazowafanya wasiwekeze huko. Kwanza kijiografia ni kama kisiwa, namna ya kuingia na kutoka kuna changamoto japo barabara zipo, meli zipo ila hakuna uhakika, tatu - hawa majirani zetu (Wanyarwanda, Warundi na Waganda) wanatumia vibaya ile misitu - kiasi kwamba wapo wafanyabiashara wanaogopa kutekwa. Hawa majirani ndo wanachangia kwa kiwango kikubwa kuleta sifa mbaya kwa Wahaya! Wasiojua wanashoboka pasipo kufanya uchunguzi.
Wahaya halisi ni wastaarabu sana, wapenda watu, wakalimu n.k .. hawa waliojichanganya na wahaya enzi zile (Abashuti) - walikuja kutulimia mashamba - ndo wameharibu sifa halisi ya Wahaya!
 
pamoja na kukubaliana mtoa hoja. bila ya kufanya mabadiliko ya utawala, kupitia katiba ili kuleta Sera mpya za uchumi, ili kujenga uchuni mpana na toshelezi, haya manunguniko hayataisha
 
Mr. britanicca alichoelezea kiko wazi. Kiukweli wahaya wanabaguliwa sana, ila ninachokifahamu ni kwamba waliowekeza mikoa mingine sio kwamba hawataki kuwekeza Kagera, zipo sababu nyingi zinazowafanya wasiwekeze huko. Kwanza kijiografia ni kama kisiwa, namna ya kuingia na kutoka kuna changamoto japo barabara zipo, meli zipo ila hakuna uhakika, tatu - hawa majirani zetu (Wanyarwanda, Warundi na Waganda) wanatumia vibaya ile misitu - kiasi kwamba wapo wafanyabiashara wanaogopa kutekwa. Hawa majirani ndo wanachangia kwa kiwango kikubwa kuleta sifa mbaya kwa Wahaya! Wasiojua wanashoboka pasipo kufanya uchunguzi.
Wahaya halisi ni wastaarabu sana, wapenda watu, wakalimu n.k .. hawa waliojichanganya na wahaya enzi zile (Abashuti) - walikuja kutulimia mashamba - ndo wameharibu sifa halisi ya Wahaya!
Tutaanza kufanya stats za kubaguliwa huko leta list ya makatibu wakuu wa wizara wa serikali ya Magufuli na Kikwete hapa! Tupembenue mchanga na mchele..
 
Tutaanza kufanya stats za kubaguliwa huko leta list ya makatibu wakuu wa wizara wa serikali ya Magufuli na Kikwete hapa! Tupembenue mchanga na mchele..
Hatuhitaji viongozi wa kitaifa, tunahitaji mpango wa Kitaifa wa kuwekeza Kagera na hasa Bukoba, mji wenye hali nzuri ya hewa karibia mwaka mzima. Aloyataja mtoa mada ndo yajadiliwe hapa!
 
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi

Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera?
Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania,
Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara,

1. Dar es salaam
2. Kagera
3. Kilimanjaro

Lakin ukweli usiopingika Kagera imetelekezwa na serikali vya kutosha bila kujali majanga yaliyoikuta au michango ambayo Kagera imetoa kwa watanzania.

Kila MTU kutokea Kagera atakuwa ana kumbukumbu zinazomfanya kusononeka sana,
Mkuu Enisekolopedia Buritanica, bandiko lako kiukweli limenigusa!, ni kweli tulipopata uhuru, Kagera ilikuwa ni miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara!, ila uoimara huo ulitokana na wavumbuzi waliogundua mikoa hiyo kahawa inastawi, hivyo misheni zikajenga shule, Wahaya na Wachanga mkasoma sana kwa sababu wazazi wenu walikuwa na fedha za kahawa kuwalipia ada!. Wakuloni wakawadekeza sana na kuwanyenyekea hali iliyopelekea kuwa ni watu mnaojisikia sana na kujiona bora kuliko wengine!, ingawa nakiri Wahaya na Wachaga kuwa na akili sana, ila pia wanawake wenu ni wazuri!, Wachagga wazuri wa kutazama, na Wahaya ..usiseme!.

SABABU MUHIMU ZILIZOSABABISHA KAGERA KURUDI NYUMA KIMAENDELEO

1. VITA YA KAGERA, 1978/79
Vita ya nchi nzima ilipiganwa kwenye mkoa mmoja na kuharibu miundombinu vya kutosha , na ule ndo ulikuwa uwanja wa vita hasa, lakini hakuna sehemu yoyote kuna strategy za kuujenga upya mkoa, tunaishia kusikia maneno ya kashfa tu tena toka kwa viongozi wakubwa kwa wanakagera eti mmeshindwa kujenga hata chuo kikuu kimoja? Aliuliza Kikwete lakini kasahau kuwa yeye kama mkuu wa serikali hajajenga hata chuo cha kutoa cheti.

2. JANGA LA UKIMWI 1983,
Kama inavyojulikana Kagera iko mpakani mwa Uganda, na UKIMWI umeanzia Uganda, na kwa kuwa wana Kagera wana utaratibu wa kufanya Biashara na Uganda , haikukwepeka kupata UKIMWI, nguvu Kazi kubwa ilipotea sana miaka hiyo na kusababisha uchumi kurudi nyuma,

3. AJALI YA MV BUKOBA
Janga la pili ambalo linafanya kudhoofisha mkoa wa Kagera ni kuwa , watoto wengi yatima wameongezeka , nguvu kazi imepungua kutokana na ajali ile.

4.1998 EL NINO
Hii wengi mnaelewa kuwa imekumba sana ukanda wa kanda ya ziwa kuliko kanda yoyote ile hapa nchini , imeharibu miundombinu na kupoteza wazalishaji Mali,

5. KUSHUKA KWA BEI YA KAHAWA 1998 KWA UZEMBE WA SERIKALI.
Inajulikana Kagera ilitegemea sana Kahawa kama kitega uchumi , kwa uzembe wa serikali hakukuwepo utaratibu wa kuhakikisha Kahawa inabaki na bei ya kuridhisha badala yake ikapuuza mpaka wananchi wakakata mibuni maana haikuwa na maana tena,

6. UBAGUZI ULIOJIFICHA TOKA KWA VIONGOZI ( INDIRECT DISCRIMINATION TOWARDS HAYA TRIBE)
Miaka ya nyuma hakuna ambaye hajui kuwa wahaya waliwekewa mizengwe katika baadhi ya sekta, hata kwenye elimu , walipandishiwa alama za ufaulu ili wachache waendelee na elimu ya juu maana walionekana kuwa wao ndio wanafaulu na kujaza madarasa mengine, lakin ili kuitamka sentensi hii (INAHITAJI UJIFANYE MWENDA WAZIMU KIDOGO)

7. KUTENGWA NA NCHI KIJIOGRAFIA
Kagera iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, waliowahi kufika uko ndio wanaelewa namaanisha nini, Kagera imekuwa kama kisiwa maana jinsi ya kufika kule inabidi ukatishe kilometer kadhaa za msitu, ili uingie Kagera, au upite ziwani kwa meli ndio uende mikoa mingineyo ambayo ni ya Tanzania, hivyo basi wana Kagera walikuwa na urahisi wa kufanya Biashara na Uganda kuliko mikoa mingine ya Tanzania, lakini serikali ilikataza biashara hiyo , wakajikuta wamebaki kama kisiwa ndani ya nchi yao wenyewe,

8.KAGERA KIMBILIO LA WAKIMBIZI MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA 1994 NA MACHAFUKO TANAYOENDELEA UKANDA ULE.
Wanyarwanda wameiteka Kagera hasa wilaya ya Karagwe na Muleba na kujichukulia ardhi , pia wamekuwa watekaji wa magari na kudhalilisha wana kagera , kitu amabacho kimerudisha nyuma uchumi wa mkoa, kwa kasi, majambazi wametamalaki na kufanya uharamia ambao umefanya kusiwepo hali ya utulivu na kujenga uchumi, serikali imechelewa kuchukua hatua,

9. KUTOJUMUISHWA KATIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KIKANDA
Kila kanda imetengwa katika kanda fulani ya mkakati wa maendeleo lakini kanda ya ziwa ambayo ndipo kuna mkoa Kagera hakuna ilipoainishwa katika mpango wa maendeleo.Kagera Umekuwa ni mkoa wa kujitegemea kwa kila kitu utasikia
1. VITA YA KAGERA, 1978/79
Hii vita ilikuwa ni vita ya nchi nzima japo ilipiganwa kwenye mkoa mmoja wa Kagera na kuharibu baadhi ya miundombinu ya Masaka, daraja la Mto Kagera na kule Mtukula yote, Bukoba haikuguswa!, usitake kusingizia vita, Watanzania wote tulichangia na mikanda ya miezi 18 wote tulikaza nchi nzima!. Kitu ambacho nakubaliana na wewe, baada ya vita, reparations zililipwa na Libya na Uganda lakini hazikulipwa kufanya restorations, lakini hii sio sababu!.

2. JANGA LA UKIMWI 1983,
Sii kweli kuwa UKIMWI umeanzia Uganda, bali ulisambaa kwa kasi zaidi Uganda na Kagera sio kwa sababu ya utaratibu wa kufanya Biashara na Uganda, no way, ulisambaa kwa kasi kwa sababu ya zile tabia zetu, kwenye yale mambo!, kama hoja ni biashara, Uganda inafanya biashara kubwa zaidi na Kenya kuliko na Kagera!. Janga la UKIMWI, limepoteza nguvu Kazi kubwa sehemu nyingi, nenda kaangalie yatima wa Makete ulinganishe na hao wa Kagera!, hivyo hii sio sababu!.

3. AJALI YA MV BUKOBA
Japo hili janga lakini sii kweli limechangia kudhoofisha mkoa wa Kagera kwa sababu waliopoteza maisha sio watu wengi kivile!, kila siku ugonjwa wa malaria unaua watu wengi kuliko hata ukimwi, hiyo ajali imepoteza nguvu kazi gani kivile kuutia umasikini mkoa wote!. Hii sii sababu!.

4.1998 EL NINO
Sikweli kuwa Elnino imeathiri sana kanda ya ziwa kuliko kanda yoyote ile hapa nchini, El nino imeharibu miundombinu na ya maeneo mengi, imezoa mazao maeneo mengi, na kupoteza wazalishaji na uzalishaji mali, lakini sio sababu!.

5. KUSHUKA KWA BEI YA KAHAWA 1998 KWA UZEMBE WA SERIKALI.
Ni kweli Kagera ilitegemea sana Kahawa kama kitega uchumi chake kikuu, ila sii kweli kuwa ni uzembe wa serikali uliosababisha kushuka kwa bei ya kahawa, kwa kuhakikisha Kahawa inabaki na bei ya juu kwa sababu kushuka huko ni kwenye soko la dunia, ambako Tanzania sii mzalishaji pekee, hivyo hawezi kupanga bei, kumejitokeza wazalishaji wengi zaidi wa kahawa ambao wanazalisha kahawa boa zaidi kwa bei nzuri zaidi, ila pia hii sio sababu, kwa sababu hata Kilimanjaro ingeathirika!, na sii bei ya kahawa pekee, bei ya pamba imeshuka, bei ya katani imeshuka, bdei ya korosho imeshuka, bei ya chai imeshuka, bei ya pareto imeshuka, sasa why Kagea tuu?!.

6. UBAGUZI ULIOJIFICHA TOKA KWA VIONGOZI ( INDIRECT DISCRIMINATION TOWARDS HAYA TRIBE)
Sii kweli kuwa Wahaya waliwekewa mizengwe katika baadhi ya sekta, hata kwenye elimu , na japo ni kweli, walipandishiwa alama za ufaulu sio ili wachache waendelee na elimu ya juu, bali kuwazuia ku dorminate elimu zote za juu nchi nzima!, na sii Wahaya pekee waliopandishiwa, hata Wachagga. Hili lilifanywa na Mwalimu Nyerere, kufuatia mikoa hii kuwa na fedha kutokana na kahawa, wazazi wote waliweza kusomesha hivyo shule za sekondari zote zilijaa makabila mawili, ndipo cut off point ikapandisha ili Watanzania wengine nao wapate fursa, bila hivi, kina Magufuli wangeishia kuchunga mbuzi, kina Kikwete wangeishia kuvua samaki, na kina Mkapa wangeishia kuokota korosha na kuvuna chamaki nchanga!.

7. KUTENGWA NA NCHI KIJIOGRAFIA
Kagera iko Kaskazini Magharibi mwa Tanzania, waliowahi kufika uko ndio wanaelewa namaanisha nini, Kagera imekuwa kama kisiwa maana jinsi ya kufika kule inabidi ukatishe kilometer kadhaa za msitu, ili uingie Kagera, au upite ziwani kwa meli ndio uende mikoa mingineyo ambayo ni ya Tanzania, hivyo basi wana Kagera walikuwa na urahisi wa kufanya Biashara na Uganda kuliko mikoa mingine ya Tanzania, lakini serikali ilikataza biashara hiyo , wakajikuta wamebaki kama kisiwa ndani ya nchi yao wenyewe, hii ni kweli, ila pia histoia hiyo hiyo inaonyesha Kagera ilikuwa chini ya ufalme wa Bunyoro!, ni wakoloni tuu ndio waliiacha upande wetu, ila kiukweli Wahaya ni watu wa kule kitabia, maneno, lugha hadi matendo!.

8.KAGERA KIMBILIO LA WAKIMBIZI MAUAJI YA KIMBALI YA RWANDA 1994 NA MACHAFUKO TANAYOENDELEA UKANDA ULE.
Wanyarwanda wameiteka Kagera hasa wilaya ya Karagwe na Muleba na kujichukulia ardhi , pia wamekuwa watekaji wa magari na kudhalilisha wana kagera , kitu amabacho kimerudisha nyuma uchumi wa mkoa, kwa kasi, majambazi wametamalaki na kufanya uharamia ambao umefanya kusiwepo hali ya utulivu na kujenga uchumi, serikali imechelewa kuchukua hatua, hili pia ni kweli ila sio sababu, kwa sababu wakimbizi pia wametawanywa sehemu mbalimbali na wamechangia katika kudumaza maendeleo ila sio sababu!.

9. KUTOJUMUISHWA KATIKA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO KIKANDA
Kila kanda imetengwa katika kanda fulani ya mkakati wa maendeleo lakini kanda ya ziwa ambayo ndipo kuna mkoa Kagera hakuna ilipoainishwa katika mpango wa maendeleo.Kagera Umekuwa ni mkoa wa kujitegemea kwa kila kitu ni kweli, na sababu ni zile nilizokupa, you don't belong here, you belong there!. Ndio maana hata ile barabara, ilikuwa ipite Biharamulo, Magufuli akaichepusha ikapita Chato!. Poleni!

Wengi watasema umejenga huko kwakuwa ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Kajunguti International Airport - Wikipedia, the free encyclopedia
Taarifa hii kumhusu Kato, ni taarifa muhimu sana, kwa sababu Kato japo anajulikana ni mtu wa kule, ila anatabia za ajabu ajabu kama za watu wenu, kiasi cha kutufanya wengine wetu tuhoji asili yake ni wapi haswa, wazazi wake asili yao ni wapi?, jee ni watu wa kule kweli au ni wahamiaji tuu, na jee huyo ni mtoto wa familia hiyo kweli au ni wale wakuja tuu?!.

Sisi babu yetu mzaa babu alikuwa tajiri wa ng'ombe, mchunga ngombe wake alikuwa Mtusi, alipofariki, babu akawachukua watoto wake akawafanya ni ndugu zetu mpaka leo wamekuwa ni ndugu kabisa hawapajua tena kwao zaidi ya kwetu, na ni wenzetu kabisa, ila asili yao ni ile ile ya walikozaliwa na sio walikokulia!. Kabila letu tunapenda sana watoto na tuna asili ya wanawake wengi!, kwetu haijalishi ujauzito ni wa nani, ila watoto wote ni wa kwetu!.

Tuhadithie zaidi kuhusu huyu Kato wa kwa Mzee Machalila, huyo Mzee Machalila yupo, watu tufunge safari kuchimbua historia halisi ya Kato?!.

Pasco
 
Hatuhitaji viongozi wa kitaifa, tunahitaji mpango wa Kitaifa wa kuwekeza Kagera na hasa Bukoba, mji wenye hali nzuri ya hewa karibia mwaka mzima. Aloyataja mtoa mada ndo yajadiliwe hapa!
Mipango inawekwa na nani? Nime-highlight wale wa asili ya Kagera! Muwe na soni jamani yaani hao wote na bado mnalalamika kubaguliwa! Naleta list ya makatibu wakuu wa kikwete...

ORODHA YA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU KATIBU WAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.

Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

  1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue

  1. Katibu Mkuu Ikulu
Peter Ilomo

  1. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro

  1. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)

Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu – Afya)

Bernard Makali (Naibu Katibu Mkuu – Elimu)

  1. Ofisi ya Makamu wa Rais
Mbaraka A. Wakili ( Katibu Mkuu)

Mhandisi Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
Erick Shitindi (Katibu Mkuu Kazi na Ajira)

Mussa Uledi (Katibu Mkuu Bunge)

Dkt. Hamis Mwinyimvua (Katibu Mkuu – Sera)

  1. Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Dkt. Frolence Turuka (Katibu Mkuu – Kilimo)

Dkt. Mashingo (Katibu Mkuu Mifugo)

Dkt. Budeba (Katibu Mkuu – Uvuvi)

  1. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph. Nyamuhanga (Katibu Mkuu – Ujenzi)

Dkt. Leonard M. Chamuliho (Katibu Mkuu – Uchukuzi)

Profesa Faustine R. Kamuzora (Katibu Mkuu – Mawasiliano)

Mary Sassabo (Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)

  1. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Dkt. Yamungu Kayandabira (Katibu Mkuu)

Dkt. Moses Kusiluka (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Maliasili na Utalii
Meja Jenerali Gaudence S. Milanzi (Katibu Mkuu)

Anjelina Madete (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Dkt. Adelhem James Meru (Katibu Mkuu – Viwanda)

Profesa Adolf F. Mkenda (Katibu Mkuu – Biashara na Uwekezaji)

Mhandisi Joel Malongo (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
Maimuna Tarishi (Katibu Mkuu)

Profesa Simon S. Msanjila (Naibu Katibu Mkuu)

Dkt. Leonard Akwilapo (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki Ulisubisya (Katibu Mkuu – Afya)

Sihaba Nkinga (Katibu Mkuu – Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)

  1. Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Profesa Elisante Ole Gabriel Mollel (Katibu Mkuu)

Nuru Halfan Mrisho (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Mbogo Futakamba (Katibu Mkuu)

Mhandisi Kalobero Emmanuel (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Nishati na Madini
Profesa Justus W. Ntalikwa (Katibu Mkuu)

Profesa James Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)

Dkt. Paulina Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Katiba na Sheria
Profesa Sifuni Mchome (Katibu Mkuu)

Suzan Paul Mlawi (Naibu Katibu Mkuu)

Amon Mpanju (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Mambo ya Ndani
Jaji Meja Jenerali Projest A. Rwegasira (Katibu Mkuu)

Balozi Hassan Simba Yahaya (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Fedha na Mipango
Dkt. Silvacius Likwelile (Katibu Mkuu)

Dorothy Mwanyika (Naibu Katibu Mkuu)

James Dotto (Naibu Katibu Mkuu)

Amina Hamis Shaban (Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Dkt. Aziz Mlima (Katibu Mkuu)

Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu)

  1. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Job D. Masima (Katibu Mkuu)

Immaculate Peter Ngwale (Naibu Katibu Mkuu)

Makatibu wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii watapangiwa kazi nyingine.
 
Back
Top Bottom