Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
 
Duh!
Kuna mada ila hii hata msaada haina!
Kweli kabisa cha kufikiri hamna?
 
Wanaume aki nunua Leo Boksa basi kuja kununua nyingine kama sio msafi basi mpaka miezi kadhaa.

Wanawake kununua ni muda wowote tu.

Sasa hata kama niwewe , Ni yupi kati ya hawa utapenda umpige bei mbaya?

Wakunua Mara moja kwa miezi...au huyu mteja wako wa kila siku???.
 
Vifuniko vya asali
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.

Jr[emoji769]
 
Kwanza wapo wengi kwahiyo hata kama ni biashara basi mzunguko wake ni mkubwa kwa maana hiyo unapata faida faster ndio maana vitu vyao ni bei rahisi tofauti na wanaume.
 
Back
Top Bottom