fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,221
unaweza kununua ukavivaa,kwani nani anakuona mkuu?Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.
Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.