Kwanini China na Urusi hazina uhuru mkubwa wa kuabudu?

KKma ilivyo haki ya ushoga au co
China na Urusi zinadhibiti uhuru wa kuabudu hata kwa watu wa imani ya kweli kama Wakristo. Ni kweli kila taifa lina utamaduni wake, lakini tunapozungumzia uhuru wa kuabudu, tunazungumzia haki ya msingi ya kiroho kwa kila mtu
 
Mnataka wachina waache kutuzalishia mabidhaa viwandani,

waanze kupiga makelele na kupoteza muda makanisan Kama nyie walokole?
 
China na Urusi zinadhibiti uhuru wa kuabudu hata kwa watu wa imani ya kweli kama Wakristo. Ni kweli kila taifa lina utamaduni wake, lakini tunapozungumzia uhuru wa kuabudu, tunazungumzia haki ya msingi ya kiroho kwa kila mtu
Jibu kwanza hoja yangu Kwa Nini west Wana uhuru wa mapenzi ya jinsia moja lakini china na Urusi hawana uhuru wa mapenzi ya jinsia moja?
 
Hilo swali halihusiani na mada yangu. Mimi nimezungumzia uhuru wa kuabudu, jambo ambalo ni muhimu kwa kila binadamu aliyeumbwa na Mungu. Hata hivyo siwaungi mkono West. Mataifa yote yanayokataa kusimama upande wa Mungu — iwe kwa kuwanyima watu uhuru wa kuabudu au kwa kuhalalisha dhambi — yanahitaji toba.
 
Back
Top Bottom