Kwa nini China na Singapore zimefanya na zinafanya vyema katika mezani za kiutawala na kimaendeleo huku Afrika ikishindwa?
China na Singapore zimefanya na zinafanya vyema katika mezani ya kiutawala na maendeleo kwa sababu ya
i. Meritocracy system
ii. Accountability
iii. Rule of Law
Afrika inakosa meritocracy system, accountability, rule of law kukabiliana na hali iliyo nayo.
Kinachoitwa maisha Bora huku unafungwa hapana.
Kushiba vizuri na kuvaa nguo nzuri haitoshi kukupa maana ya maisha Kwa sababu hutokuwa tofauti na wanyama wanaofungwa Kwa kupewa Kila kitu na wakastawi ila hawajui hatima Yao.
Kinachowasaisia ni vile wako unconscious.
So nachopenda ni kuwa semi autocratic,hakuna mfumo ambao umeshindwa kujenga madaraja.
Hao West ndio wamekuwa wa kwanza kuendelea kabla ya Asia na kiufupi ukiangalia historia mkono wa chuma haukwepeki Ili kuleta maendeleo.
Huko huko China na Singapore wawekezaji ndio wameshika Nchi.Mtu akisoma hivi anaweza kuhisi wewe ni mtu kati ya watu, tena mpenda maendeleo ila kumbe ni CHAWA TU.
Mmetetea kweli uwekezaji na uuzwaji wa nchi usio na kichwa wala miguu halafu leo hii unataka AUTOCRATIC REGIME
Umewahi kufika hata huko Singapore na China ?Huko huko China na Singapore wawekezaji ndio wameshika Nchi.
Punguza kuongea ๐๏ธ๐๏ธ
Dunia ya Leo ni ya kuiliza mtu kufika au la wakati ipo kiganjani kwako?Umewahi kufika hata huko Singapore na China ?
Kumbe hujawahi hata kufika halafu uko hapa kuropoka-ropoka kama kasuku mambo uliyookoteza mtandaoni !Dunia ya Leo ni ya kuiliza mtu kufika au la wakati ipo kiganjani kwako?
Acha kuongea pumba
Wajinga kama wewe ndio wanadhani wakifika Singapore basi ndio wameijua Singapore.Kumbe hujawahi hata kufika halafu uko hapa kuropoka-ropoka kama kasuku mambo uliyookoteza mtandaoni !
Mna ulofa mwingi sana kichwani ninyi madogo, ungefahamu mfumo wa uwekezaji wa Singapore usingeropoka.
Wajinga kama wewe ndio wanadhani wakifika Singapore basi ndio wameijua Singapore.
Huko Singapore wapo mbumbumbu wengi tuu kama wewe ambao huamka na kupata na kulala ila hawaelewi chochote kuhusu Maendelea ya Nchi Yao.
Bila uwekezaji hakuna maendelea na huwezi ku copy na ku paste.Wewe ni mbumbumbu tuuKuniita mimi mjinga hakuondoi ukweli kwamba wewe ni msomi kasuku. Ungekuwa unafahamu mfumo wa uwekezaji uliopo Singapore na Uchina usingediriki kufaninisha na huu umaamuma wenu mnaotetea hapa. Kiukweli utulie tu, maana hujui kitu.
Hahahaha!Bila uwekezaji hakuna maendelea na huwezi ku copy na ku paste.Wewe ni mbumbumbu tuu