Kuna club moja dom nilisikia wana utaratibu wa gents free, sijui kama bado wanaendelea nao.Jiulizen mnasema chupi tu hata kwnye madisco,clubs wadada freee wanaume tunalipia
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi za kike unapata za bukubuku ila huwezi pata boxa ya buku kwanini?
Wafanya biashara mtuambie kwa wastani mwanamke anakuwa na chupi ngapi na wanaume wanakuwa na chupi ngapi hili linakera Yani boxa zetu zinauzwa ghali mno wakati vichupi vya wadada vinauzwa buku na ukilialia hata jero unauziwa.