China na Urusi zinadhibiti uhuru wa kuabudu hata kwa watu wa imani ya kweli kama Wakristo. Ni kweli kila taifa lina utamaduni wake, lakini tunapozungumzia uhuru wa kuabudu, tunazungumzia haki ya msingi ya kiroho kwa kila mtu

Hilo swali halihusiani na mada yangu. Mimi nimezungumzia uhuru wa kuabudu, jambo ambalo ni muhimu kwa kila binadamu aliyeumbwa na Mungu. Hata hivyo siwaungi mkono West. Mataifa yote yanayokataa kusimama upande wa Mungu — iwe kwa kuwanyima watu uhuru wa kuabudu au kwa kuhalalisha dhambi — yanahitaji toba.