The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau
Arabuni kuna weusi wengi tu,zaidi ya 10% saudia ni weusi, mwana mfalme bandar ni mweusi,Oman ndiyo zaidi miji ya pwani walikofikia watumwaBora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Nakupongeza mkuu Kwa hii comment yakoBora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Asia ni wabaguzi snHili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Asia kwa ujumla ni wabaguzi sn kama walivyo wazanzibarBora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Muingiliano wa mambo haya ulianzia kwenye masuala ya utumwa nadhani kwahiyo kabla hatujaenda mbali kwanza tujiulize kidogo kwa hapa Africa enzi zile China alikua anatawala nchi zipi?Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Kuna bro alikua fraud wa credit uchinani wakamdaka alikaa mwaka mzima uchinani sa hv karudi ana subaru forester na kajenga mjengo wa kwenda tu. Kihistori yule brother ni kati yale wabongo wakwanza vijana kuingia south africa miaka iyo so ni mjanja mjanja afu mtu cool sana sio muongeaji unless kwa watu aliowazoeaSababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi
1.population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa
2.akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...
3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI
baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica
Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
Sii marekani peke yake hata ulaya ni mara nyingi unakutana na raia wa African race ila sio hukoMuingiliano wa mambo haya ulianzia kwenye masuala ya utumwa nadhani kwahiyo kabla hatujaenda mbali kwanza tujiulize kidogo kwa hapa Africa enzi zile China alikua anatawala nchi zipi?
Na kwa swali hili ni wazi kwamba case study yako umeifanyia zaidi kwa kuiangalia Marekani... history ya Marekani kutoka kuanzishwa kwake ndio imepelekea yote hayo.
Nchi nyingi za far East sidhani kama zilikua na makoloni Africa.
Sawa tu sasa watu kama samia,mwigulu, majaliwa china itawahitaji wa Nini? Wataongeza Nini china??Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Mkuu Uarabuni umewahi fika mjii gani?? yaan tukizungumzia UAE wapi ambapo umefika hakuna waarabu weusi??Bora uchina wao hawakuchukua watumwa kutoka Afrika.
Wewe jiulize kwanini Uarabuni hakuna waarabu weusi japo walichukua waafrika.wengi utumwani.
Jibu swali sio kuropoka hapaJF imeingiliwa na vitoto vya facebook, jf ni "home of great thinkers" so chonde mleta mada usirudie kuleta mada ambazo hata la nne B anaweza jibu kiurahsi.
Kama hapa kwetu Afrika ndo haya yana roho za kishetani kwao itakuwaje?!!!Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Tujikite kwenye mapinduzi ya elimu ndio ya muhimu haya maswali mengine yanayotokana na unyonge wetu yatapatiwa ufumbuzi baada ya kuwa tumejiimarisha kielimu.Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?
Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Waarabu waliwahasi watu weusi wasiweze kuzalina na wengine waliuliwa kikatili baada ya kutumikishwa.Arabuni kuna weusi wengi tu,zaidi ya 10% saudia ni weusi, mwana mfalme bandar ni mweusi,Oman ndiyo zaidi miji ya pwani walikofikia watumwa
Ulishaona hata mmoja kwenye mamlaka za kiserikali za hayo mataifa