Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Soma vizuri bandikoHakuna vita ya kidini zaidi ya uwezo wako mdogo maana hutaki kujifunza, check hii bloc ina Iran , Russia, china na North korea ...Kiimani ni nchi tofauti .
Vita ya dunia walipigana wagalatia , hakuna sehemu watu wametukana wakristo .
Wewe na wenzio ndio mnawatukana waislamu wengine kweny ujinga wenu wa vita ....
Labda ubadilishe tena , vita ya kidini ni nyie ndio mnaleta ushabiki maandaziSoma vizuri bandiko
Kuna wapumbavu waliokaririshwa huko sekondari wapo wanajambajamba tu hapa watakwambia athari zake zinagusa dunia mzima.Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.
Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.
Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.
Nimesema vita vya kikabila na kidini, wewe kwakuwa umezakiwa na kukulia hapo buza unaweza kudhani warusi hawana ukabila.Labda ubadilishe tena , vita ya kidini ni nyie ndio mnaleta ushabiki maandazi
Wazungu ni wahuni sana.Kuna wapumbavu waliokaririshwa huko sekondari wapo wanajambajamba tu hapa watakwambia athari zake zinagusa dunia mzima.
Vita ya dini ipi na ipi?Nimesema vita vya kikabila na kidini, wewe kwakuwa umezakiwa na kukulia hapo buza unaweza kudhani warusi hawana ukabila.
Hao wanapigana kivyao , ukiwa huelewi ndio utashabiki ..Kiufupi sisi watanzania hatuhusiki kwa namna yoyote ile kama mafuta tutachukua kwa Dangote.Wazungu ni wahuni sana.
Inakuwa vita ya kidunia kwa sababu ya madhara yake. Mifumo mingi ya maisha inaathiriwa kwa mataifa yote ulimwenguni.Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.
Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za huku africa zinaitwa civil war licha ya kusababisha maafa makubwa pengine kuliko hata hizo world war.
Sasa wameanza tena vita vyao vya kikabila na kidini wanataka kuvikuza viwe WW3 sisi hatutaki, tutaendelea kutambua vita hivyo kama civil war tu.
Tafuta passport uhamiaji uizunguke dunia kisha uje tujadili. Achana na matango pori ya BBC, Al Jazeera na CNN.Vita ya dini ipi na ipi?
Naam, huu ndiyo ukweli, acha wapigane vita vyao vya kikabila sisi hatuhusiki.Hao wanapigana kivyao , ukiwa huelewi ndio utashabiki ..Kiufupi sisi watanzania hatuhusiki kwa namna yoyote ile kama mafuta tutachukua kwa Dangote.
Sio kweliInakuwa vita ya kidunia kwa sababu ya madhara yake. Mifumo mingi ya maisha inaathiriwa kwa mataifa yote ulimwenguni.
Dangote nae vifaa vya kuendesha mitambo ya visima na mitambo yakeHao wanapigana kivyao , ukiwa huelewi ndio utashabiki ..Kiufupi sisi watanzania hatuhusiki kwa namna yoyote ile kama mafuta tutachukua kwa Dangote.
Okay sawa husikii bongo kuna watu walienda kupigana vita ya pili.?Sio kweli
Wewe unastahili kuongoza kitengo nyeti cha makuli hapo bandari yangu ya Dar, jumatatu uje na cv yako.Naona Boss la DP umewashitukia wazungu wanataka kukupunguza spidi usinunue bandari nyingi za Afrika 😁
Kabisa mkuuWana roho mbaya sana hawa watu
Vita ya kwanza ilianza kwa njaa zao
Na sasa ni muendelezo ule ule
Mpumbavu wa kwanza ni wewe. Unajiita "Mr" kwa kukaririshwa lugha ya kigeni ya Waingereza, kwanini usijiite tittle ya kilugha chako ambacho kwingine duniani hakuna anayekijua. Jiite Bwana Q, Laigwenan Q, Chifu Q, Tata Q, n.k.Kuna wapumbavu waliokaririshwa huko sekondari wapo wanajambajamba tu hapa watakwambia athari zake zinagusa dunia mzima.