Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Nahisi ni Mbinu ya kibiashara...
Inaanzia mbali kdg...

Wanaangalia mzunguko,
Wanaume wengi wana tabia ya kurudiarudia kuvaa chupi/boksa, ukijiongeza hapo unagundua ya kua basi mwanaume hahitaji rundo la chupi/boksa.

Kwa sbb hio basi, itabd chupi/boksa yake iwe imara/high quality ili kustahilili ile hali ya kuvaliwa kwa mda mrefu lkn pia mara kwa mara....

Hivyo basi itatengenezwa kwa quality zaidi...., basi itagharimu Pesa zaidi....
Lkn pia sbb mzunguko wake ni Mdg, mfanya biashara atauza kwa bei zaid kdg ili at least ku compaset gharama za mda itakayokaa dukani.

Upande wa pili Kwa Wadada,
Yeye anaweza avae chupi mpk tatu kwa siku, kwa maana hio Atahitaji chupi nying zaidi,

kitendo cha yeye kubadilisha chupi mara kwa mara, moja kwa moja unaona hata Uchakaaji wake utachukua mda mrefu.
Kwa kua watengenezaji wanalijua hilo, basi Watatengeneza chupi Za quality ya chini sbb haitapata suruba, matokeo yake itauzwa kwa bei ndogo.

Kumbuka pia, wadada/wanawake wao chupi ni fahari kwao, ndio maana baadhi wao kuzionesha sio shida, na ndio maana kila siku zinabadilishwa dizain na urembo,kwa maana hio mzunguko wake ni wa haraka, km ni wa haraka basi ktk marketingstrategy utaiuza kwa bei ndogo ili utoe mpya ya muundo mpya iende haraka, yaani wao kusikia akisema "hizi/hii chupi imepitwa na wakati" sio jambo la kushangaza.

Lkn pia usisahau muundo wa chupi ya mwanamke na chupi/boksa ya kiume, hii inakupa picha ya kua ya kiume, patern yake inahitaji kitambaa kikubwa zaidi kuiunda. Chukulia mfano bikini vs boksa.

Lkn pia usisahau, chupi ya kike inahitajika iwe nyepesi zaidi ili kuingza upepo, lkn ya kiume itahitajika nzito imara ili kubeba yale madude.

Nimejibu serious kdg, japo sina uhakika ya kua mtoa mada alikua anahitaj majb serious au ya kuchangamsha jukwaa.
 
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
ni kutokana na thamani ya kile kilichomo ndani,hizi za kiume zinabeba biringanya tu na shina lake
 
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
mkuu chupi ya kike saa ingine unakuta ni vikamba viwili tu
ulikua unataka iuzwe bei gani sasa?
boxer kama fundi hajakata kitambaa nusu na uzi wa kutosha hajaitoa bado😛😛😛😛
 
Vyupi vyao sio muhimu Sana maana wao hawadindishi...Sasa we mwanaume dindisha afu hujavaa boxsa uone Kama hawajakupeleka ustawi wa jamii kwa kutaka kubaka
 
Wakowengi mzunguko unakua mkubwa jingine usafi, nyie wanaume wachafu kununua boxer nilazima ama ianze kunuka au ichanike hivihivi unaweza baki nazo mbili hizohizo hadi mwaka uishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
Sasa mbona unalinganisha boksa na chupi? Linganisha boksa na taiti.
 
Back
Top Bottom