Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
Kwani wanaume wanavaa chupi hadi leo mzeeee????

Au unazungumzia boxer????? Ushawai ona boxer kama zipo hizo za kike zikawa bei cheee yan buku au buku jero????
 
Mkuu chunga sana.Acha kumnunulia mpemzi wako chupi za 1k au jero kama unavyosema.Ndio maana mnajiona hamna nguvu za kiume kumbe vyupi mnavyowavua hao mabinti ndio vinawachisha kwa kuziangalia tu, unapoteza hamu ya tendo.

Tafuta vitu standard na quality kwa ajili ya girl wako.
Chupi ya 500 seriously?????
Bila shaka ww huw una attend za minadani.
Ahahahahahahahahaj.

NB
Mtazamo tu..usijenge chuki
 
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
Wacha weee.
 
Watengenezaji wanajua hali zao za kiuchumi zilivyo. Pengine zingekuwa bei km za kwetu wasingezivaa.....

Mtazamo tu
 
Boxers zinatumia kitambaa kikubwa bana tofauti na vyupi mfano zile G-strings ni vikamba tu, so lazima boxer iwe bei juu,lkn pia kuna pants ambazo bei ghari kutegemea na quality yake.
 
Boxers zinatumia kitambaa kikubwa bana tofauti na vyupi mfano zile G-strings ni vikamba tu, so lazima boxer iwe bei juu,lkn pia kuna pants ambazo bei ghari kutegemea na quality yake.
Nyuzi kama hizi za paints na boxer hukosekani! Mbona kwenye thread za Corona sikuoni mwenzangu?
 
Materials ndio reason kubwa.
Chukua boxer 5 na chupi za like 5 zilinganishe hata kwa uzito tu utapata jibu
 
Nyuzi kama hizi za paints na boxer hukosekani! Mbona kwenye thread za Corona sikuoni mwenzangu?
Naona wote hatokosekani eeh,tena siyo "paints" ni pants ,mimi hizi nyuzi ndiyo nazipenda huko kwenye Corona ukiniwakilisha wewe siyo mbaya. Kuna mpya gani kwanza huko dawa imepatikana?
 
Chupi za polyester hizo zenyewe zinazovutia ni parefu, zile ambazo akivaa chick abdallah kichwa wazi anakuwa anahangaika sio za bei ya chipsi yai.
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwa sababu ziko disposable na hazibebi mizigo ya nguvu kama mapumbu na dushe kila kukicha, hivyo hazina kazi yeyote ya maana mpaka mwisho wa mwezi tu wanapokuwa mwezini.
 
Jiongeze mkuu, kitambaa cha mashono kinauzwa kwa mita za mraba, sasa unataka kulinganisha bei ya vile vikamba na kitambaa cha boxer kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha, we jamaa nimecheka sana kwa sauti. Ni kweli kiuchumi lazima chupi za kike za siku hizi ziwe cheap kwa sababu:-

1. Zinatumia kitambaa kidogo sana, ni nyembamba sana kama kamba fulani tu hata ule mfereji haizibi vizuri;
2. Demand imepungua sana, wanawake wengi hawavai siku hizi kwa sababu ya usumbufu wa kuvua vua mara nyingi. Wanakuja hivyo hivyo unafunua tu unaendelea; na
3. Wengi hawavai tena kwa sababu tight inatosha tu (tight imechukua nafasi ya chupi na ''andasketi''- ile ndefu kama sketi tulikuwa tunaziona kirahisi tukicheza nao shuleni).
 
Sababu chupi za kiume zinabeba mizigo. ,inabidi ziwe imara,,Ata bei lazima ipae kidogo.😂😂😂
 
Back
Top Bottom