Kwanini China haina Waafrika?

Kwanini China haina Waafrika?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
 
Sio kwamba wanatudharau

Sababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi

1. Population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa

2. Akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...

3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI

baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica

Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Muingiliano wa mambo haya ulianzia kwenye masuala ya utumwa nadhani kwahiyo kabla hatujaenda mbali kwanza tujiulize kidogo kwa hapa Africa enzi zile China alikua anatawala nchi zipi?

Na kwa swali hili ni wazi kwamba case study yako umeifanyia zaidi kwa kuiangalia Marekani... history ya Marekani kutoka kuanzishwa kwake ndio imepelekea yote hayo.

Nchi nyingi za far East sidhani kama zilikua na makoloni Africa.
 
Sababuu kuu nchi za ki asia kuto kuwa waafrica au wazungu wengi ni hizi

1.population
Hizi nchi toka dunia iumbwe zina watu wengi zina high birthrate sababu hii inafanya wasitake wafanyakazi yaani cheap labor kutoka africa maaana nao wana cheap labor hasa china watu 1.3 billion unahisi watahitaji watu kutoka africa

2.akili IQ na ustaarabu
Hizo nchi hasa china japan korea kusini singapore huwa wana ustaarabu na akili mno ustaraabu na maanisha mfumo wa maisha hawana kona kona pia ni magenius kichwani iq zao ni kubwa mno kukaa na wajinga hadi wazungu ki iq wamazidiwa na hawa watu .... mara nyingi mtu mwenye akili sana hapendi kukaaa na mpumbavu sasa waafrica wengi wapumbavu na konana kona nyingi na uvivu...

3.MAJANGA YA AFRICA WALIPOFIKA HUKO MIAKA YA SIKU HIZI

baadhi ya wa africa hasa china inawapokea vizuri na kuwajali kabisa hasa guanzhou ni sehemu china ambayo next ina waafrica wengi na miaka ijayo kutakuwa na wachina wa kiafrica wengi na guanzhou bila africa sio guanzhou maana biashara ya jiji lile inategemea waafrica

Basi baadhi ya wafrica pale hasa wana nigeria wanauza madawa ya kulevya mara wizi mara kesi kupigana mara sijui utapeli kwenye atm ..... mara kuwafundisha wachina wezi utapeli hivyo baadhi ya wachina wanaanza kuwa chukia waafrica wote kwa ujumla ...inshort wana nigeria ndo mara nyingi sehemu yeyote wanaharibu taswira yetu waafrica maana lazima tu wataharisha tu
Kuna bro alikua fraud wa credit uchinani wakamdaka alikaa mwaka mzima uchinani sa hv karudi ana subaru forester na kajenga mjengo wa kwenda tu. Kihistori yule brother ni kati yale wabongo wakwanza vijana kuingia south africa miaka iyo so ni mjanja mjanja afu mtu cool sana sio muongeaji unless kwa watu aliowazoea
 
Muingiliano wa mambo haya ulianzia kwenye masuala ya utumwa nadhani kwahiyo kabla hatujaenda mbali kwanza tujiulize kidogo kwa hapa Africa enzi zile China alikua anatawala nchi zipi?

Na kwa swali hili ni wazi kwamba case study yako umeifanyia zaidi kwa kuiangalia Marekani... history ya Marekani kutoka kuanzishwa kwake ndio imepelekea yote hayo.

Nchi nyingi za far East sidhani kama zilikua na makoloni Africa.
Sii marekani peke yake hata ulaya ni mara nyingi unakutana na raia wa African race ila sio huko
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Sawa tu sasa watu kama samia,mwigulu, majaliwa china itawahitaji wa Nini? Wataongeza Nini china??
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Kama hapa kwetu Afrika ndo haya yana roho za kishetani kwao itakuwaje?!!!
 
Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!?

Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa.
Sio kwamba wanatudharau sana!?
Tujikite kwenye mapinduzi ya elimu ndio ya muhimu haya maswali mengine yanayotokana na unyonge wetu yatapatiwa ufumbuzi baada ya kuwa tumejiimarisha kielimu.
 
Back
Top Bottom