Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko!
Kwa nini Congo isiwabane UAE na China kuhusiana na mizigo inayotoka Rwanda wanayoadai ni madini yao badala yake wanalilia kwa watu ambao hawana biashara kubwa na Rwanda?!
Kwa nini Congo isiwabane UAE na China kuhusiana na mizigo inayotoka Rwanda wanayoadai ni madini yao badala yake wanalilia kwa watu ambao hawana biashara kubwa na Rwanda?!