Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Wadada wanahitaji sana usafi wa kwa bibi, la sivyo atanuka... zile dischqrges zinachafua na kuharibu chupi haraka so tunauhitaji wa chupi kuliko wanaume.
Mwanaume anaweza ishi na boxer mbili ila mdada ukijaribu ishi na chupi mbili utateseka sana na kuna mda utakosa chupi ya kuvaa

Karibu sana! Nauza chupi za kike pure cotton kwa buku jero tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda chupi za 1000/= zinauzwa huko kwenu KwaMtogole ,unadhani wote humu shopping tunafanya Karume??Jipime kwanza kabla ujaleta Uzi,hii inaonyesha unaishi mitaa gani.

Nenda pale Mlimani City na baby wako ukamnunulie chupi ya 1000/= kama haujafukuzwa na wale polisi ukawekwe lockup!

Mm huwa namnunulia chupi shemeji yako pale Mcity kitu kama 50,000/= kwa chupi moja na sidiria pia zina range hapo,huwa nanunua duzani nzima kila mwezi.
Wewe ni Muongo,tena wewe utakua unanunua chupi tatu buku
 
Kuna sababu moja tuu muhimu.

Chupi kwa mwanamke sio option, lakini mwanaume kubaa chupi ni hiari yako tena wanashauri mwanaume asivae kabisa.

Pili mwanamke chupi anabadilisha zaidi ya mara 1 kwa siku hivo inabidi awe nazo nyingi .. tofauti na mwanaume boxer moja mwaka mzima.
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
 
Tafadhali bwana! Mwaka mzima chupi moja umetuua kabisa! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uvaaji wa chupi umeleta vibamia kwa wanaume wengi. Niliachana nao zamani sana na mpini unaendelea kukua. Wanawake acheni kuvaa chupi hizi k za maji na baridi zinaletwa na chupi.
Achaeni kitumbua kile upepo
 
gharama yake ni pale utakapotaka kuivua mwilini mwa mdada! Sokon haina bei...huwa na bei ikiwa kwa mwili!
 
Ndo ujue wadada wezi sana wa vyupi!! hawana kinyaa kuvaa chupi ya wizi ya mwenzake!! halafu wana azimana sana hawa!!! sijui kwa nini??
 
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?

Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera.

Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.
Kila kitu kwetu ghali..labda ndiyo malipo kwetu sababu hatubebi mimba!
 
Mwanamke kwa siku anatumia hata 4.. moja ya vitu vinavyo bebwa kwenye begi la mwanamke ni chupi 3 au 5 za akiba.[emoji1]

Back
Top Bottom