Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi
Mkuu , Je Kuwepo vita mahali flani au nchi flani kwa muda mrefu hiyo ndio maana ya vita ya Dunia ?.

Chunya
 
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.

Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.

Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.
Wazungu na Waarabu wame brainwashed bongo zetu; ukifatilia mjadara wetu humu kuhusu vita vya middle east utagundua weusi wengi tumeoshwa ubongo wetu na umekua hauna kitu kabisa. Baadhi ya maandishi ya watu humu ukiyasoma unaweza kuhisi kabisa huyu ni muislam na yule mkristo na laiti wakikutana hawa 2 lazima watazichapa kavu kavu kwa kile kinacho endelea mashariki ya kati. Weusi wengi wa hapa bongo wanajua eti pale middle east kuna vita vya kidini, stupid. Hawajui kama kuna idadi kubwa sana ya Wapalestina ambao ni Wakristo, hawajui kama wapo Wayahudi wengi tu ambao bi Waislamu. Nawashauri, waende wakatafute mwanzilishi wa Islamic state alikua Mwarabu Mwislam wa nchi ipi? Majibu yatawashangaza sana. Angalia how Mossaid wana nguvu sana Iran, is because Wa Iran wengi tu na wapo hadi kwenye mifumo ya kijeshi, kiutawala, bungeni hadi misikitini lakini ni Wayahudi. Osama alisajiri Wayahudi wa kutosha kwenye kikundi chake cha Al Qaida na ndio maana siku anaipiga jengo la World center hakuna Myahudi hata mmoja aliyekufa though kulikua na idadi kubwa tu ya Wayahudi kwenye jengo lile. Watu hawa wameanza kupigana wakati Waarabu wana amini katika Mungu Baali, masanamu nk, enzi hakuna kitu kinaitwa Uislam but they were fighting. Wale wanagombea ardhi, sio dini.
 
Skip to content
History Logo

  1. Home
  2. Topics
  3. World War II
  4. Were They Always Called ‘World War I’ and ‘World War II’?

Were They Always Called ‘World War I’ and ‘World War II’?​

By: Elizabeth Nix
Updated: October 5, 2023 | Original: March 6, 2013
copy page link
HISTORY: World War I Battles, WWI Timeline
Lt. E Brooks/Imperial War Museums via Getty Images
The short answer is no, though it’s hard to pinpoint precisely when the World War I and World War II—or First World War and Second World War—monikers arose. During World War I, of course, nobody knew that a second global conflict would follow closely on the heels of the first, so there was no need to distinguish it as the first of its kind.
After initially referring to the “European War,” U.S. newspapers adopted “World War” once America entered the confrontation in 1917. On the other side of the Atlantic, meanwhile, Britons preferred “Great War” until the 1940s—with the notable exception of Winston Churchill, who reminisced about the “World War” in the 1927 volume of his memoir The World Crisis.
World War I: Global Connections

Loaded: 0%

Progress: 0%

PlayUnmute
Duration Time3:25

SettingsFullscreen

“World War II,” on the other hand, first appeared in print all the way back in February 1919, when a Manchester Guardian article used the term much in the way people today predict a hypothetical “World War III.” But it was Franklin D. Roosevelt who in 1941 would publicly label the conflict the “Second World War,” and his fellow Americans quickly followed suit. (In Britain, it remained simply “the War” until the late 1940s.)
While Roosevelt may have helped popularize the name, it seems he wasn’t entirely satisfied with it. In 1942 he asked the public to propose alternate appellations, and over the next few weeks the War Department received 15,000 submissions ranging from “the War for Civilization” to “the War Against Enslavement.” Neither these nor Roosevelt’s own choice—“the Survival War”—had staying power. “World War II” and “Second World War” it was—and, as a result, “I” or “First” was appended to the clash that preceded it.
2019-hvault-world-war-ii-16x9-1024x576-1.jpeg

HISTORY Vault: World War II​

Stream World War II series and specials commercial-free in HISTORY Vault.
WATCH NOW
By: Elizabeth Nix

Citation Information​

Article TitleWere They Always Called ‘World War I’ and ‘World War II’?
AuthorElizabeth Nix
Website NameHISTORY
URLWere They Always Called 'World War I' and 'World War II'? | HISTORY
Date AccessedOctober 15, 2024
PublisherA&E Television Networks
Last UpdatedOctober 5, 2023
Original Published DateMarch 6, 2013

Fact Check​

We strive for accuracy and fairness. But if you see something that doesn't look right, click here to contact us! HISTORY reviews and updates its content regularly to ensure it is complete and accurate.
Print Page
king-tut-ancient-egypt.jpg

Sign up for Inside History​

Get HISTORY’s most fascinating stories delivered to your inbox three times a week.

Sign Up

By submitting your information, you agree to receive emails from HISTORY and A+E Networks. You can opt out at any time. You must be 16 years or older and a resident of the United States.
More details: Privacy Notice | Terms of Use | Contact Us

More on this Topic | World War II​

When WWI, Pandemic and Slump Ended, Americans Sprang Into the Roaring Twenties​

After enduring dark times, Americans were eager for a comeback.
Read more
A military balloon deployed in the Civil War near Gaines Mill, Virginia (Photo by Buyenlarge/Getty Images)

How Nations Have Spied from the Sky​

Since the Civil War, forces have deployed aerial surveillance gadgets from balloons to robotic dragonflies.
Read more
A soldier holds an American flag at a cemetery.

What Is the Difference Between Veterans Day and Memorial Day?​

Both Memorial Day and Veterans Day honor U.S. military personnel—but they arose for different reasons.
Read more
A German U-boat, circa 1916.

How German U-Boats Were Used in WWI—And Perfected in WWII​

After terrorizing trans-Atlantic ships in World War I, German U-boats grew even more fearsome in World War II.
Read more
Battle of Cambrai, World War I, WWI battles

How Imperialism Set the Stage for World War I​

Many of the powers in World War I were competitive in overtaking territories in Europe and Africa.
Read more
Brigadier General Billy Mitchell in cockpit of a Thomas Morse Pursuit Plane. Ca. 1910s.

How Airplanes Were Used in World War I​

Even though airplanes were a relatively new invention, the race for air superiority started during World War I.
Read more
See MoreRead more about World War II

A+E Networks

© 2024, A&E Television Networks, LLC. All Rights Reserved.

24px.svg

Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
 
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.

Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.

Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.
kule ndio duniani mkuu huku kwetu ni kuzimu tuu
 
Umesoma historia kweli ww
Nimesoma na ninafanya kwenye kituo cha tafiti za kihistoria, unaweza kuni pm nikualike kama una hoja tujadili tuoneshane na evidence. Vita kuu ya dunia ni 1 tu na inaendelea hapo Congo.
 
Maafa ya dunia Yalitakiwa kuwa yale ya Utumwa wa waafrika kipindi waarabu&wazungu walipovamia Afrika.

Hicho ndio kipindi ambacho kulitakiwa angalau kuitwa Vita vya dunia maana kila taifa la watu weupe lilitaka kuitawala afrika, huku maelfu ya waafrika wakifa kwa kujitetea na wengine kuuliwa bila sababu.

Hakuna janga lililomaliza watu wengi kama utumwa wa waafrika, hivyo basi hiyo migogoro ambayo wazungu walipigana na wapumbavu wenzao, haina sifa ya kuitwa vita/maafa ya dunia.

Mfano, wewe na jiran mpotwangana na kuamua kuziba njia za mitaa yenu huku mkiteka baadhi ya raia wa mtaa wenu na kuwalazimisha wapiganie pande zenu, je huo mgogoro wenu utaitwa vita vya mtaa? Ama vita vya fulani na fulani?

Hakuna vita vya dunia na havitawai kuwepo, hao watu weupe ni mambo mengi wameharibu, bahat mbaya hata mifumo ya elimu yetu wameharibu, mijitu tuliyotegemea isome ije kuwafunza waafrika wenzetu ndio hii bado akili zao zinawaza kitumwa, walimu wengi bado wapumbavu, akili zao zinawaza kitumwa.

Si ajabu utumwa wa walimu wanauambukiza hata kwa wanafunzi, kwa kuwafunza elimu ya uoga,uongo na upuuzi, mwisho wa siku tunaendeleza kizazi cha wapuuzi na watumwa wanaojivunia utumwa(wasomi).

Siku ambayo walimu wenyewe wataamka na kuukataa huu utumwa na uzushi wa kutumika kikoloni ktk kuharibu elimu sahihi kwa watoto basi Afrika itachange mazima.

Tumedanganywa mengi sana, na uongo unatumika kuutetea huo uongo, kwa kuita huo uongo eti historia, sayansi na upuuzi mwingine kama facts&points,

Narudia tena, wazungu,waarabu, wachina, wahindi, waajemi, warusi na weupe wote hao ni washenzi wanaojiona Miungu watu hapa dunian, mambo yanayotokea ktk ardhi zao wanayapa promo kupitia media zao na kuyalazimisha yaonekane ni maafa ya dunia, huu ni upuuzi.

Waafrika ndio jamii pekee ambayo inateketea kwa kasi na idadi kubwa kuliko sehemu yoyote ile apa dunian, lkn husikii media zao zikipiga kelele wala kulaani, ila sasa huko kwao wakifa hata raia 100 kelele kila kona ya media&mitandaoni, huku na sisi tukilazimishwa kulaani majanga yao.

Upuuzi mtupu, dunia bila ya uwepo wa watu weupe ingelikuwa sehemu salama sana, bahati mbaya tunaishi na vizazi vya laana(white people).
 
Hapa nakubaliana nawewe 100%
 
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.

Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.

Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.

Hapo Congo kuna majeshi ya nchi kibao ikiwamo nchi za wazungu na yameshindwa kuleta amani. Hii ndiyo world war sasa maana haiishi na hawataki kuondoa vikosi vyao vya wizi.
Hata marekani walikua na civil war za kuunganisha states. Em rudia nots zako za form 2 kama lugha tatizo muazime mtoto wa darasa la saba daftar lake la maarifa ya jamii na uache kusumbua watu humu
 
Back
Top Bottom