Kwanini civil war za wazungu ziliitwa world war?

Okay sawa husikii bongo kuna watu walienda kupigana vita ya pili.?
Cha kwanza unatakiwa ujue maana ya neno "World" halafu ujue Africa siyo sehemu ya world-decision-makers. World ni kwa nchi baadhi za Asia, Europe yote na nchi mbili za north America.
 
Bidhaa zao waziuzia wapi kama German wanapigana vita na lile ni soko wanalolitegemea kwaajili ya kuuza bidhaa zao muhimu.
Hiyo vita haiwahusu kila mtu biashara zake zitaendelea, kwani USA kipind cha vita ya pili alipigana!? Alikuwa ni supplier wa silaha tu .
 
Ni muendelezo wa kujipa umuhimu kuliko binadamu wengine.

Mimi wakati nakua nilikua napata tabu sana kuelewa hivi Inakuwaje watu wanapigana ulingo kule marekani halafu anaitwa world champion.

Nilikua sielewi ila baade nikaja gundua ni siasa tu za wazungu.
 
Civil war ni vita vya ndani ya nchi ficha kidogo ujinga wako
 
Tuliza munkari kwanza Bw. Mdogo. Bila shaka una details za kutosha juu ya vita kati ya tz na uganda. Kwanini isiitwe angalau vita ya aftika au basi vita ya east afrika kwa sababu ni ngumu kukwepana na madhara ya kidunia kwa pamoja? Yani ukanda fulani wanapigana ninyi huko mnajinyea nyea na kuita vita ya dunia? Kwa nini? Kwa sababu ni dependants wa hao ma bwana wanaopigana?
 
Mwalimu wa historia huyu, amekariri haya tangu chekechea na hataki kutafakari kile alicho ambiwa
 
Wazungu hawaamini kwenye dini wala hawajawahi kufanya jambo kisa imani, wazungu wanaangalia interests and intetests only
Wafia dini utawakuta africa tu ,ukiondoa nchi chache zilizoendelea kama southafrica
 
Tribal wars na civil wars je ni kitu kimoja mtoa mada?
 
Hujazuiwa kuiita unavyotaka wewe. Hujalazimishwa, kama ambavyo ile nyingine unaiita vita ya "Uganda na Tanzania" na jina likaishia hapo hiyo unayokataa kuiita vita ya pili ya dunia iite jina lingine.

Iite vita ya Germany, France, United Kingdom, Poland, USSR, USA, Canada, Australia, Japan, Egypt, Tunisia, Austria, Italy, Netherlands, Norway, Philippines, Sweden, Belgium. Na nchi chache nilizosahau utakuwa umemaliza.
 
Mzungu akija Africa anaitwa mtalii, wewe ukienda kwao unaonekana mzururaji. Hapo unaweza kupata jibu. Hata tukiuwana mpaka tumalizike sio vita ya dunia, wao watahamia na kuchimba madini.
 
Sasa mbona unataka kulazimisha regional wars ziwe WWs? Anacho sema mtoa mada inabidi ukielewe vyema
 
Sasa mbona unataka kulazimisha regional wars ziwe WWs? Anacho sema mtoa mada inabidi ukielewe vyema
Unajua ni regions zipi zilishiriki vita ya pili ya dunia?
 
Hiyo vita haiwahusu kila mtu biashara zake zitaendelea, kwani USA kipind cha vita ya pili alipigana!? Alikuwa ni supplier wa silaha tu .
Duh!
Ivi katika ile ya vita ya II ya Dunia, Japani alikuwa akipigana na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…