SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Hupigwi boss.Kuumbe mi napigwaga sana! naombwaga pesa ya kunulia pichu natoa mpunga mrefu kumbe pichu ni 1000 tu.
Nimeelewa sasa, kudadekii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi nzuri ya kike huwezi kuipata kwa buku.
Chupi nzuri ya kike huanzia 5,000/= na kuendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app