Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.
Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.
Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.
Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.