Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

Okay sawa husikii bongo kuna watu walienda kupigana vita ya pili.?
Cha kwanza unatakiwa ujue maana ya neno "World" halafu ujue Africa siyo sehemu ya world-decision-makers. World ni kwa nchi baadhi za Asia, Europe yote na nchi mbili za north America.
 
Bidhaa zao waziuzia wapi kama German wanapigana vita na lile ni soko wanalolitegemea kwaajili ya kuuza bidhaa zao muhimu.
Hiyo vita haiwahusu kila mtu biashara zake zitaendelea, kwani USA kipind cha vita ya pili alipigana!? Alikuwa ni supplier wa silaha tu .
 
Ni muendelezo wa kujipa umuhimu kuliko binadamu wengine.

Mimi wakati nakua nilikua napata tabu sana kuelewa hivi Inakuwaje watu wanapigana ulingo kule marekani halafu anaitwa world champion.

Nilikua sielewi ila baade nikaja gundua ni siasa tu za wazungu.
 
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.

Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.

Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.
Civil war ni vita vya ndani ya nchi ficha kidogo ujinga wako
 
Mpumbavu wa kwanza ni wewe. Unajiita "Mr" kwa kukaririshwa lugha ya kigeni ya Waingereza, kwanini usijiite tittle ya kilugha chako ambacho kwingine duniani hakuna anayekijua. Jiite Bwana Q, Laigwenan Q, Chifu Q, Tata Q, n.k.

Kwanini usijiite kwa maandishi ya lugha yako ya asili na uumbaji wenu wa herufi ambao haupo. Kwa mantiki hiyo herufi Q usingetumia sababu najua kilugha chako kwanza hakina standard set of letters kama ilivyo "alphabet".

Unaona ilivyo ngumu kukwepana na kitu kinachoathiri dunia kwa pamoja? Ndivyo na zile vita mbili zilivyokuwa.
Tuliza munkari kwanza Bw. Mdogo. Bila shaka una details za kutosha juu ya vita kati ya tz na uganda. Kwanini isiitwe angalau vita ya aftika au basi vita ya east afrika kwa sababu ni ngumu kukwepana na madhara ya kidunia kwa pamoja? Yani ukanda fulani wanapigana ninyi huko mnajinyea nyea na kuita vita ya dunia? Kwa nini? Kwa sababu ni dependants wa hao ma bwana wanaopigana?
 
Mwalimu wa historia huyu, amekariri haya tangu chekechea na hataki kutafakari kile alicho ambiwa
 
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.

Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.

Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.
Wazungu hawaamini kwenye dini wala hawajawahi kufanya jambo kisa imani, wazungu wanaangalia interests and intetests only
Wafia dini utawakuta africa tu ,ukiondoa nchi chache zilizoendelea kama southafrica
 
Tribal wars na civil wars je ni kitu kimoja mtoa mada?
 
Tuliza munkari kwanza Bw. Mdogo. Bila shaka una details za kutosha juu ya vita kati ya tz na uganda. Kwanini isiitwe angalau vita ya aftika au basi vita ya east afrika kwa sababu ni ngumu kukwepana na madhara ya kidunia kwa pamoja? Yani ukanda fulani wanapigana ninyi huko mnajinyea nyea na kuita vita ya dunia? Kwa nini? Kwa sababu ni dependants wa hao ma bwana wanaopigana?
Hujazuiwa kuiita unavyotaka wewe. Hujalazimishwa, kama ambavyo ile nyingine unaiita vita ya "Uganda na Tanzania" na jina likaishia hapo hiyo unayokataa kuiita vita ya pili ya dunia iite jina lingine.

Iite vita ya Germany, France, United Kingdom, Poland, USSR, USA, Canada, Australia, Japan, Egypt, Tunisia, Austria, Italy, Netherlands, Norway, Philippines, Sweden, Belgium. Na nchi chache nilizosahau utakuwa umemaliza.
 
Mzungu akija Africa anaitwa mtalii, wewe ukienda kwao unaonekana mzururaji. Hapo unaweza kupata jibu. Hata tukiuwana mpaka tumalizike sio vita ya dunia, wao watahamia na kuchimba madini.
 
Hujazuiwa kuiita unavyotaka wewe. Hujalazimishwa, kama ambavyo ile nyingine unaiita vita ya "Uganda na Tanzania" na jina likaishia hapo hiyo unayokataa kuiita vita ya pili ya dunia iite jina lingine.

Iite vita ya Germany, France, United Kingdom, Poland, USSR, USA, Canada, Australia, Japan, Egypt, Tunisia, Austria, Italy, Netherlands, Norway, Philippines, Sweden, Belgium. Na nchi chache nilizosahau utakuwa umemaliza.
Sasa mbona unataka kulazimisha regional wars ziwe WWs? Anacho sema mtoa mada inabidi ukielewe vyema
 
Hiyo vita haiwahusu kila mtu biashara zake zitaendelea, kwani USA kipind cha vita ya pili alipigana!? Alikuwa ni supplier wa silaha tu .
Duh!
Ivi katika ile ya vita ya II ya Dunia, Japani alikuwa akipigana na nani?
 
Back
Top Bottom