Kwanini chupi za kike zinauzwa bei rahisi kuliko za kiume?

Wadada wanahitaji sana usafi wa kwa bibi, la sivyo atanuka... zile dischqrges zinachafua na kuharibu chupi haraka so tunauhitaji wa chupi kuliko wanaume.
Mwanaume anaweza ishi na boxer mbili ila mdada ukijaribu ishi na chupi mbili utateseka sana na kuna mda utakosa chupi ya kuvaa

Karibu sana! Nauza chupi za kike pure cotton kwa buku jero tu!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni Muongo,tena wewe utakua unanunua chupi tatu buku
 
Kuna sababu moja tuu muhimu.

Chupi kwa mwanamke sio option, lakini mwanaume kubaa chupi ni hiari yako tena wanashauri mwanaume asivae kabisa.

Pili mwanamke chupi anabadilisha zaidi ya mara 1 kwa siku hivo inabidi awe nazo nyingi .. tofauti na mwanaume boxer moja mwaka mzima.
 
Tafadhali bwana! Mwaka mzima chupi moja umetuua kabisa! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uvaaji wa chupi umeleta vibamia kwa wanaume wengi. Niliachana nao zamani sana na mpini unaendelea kukua. Wanawake acheni kuvaa chupi hizi k za maji na baridi zinaletwa na chupi.
Achaeni kitumbua kile upepo
 
gharama yake ni pale utakapotaka kuivua mwilini mwa mdada! Sokon haina bei...huwa na bei ikiwa kwa mwili!
 
Ndo ujue wadada wezi sana wa vyupi!! hawana kinyaa kuvaa chupi ya wizi ya mwenzake!! halafu wana azimana sana hawa!!! sijui kwa nini??
 
Kila kitu kwetu ghali..labda ndiyo malipo kwetu sababu hatubebi mimba!
 
Mwanamke kwa siku anatumia hata 4.. moja ya vitu vinavyo bebwa kwenye begi la mwanamke ni chupi 3 au 5 za akiba.[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…