Kwanini China na Singapore zimefaulu lakini Afrika imeshindwa kuendelea?

Mkuu,
Meritocracy system ,rule of law and accountability.
Naomba ufafanuzi wa hivyo vitu.
Meritocracy system ni mfumo wa kisiasa ambao nafasi za kiuongozi hupatikana au hupanda kutokana na ubora na utendakazi bora wa muhusika pasipo kuhusisha ukaribu wa kifamilia, undugu, nafasi yake kijamii, umaarufu wa kisiasa n.k
Rule of law ni utawala wa sheria, Accountability ni uwajibikaji
 
Nimekuelewa vyema mkuu,shukran.
 
Reactions: TPP
Nitajie nchi inayoongozwa na mwafika ika na maendeleo ya kisiasa,kiuchumi na kijamiii !!! Nitajie moja tuu
 
Akili zetu tumeziwaka Akiba. Tukifa tutazitumia.
 
Nitajie nchi inayoongozwa na mwafika ika na maendeleo ya kisiasa,kiuchumi na kijamiii !!! Nitajie moja tuu
Maendeleo yapo katika hali ya kati katika mataifa mengi ya Afrika na kizuizi kikubwa cha kushindwa kupokea maendeleo makubwa ya kidunia ni mifumo ya kiutawala inayo changia hali hio.

Zinahitajika hatua za haraka kukabiliana na changamoto zilizopo Afrika na njia bora ni kutoa nafasi kwa meritocracy system, rule of law, accountability.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Blaa blaa na madili vinarudisha nyuma maendeleo. JPM alijitahidi sana Ila basi tu!! China mtu unanyongwa hadharani, mwalimu angeranya hivyo Tz ingegeuka kuwa China.
 
Blaa blaa na madili vinarudisha nyuma maendeleo. JPM alijitahidi sana Ila basi tu!! China mtu unanyongwa hadharani, mwalimu angeranya hivyo Tz ingegeuka kuwa China.
Blaa blaa ni nini ?
 
The reason ni IQ hafifu.
Wafikiri waafrika wote wana weak IQ na wafikiri watu wote wa China na Singapore wana high IQ ? Hapana haiwezi kuwa hivyo
 
Sisi kilicho "stop" sha! mwananchi asirimia kubwa hawana, elimu na ile sisi tunaishi, tuwe na nini na siasa ni nini na inafaida gani, sio ushabiki, na tunachokiamua, sisi na sisi ndio sisi kiwe vile kwa umoja, uchina walifanya hivyo na wakaona sisi wachokiamua sisi.!
 
China na Singapore hawacheki na NYANI.

Africa tuendelee kuwachekea wanaokula pesa za UMMA.
Watu wanakula pesa za UMMA waziwazi Pasi na Shaka lakini hakuna hatua zozote zinazochukiliwa na serikali.

Tuendelee kuwachekea NYANI tuvune mabua.
 
Afrika haitoendelea mpaka siku itakapotambuwa kuwa mzungu siyo Mungu.
 
Kinachoitwa maisha Bora huku unafungwa hapana.

Kushiba vizuri na kuvaa nguo nzuri haitoshi kukupa maana ya maisha Kwa sababu hutokuwa tofauti na wanyama wanaofungwa Kwa kupewa Kila kitu na wakastawi ila hawajui hatima Yao.

Kinachowasaisia ni vile wako unconscious.

So nachopenda ni kuwa semi autocratic,hakuna mfumo ambao umeshindwa kujenga madaraja.

Hao West ndio wamekuwa wa kwanza kuendelea kabla ya Asia na kiufupi ukiangalia historia mkono wa chuma haukwepeki Ili kuleta maendeleo.

Ndio maana napenda tuwe semi autocratic Kwa sababu hawezi leta uhuru kwenye jamii kubwa ya Watu wajinga.

So Ili kufika huko sheria zetu ziwafilisi wezi bila kuwaua au kuwafunga,sheria zetu zikuze upinzani ambao ni Kwa Ajili ya checks and balance na kupata viongozi Waziri.Ukiwa mzuri kutokea upinzani ualikwe Serikalini.

Mwisho Baadhi ya mambo ya uhuru wa kijinga jinga yazuiwe mfano kuzurura hovyo,Vijana kuwa iddle na kazi ambazo hazina Tija,kwenda kwenye starehe mda wa kazi nk.

Hayo yataleta Tija.Mwisho kabisa Mfumo wa uchumi wa Dunia wa Sasa wa ushindani unatoa fursa ya kuendelea fasta Kwa kutumia biashara kuliko mfumo wa mabavu wa zamani.
 
China na Singapore hawacheki na NYANI.

Africa tuendelee kuwachekea wanaokula pesa za UMMA.
Watu wanakula pesa za UMMA waziwazi Pasi na Shaka lakini hakuna hatua zozote zinazochukiliwa na serikali.

Tuendelee kuwachekea NYANI tuvune mabua.
Tunashindwa hata kwenda kujifunza hasa Botswana,Namibia,Mauritius ,Rwanda wamefanyaje kudhibiti Rushwa?

Japo hizo Nchi Zina watu wachache sana Huwa sio suitable kuzitolea mfano Kwa sababu ni easy ku govern.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…